Ghost master

1K posts

Ghost master banner
Ghost master

Ghost master

@Tz_RisingForums

defend dem all

Katılım Eylül 2025
0 Takip Edilen41 Takipçiler
Tanzania Abroad TV
Tanzania Abroad TV@AbroadTanzania·
Kama una Pesa kwenye account Za kitanzania ziweke kwenye mzunguko Mara moja! Au Kama waweza ziweke kwenye currency tofauti na Tzsh ama kwa Binance au Ku coin au wallet yeyote Tanzania inafilisika kabla ya mwezi wa 8 Keep this ✍🏻✍🏻
HT
40
98
1.2K
44.6K
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Hivi madereva wanapowashiana taa mara mbili haraka haraka (pap pap) huwa wanaashiria nini..?
Filipino
59
50
639
49.7K
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
Baada ya Rais Donald Trump wa Marekani kumaliza ziara ya kikazi ya siku 2 nchini China, serikali ya Marekani iliwataka wale wote waliokuwa kwenye msafara huo akiwemo Rais, kutupa kila kitu walichopewa au kutumia wakiwa China kabla ya kuingia kwenye ndege. Zoezi hilo lilifanyika katika pipa la uchafu lililowekwa nje ya ndege. Vitu hivyo ni pamoja na simu za matumizi ya muda mfupi (burner phones), beji, vibali, pini, zawadi n.k Msafara huo uliacha simu zao binafsi zote ndani ya ndege yao Airforce one na zilihifadhiwa ndani ya mifuko maalumu ambayo haiwezi kushika ishara yoyote ya mtandao. Hatua hizi zilichukuliwa kwa sababu za kiusalama, huku Marekani ikiendelea kuamini kuwa China inaweza kutumia mwanya wowote kuifwatilia serikali yake kijasusi. Rais Trump alimaliza ziara hiyo ijumaa ya jana. #KitengeUpdates
Maulid Kitenge tweet media
Indonesia
36
48
787
73.7K
(fan)Sam
(fan)Sam@CFCSam_X·
Hapa niongeze nini?🤔
(fan)Sam tweet media(fan)Sam tweet media(fan)Sam tweet media
Nederlands
254
67
524
54.9K
Ghost master
Ghost master@Tz_RisingForums·
@derc2323 Na ndo kaalikwa sasa nyie si mnatambua mapunga wenzenu wenye akili wanatambulika njee uko😅
Filipino
0
0
0
4
deric
deric@derc2323·
Kwahyo huyu jamaa media za bongo ni kwamba huwaga hawamuoni au Au media zote zinamchukia huyu jamaa aseeh😂 Hawajawahi kumpa airtime hata kidogo aseeh 🙌🙌
deric tweet mediaderic tweet media
Indonesia
61
54
835
56.8K
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Niambie umegundua kitu gani Cha utofauti kwenye picha hiii
kasesco☆ tweet media
Indonesia
95
38
343
35K
Dr. Sisimizi
Dr. Sisimizi@Sisimizi3·
Hii kitu imenifikirisha sana kuna siri gani ya utajiri na uislamu, maana Bongo hakuna Mkristo tajiri aliyeshikilia uchumi wa nchi. Rostam - Muislam GSM - Muislam Lugumi - Muislam Mo Dewji - Muislam Bahkresa- Muislam Patel - Muislam Manji - Muislam Sett - Muislam
Dr. Sisimizi tweet mediaDr. Sisimizi tweet mediaDr. Sisimizi tweet mediaDr. Sisimizi tweet media
Indonesia
100
9
268
46.1K
Ghost master
Ghost master@Tz_RisingForums·
@iamNehemia Kumbuka hapo kuna mambo ya ujasusi wa kiuchumi Kuna rooby hata sisi tuliwapora majirani hoima it's all about games
Filipino
0
0
0
52
Liber Nehemia
Liber Nehemia@iamNehemia·
Samsung alikuja kujenga industrial park in Tanzania Tukajizungusha. NALA was about to put HQ in Tanzania Tukajizungusha. Celtel was to put it's HQ for Africa in Tanzania Tukajizungusha. VW was to put an assembly plant in Tanzania Tukajizungusha. List ni ndefu sana, So it's concerned people Wana shindwa kufanya maamuzi, au sera zetu zina changamoto, au nini kinatu - kwamisha. Naomba kueleweshwa?🤔
Liber Nehemia tweet media
Suomi
139
98
749
58.1K
mTusi original 👦
mTusi original 👦@mTusiOriginal·
Nimeishi rwanda nimesema nimeishi burundi ila hakuna nchi ya ajabu kama bongo. Maisha ya ajabu ajabu sana,
Indonesia
24
24
239
10.7K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Didier Drogba apelekewe moto aambiwe aache kutumika na Serikali haram ya wauaji kuhalalisha mauaji waliyofanya Oktoba 29 dhidi ya raia wa Tanzania. Hii ni namba ya Taasisi ya Drogba inaitwa Drogba Foundation +2250719190089 Hii ni email yake contact@didierdrogbafoundation.org Nyingine hii info@thesportsprcompany.com
Hilda Newton tweet media
Indonesia
27
98
413
22.7K
Ghost master
Ghost master@Tz_RisingForums·
@Kimbesa11 @eastafricatv Hii ungenyamaza tuu ungeonekana una mana zaidi Unajua gdp yao ? Unajua population yao Fatilia miundo mbinu yao ndo uje pwayuka
Indonesia
1
0
0
97
kimbesa.
kimbesa.@Kimbesa11·
@eastafricatv Kufuta deni la Taifa siyo maendeleo ni umasikini tupu. Mpaka sasa : Namibia haina ina vyuo vikuu 2 tu. Namibia haina umeme wakutosha Namibia haina reli ya umeme. Namibia haina shule za kutosha Haina madaraja
kimbesa. tweet mediakimbesa. tweet mediakimbesa. tweet media
Filipino
23
1
8
2.3K
EastAfricaTV
EastAfricaTV@eastafricatv·
#HABARI Rais wa Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah, ameiongoza nchi yake kufikia hatua muhimu ya kiuchumi baada ya kukamilisha malipo yote ya deni la Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF). Namibia imelipa jumla ya dola milioni 23.9, hatua inayotajwa kupunguza mzigo wa madeni ya nje na kuongeza uthabiti wa uchumi wa taifa hilo. Mafanikio hayo yamepokelewa kama ishara ya usimamizi mzuri wa fedha za umma chini ya uongozi wa sasa. Kukamilika kwa deni hilo kunatajwa kuipa Namibia uhuru mkubwa zaidi wa kifedha, huku serikali ikitarajiwa kuwa na nafasi pana ya kuelekeza rasilimali katika miradi ya maendeleo ya ndani. Kwa mujibu wa takwimu hadi Machi mwaka huu, malipo hayo yalifikia dola milioni 23.8875. Namibia sasa imejiunga na baadhi ya mataifa ya Afrika yaliyofanikiwa kufuta madeni yao kwa IMF, ikiwemo Msumbiji. Netumbo Nandi-Ndaitwah, mwenye umri wa miaka 72, ndiye rais wa kwanza mwanamke wa Namibia. Aliingia madarakani mwezi Disemba 2024 baada ya kushinda uchaguzi kwa asilimia 57 ya kura, huku mpinzani wake wa karibu Panduleni Itula akipata asilimia 26. Tangu akiwa na umri wa miaka 14, amekuwa mwanachama wa chama tawala cha SWAPO, hatua iliyomjengea historia ndefu ya kisiasa nchini humo. CC: BBC News; DW Kiswahili #EastAfricaTV
EastAfricaTV tweet media
Indonesia
47
47
706
37.6K
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Story za Mpira Upo Story za Madem Upo Story za Serikali Upo Story za Vita Upo Story za Maadili Upo Story za Katiba Mpya Upo Story za Uchumi Upo Story za Afya Upo Story za Elimu Upo Story za Dini Story za Hovyo Upo. Wewe ni nani..?
Slovenščina
161
103
507
20.6K
Joseph Mbilinyi
Joseph Mbilinyi@TheRealJongwe·
Hii nchi tumeipambania sana kubabake! Hapo wadwanzi walichana suti yangu mpya kabisa ya Calvin Klein, MATAKO YAO!😎 #FREELISSU #KATAARIPOTI
Joseph Mbilinyi tweet media
Filipino
271
497
4.1K
83.2K
Ghost master
Ghost master@Tz_RisingForums·
@mshambuliaji @fred_vunjabei Sisi hua wanatabia flani ukiona kama wanakutaka jua hawakutaki na ukiona kama hawakutaki jua wana kutaka Sema watu hawajifunzi tuu hii kanuni
Indonesia
0
0
3
2.4K
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
Licha ya kuongoza kura za Maoni katika Mchakato wa Uchaguzi wa Ubunge, Jimbo la Isimani (Mkoa wa Iringa), Kamati Kuu ya CCM, imemuweka kando Mfanyabiashara Fred Ngajiro maarufu kama @fred_vunjabei na kumteua Emmanuela Kaganda Mtafikolo kuwa Mgombea Ubunge wa Jimbo la Isimani Mkoani Iringa. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Katibu Wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) Itikadi, Uenezi na Mafunzo Kenani Laban Kihongosi, imesema kuwa kwa kuzingatia mamlaka iliyopewa chini ya Ibara ya 105 (7)(f) ya Katiba ya CCM ya Mwaka 1977 Toleo la Julai 2025, Kamati Kuu imefanya uteuzi wa mgombea waCCM kwa ajili ya Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Isimani, lililopo wilaya ya Iringa Vijijini ambapo Mgombea aliyeteuliwa ni Emmanuela Kaganda MTAFIKOLO. #KitengeUpdates
Maulid Kitenge tweet media
Indonesia
64
19
596
74.4K
Ghost master
Ghost master@Tz_RisingForums·
@Pie44LH Mawili kama unaenda kinyerezi ukitoka mbezi
Indonesia
1
0
1
5
Jerry Msechu
Jerry Msechu@Pie44LH·
Ila Tanzania tuna machaguo machache sana ya Common foods. So vyakula vinavyopatikana kwenye maeneo ya kawaida ni ugali, wali na chipsi tu? 💔 😂
Filipino
38
40
529
23.5K
JIGA📌📌
JIGA📌📌@EddyAman5·
Kusha Wahi kujiuliza ndugu yangu Usiku wa kwanza ndani ya kaburi katika Maisha yako Utakua vp ?📌
Indonesia
11
7
51
2.2K
Ghost master
Ghost master@Tz_RisingForums·
@Mwangosijnr Tatizo mnasoma ila hamelimiki mwenyekiti wa kijiji ndo boss wa kijiji someni katiba yenu So mnalalamika watu kutimiza majukumu yao
Indonesia
0
0
2
54
Masterplan🇹🇿
Masterplan🇹🇿@master_plan9·
Ukiajiriwa Tamisemi Unafokewa Adii na Mwenyekiti Wa Kijiji.😂
Indonesia
60
95
676
30.5K
Ghost master
Ghost master@Tz_RisingForums·
@Pie44LH Sasa kama malamba ivo vitu unapata wee mbezi gani ukose
Indonesia
1
0
1
10