November _Alfa _Charlie _

2K posts

November _Alfa _Charlie _ banner
November _Alfa _Charlie _

November _Alfa _Charlie _

@Tx_savager

✨ ⚡ TANGANYIKA ❤️ 🏆; MOVEMENT FOR CHANGES ⏱️; MARINE ENGINEER. 👽:CHIEF ENGINEER@BLUE DOL MS

Pemba South, Tanzania Katılım Haziran 2023
563 Takip Edilen397 Takipçiler
Abdulkareem Ayoub Mchomvu
Abdulkareem Ayoub Mchomvu@Abdulkaree71254·
@PMadeleka Kwa nini wagushi? Ivi wagefata utaratibu si wagepewa mkopo mbna sisi tulifata utaratibu tumepewa mkopo bira riba wa mama asilimia kumi. Mil.20 cashi
Indonesia
6
0
2
1.1K
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
Nataka niwahakikishie WANAFUNZI 17 wanaoshitakiwa kwa “KOSA LA KUGHUSHI MKOPO WA ELIMU YA JUU”, kwamba wakati wowote kuanzia kesho nitawasiliana na SAMIA LEGAL AID ili siyo tu “KESI” dhidi yenu IFUTWE, lakini MPATE MKOPO 100% ili MSOME BILA TATIZO LOLOTE.👇
Peter Madeleka tweet media
Filipino
9
38
498
21.8K
November _Alfa _Charlie _ retweetledi
Ceebrown4️⃣🇵🇹
Ceebrown4️⃣🇵🇹@Brownn4PF·
He really did it man. He really did😭😭❤️❤️❤️
Ceebrown4️⃣🇵🇹 tweet media
English
65
1.9K
21.4K
240.5K
Taivina James
Taivina James@Thereal_taivina·
Naona Taa za Kijani magari yameruhusiwa nikicheck dirishani kwa huku amekuja njiwa ye ana barua kinywani sina budi kufungua nikifungua ni habari ya kusisimua. 😂😂😂🔥🔥🔥
BAD NUMBER🥷🏿@ByCardoJason

“Hamshangai kiongozi akinunua gari jipya, Alafu mnahoji Panya road kununua panga jipya”😅 45 Kikosi🏴‍☠️ Dizasta Vina wa Singeli, Huyu dogo huwa ni adimu kwenye media lakini mtaani ana kijiji chake.🙌🏿 Muimba singeli pekee msomi aliyepiga combi ya Sayansi A level na akapasua.

Indonesia
8
9
60
6.1K
kvnst
kvnst@kVant1234·
@ByCardoJason Kaishia form six, ni msomi wa nini hasa?
Indonesia
5
0
1
954
BAD NUMBER🥷🏿
BAD NUMBER🥷🏿@ByCardoJason·
“Hamshangai kiongozi akinunua gari jipya, Alafu mnahoji Panya road kununua panga jipya”😅 45 Kikosi🏴‍☠️ Dizasta Vina wa Singeli, Huyu dogo huwa ni adimu kwenye media lakini mtaani ana kijiji chake.🙌🏿 Muimba singeli pekee msomi aliyepiga combi ya Sayansi A level na akapasua.
BAD NUMBER🥷🏿 tweet media
Indonesia
46
38
175
23.1K
November _Alfa _Charlie _ retweetledi
Premier League
Premier League@premierleague·
Bruno Fernandes was WAY out in front when it came to creating chances for his team-mates this season! 😲
Premier League tweet media
English
1.3K
10.4K
64.1K
1.3M
November _Alfa _Charlie _ retweetledi
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Picha hii inastahili REPOST 500 kama salamu kwa mzee wetu TUNDU LISSU kwenye magumu yote anayopitia kuwa tupo nae pamoja.🙏🏾
SIR TIVA tweet media
Filipino
37
1.8K
4.7K
50.9K
Mwanza Buses☀️
Mwanza Buses☀️@mwanza_buses·
From Torino to G7
Mwanza Buses☀️ tweet media
Tanzania 🇹🇿 English
3
4
58
3.5K
November _Alfa _Charlie _ retweetledi
Blaize ™
Blaize ™@Furious_red_·
If this comes to your timeline retweet to annoy them again 😂
Blaize ™ tweet media
English
38
6K
14.7K
111.8K
November _Alfa _Charlie _ retweetledi
MBAH
MBAH@Mbahdeyforyou·
Retweet to annoy our enemies 😂
MBAH tweet media
English
191
11.3K
28.2K
203.9K
Manchester United
Manchester United@ManUtd·
Coming soon to your phone 👀📱 Reply below for the chance to get your personalised lockscreen 👇
Manchester United tweet media
English
53.5K
5.7K
73.9K
5.6M
November _Alfa _Charlie _ retweetledi
John Pambalu
John Pambalu@John_Pambalu·
Picha la kutisha. Nipate.... Repost 1000
John Pambalu tweet media
Filipino
7
86
335
2.9K
November _Alfa _Charlie _ retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
‼️UKWELI KUHUSU BUYOBE, KWENYE SAKATA LA KUTEKWA MSHABAHA.‼️ Shuka na Thread hadi mwisho👇 Nakumbuka January 15, 2026 Buyobe alinitumia namba yake DM akasema nimchek WhatsApp kuna issue tuongee, nilimchek tukaongea. Alinielezea jinsi alivotekwa na kikosi cha Mafwele, walimvotesa n.k pia alishukuru kwa jinsi tulivompazia sauti. Katika maongezi hayo aliniambia kwamba pamoja na kwamba ameachiwa kwa dhamana bado watekaji wa Mafwele wanaendelea kumfuatilia hivyo maisha yake yapo hatarini , nilimwambia achukue tahadhari maana hao watu hawana masihara, akasema anafikiria kuondoka nchini, nikamwambia ni wazo zuri, akaniambia kama kuna Taasisi yoyote ambayo naijua inasaidia watu ambao wanachangamoto kama yake nimuunganishe nayo, nikamwambia hakuna Taasisi yoyote ambayo naijua so tukaishia hapo. Baada ya siku kadhaa alinipigia simu akaniambia, kwamba yupo mahali nilipo anaomba tuonane, tusalmiane na kufahamiana maana hatujawai kuonana zaidi ya humu mitandaoni, nikamwambia kwasasa siwezi kuonana nae kwasababu za kiusalama, nikamwambia kukiwa shwari nitamtafuta mimi mwenyewe, tukaishia hapo. Baada ya hapo alimpigia simu @Twaha_Mwaipaya akamuomba waonane, Twaha alinipigia simu kuniuliza kama namfahamu, nilimjibu Mwaipaya kwamba simfahamu zaidi ya kumuona online hivyo Mwaipaya na yeye akamkwepa badae akampigia simu @Sativa255 kumuomba waonane. Baada ya issue ya Mshabaha kutekwa ndo nikajua kwamba kumbe wakati anawasiliana na mimi kuniambia habari za yeye kuondoka nchini kuna mtu mwingine ambae alimshirikisha huyo mtu ndo alimuunganisha na @lifeofmshaba ili amsaidie kutoka nchini kwasababu alisema vijana wa Mafwele walikuwa bado wanamuwinda. Alifika Nairobi akapokelewa na @lifeofmshaba na kupelekwa mahali pa kuishi, muda wote alikuwa akidai kwamba anaumwa shingo, kichwa na miguu lakini pia alimwambia Mshabaha vitisho vya Mafwele kusema kwamba atamfira + kuonana na watekaji live ni vitu vilimuumiza sana kisaikolojia hivyo alitafutiwa Mwanasaikolojia lakin alipoambiwa aende Hospital kufanya checkup ili wajue Polisi wamemuumiza kwa kiwango gani ili apatiwe matibabu alikataa. Muda wote wakati Buyobe yupo Nairobi. Mshabaha alikuwa anakwenda kwake kumjulia hali kutokana na madai ya changamoto yake ya afya alokuwa nayo. Siku ya tatu, Buyobe alimpigia simu Mshabaha akamjulisha kwamba, nyumban kwake kuna mgeni ambae na yeye kalazimika kukimbia Tanzania kwasababu Mafwele anataka kumuua akaenda mbali zaidi akamdanganya kuwa mgeni huyo ni Mwanachama wa CHADEMA wakati si Mwanachama wa Chadema. Mshabaha alifika mahali alipokuwa anaishi Buyobe akamkutana huyo mgeni ambae Buyobe alimtambulisha kuwa anaitwa Aidan Msuya ni rafiki ake wa miaka mingi. Buyobe alimdanganya Mshabaha kwamba Msuya alikuwa Diwani wa Chadema wa Ubungo huku akijua fika kwamba Msuya hajawai kuwa Diwani. Mshabaha alimuliza ndani ya CHADEMA anamfahamu nani Buyobe akasema @ExMayorUbungo na Hilda Newton japo kwasasa Msuya hana mahusiano mazuri na Bony. Ili Mshabaha amuamini zaidi Msuya, Buyobe akamdanganya Mshabaha kwamba Msuya ni boyfriend wa Hilda Newton wakati huo anajua fika kwamba mimi na Msuya hatufahamiani kabisa. Mshabaha alimwambia kama anamahusiano na Hilda mpigie simu, Msuya akasema hapana itamletea shida, maana amekuja hajajipanga Mafwele amefunga account zake zote za Bank na kama girlfriend wake, akijua yupo Nairobi na akashindwa kumuhudumia itakuwa aibu sana kwake, haya ni maswali walikuwa wanajibu Buyobe na Msuya kwa pamoja na kwasababu walijua wanasema uwongo, wakamuomba Mshabaha asiniambie chochote so Mshabaha akakausha. Huo ndo ukawa mwanzo wa Mshabaha kumfahamu Msuya ikawa kila akienda kumuona Buyobe anamkuta Msuya kuna wakati walikuwa wanaenda kula pamoja, Mshabaha hakuwa na wasiwasi na Msuya kwasababu ya Utambulisho ambao alipewa na Buyobe, aliamini ni mtu Genuine. Buyobe akatoa wazo wapate gari maana na hali yake ya kiafya na usalama ni muhimu wakawa na gari, mara wazo likawa linafanyiwa kazi na Msuya. Part 2 inaendelea hapa 👇
Hilda Newton tweet media
Filipino
175
412
1.5K
270.2K
simo_northern47
simo_northern47@SLello47·
We kama upo k/koo anza safari ya kurudi magetoni jioni hii sa 11 hupati tena nauli 😂
Filipino
14
21
113
2.9K
November _Alfa _Charlie _ retweetledi
𝑴𝒂𝒌𝒂𝒗𝒆𝒍𝒊 
Wakuu tusiache kupiga kelele hadi mwenzetu hapatikani, leo utaona haikuhusu ukanyamaza iko siku watafika dirishani kwako, tunahitaji kelele ya kila mmoja wetu mwenetu arudi uraiani #FreeNinja
Indonesia
3
179
292
5.9K