Mzee Toboa bin Mambo
867 posts

Mzee Toboa bin Mambo retweetledi
Mzee Toboa bin Mambo retweetledi

@_rogers254 Mtoto wa geti kali (kishua) kapita kwa wahuni kitaa. anautaka ila ndio mshua kampiga pini
Indonesia
Mzee Toboa bin Mambo retweetledi
Mzee Toboa bin Mambo retweetledi

Naomba nitume salaam zangu za dhati kwa wanaharakati, kwasababu Chadema waliielewa sana hii speech na wanatambua kuwa wako chini ya sheria za serikali ila wanaharakati bado.
Hata ukienda kwenye muswada wa Marekani hauwezi kukuta masharti yasitekelezeka na same tu EU, ambao wanaelewa kwamba hii ni nchi huru inayofuata katiba. Sasa Njoo kwa Nchi ya Mange na Maria - wanawapa vijana vitu vya kuwaambia serikali ifanye ambavyo haviwezekani ni tahira tu ndio anaweza fanya hivyo.
Post inayokuja nitakuwekea Masharti ya Maria na Mange kisha ya USA na EU, uone Lengo la kila mmoja kwa Tanzania 🇹🇿. Na inavyochekesha kutoka kwa wanaharakati na Chadema nimesahau!!
Haya kula Chuma hichooooo….
Indonesia
Mzee Toboa bin Mambo retweetledi

@ercurry_ Hii red flag bwana harusi atakiwa ajipange sana aisee!
Filipino

@Macheda__ Mmmh! kutu za hapa ata msasa hausafishi!
Indonesia

@TruthWatchDogTZ Astakafirullah hili bao lake huyu bora lingepigiwa nyet* tu!
Indonesia
Mzee Toboa bin Mambo retweetledi

Thamani ya biashara kati ya Tanzania na Namibia:
🔵 Mwaka 2020: TZS bilioni 11.3
🔵 Mwaka 2021: TZS bilioni 17.8
🔵 Mwaka 2022: TZS bilioni 17.0
🔵 Mwaka 2023: TZS bilioni 20.3
🔵 Mwaka 2024: TZS bilioni 20.0 #MapendekezoYaMaridhiano
#TumeYaUchunguziReport
Jaji Chande

Mzee Toboa bin Mambo retweetledi













