University Of Dodoma Law Students Association.

15 posts

University Of Dodoma Law Students Association. banner
University Of Dodoma Law Students Association.

University Of Dodoma Law Students Association.

@UDLA2019

Association special for Law student at the University of Dodoma (UDOM)

Dodoma, Tanzania Katılım Ekim 2019
106 Takip Edilen137 Takipçiler
University Of Dodoma Law Students Association.
Mh. Gidius G. Kato Rais wa Jumuiya ya wanafunzi wa sheria shule kuu ya sheria UDOM (UDLA) amezindua Website ya Jumuiya wakati wa kuvunja kamati mbalimbali kwaajili ya kupisha Uchaguzi Mkuu wa Jumuiya.
University Of Dodoma Law Students Association. tweet media
Indonesia
0
2
6
0
University Of Dodoma Law Students Association.
Leo zinavunjwa kamati zote za utendaji ili kupisha uchaguzi mkuu wa Jumuiya yetu ya UDLA. ninawashukuru sana viongozi wote wa kamati tendaji na kamati zote za muda kwa kutuheshimisha. Hasa wakati huu ninapoelekea kukabidhi madaraka ya URAIS kwa mtu mwingine (Mh. GIDIUS G. KATO)
University Of Dodoma Law Students Association. tweet media
Indonesia
1
1
5
0
University Of Dodoma Law Students Association.
Tunapoelekea katika jamii zetu, tunawakumbusha wanafunzi wote kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi ya Virusi vya CORONA. Jilinde na uwalinde na wengine.
Indonesia
0
0
5
0
University Of Dodoma Law Students Association.
Tunawapongeza wanafunzi wote wa CHUO KIKUU CHA DODOMA @udomofficial kwa kumaliza vyema mitihani ya muhula wa pili katika mwaka wa masomo 2020/21. Tunawapongeza wahitimu wote ambao wametamatisha masomo yao hapa UDOM kwa mwaka huu wa masomo. Tunawatakia likizo njema.
Filipino
1
0
9
0
University Of Dodoma Law Students Association. retweetledi
Ummy Mwalimu
Ummy Mwalimu@ummymwalimu·
Ziara ya Jimbo, Kata ya Mabokweni - Ujenzi wa Maabara za Masomo ya Sayansi Mabokweni Sekondari, Ujenzi wa Zahanati Kiruku na Mkutano wa hadhara kusikiliza na kupokea kero za wananchi ili kuzitatua.#OdoUmmyKazini instagram.com/p/CRrHAkYMV9U/…
Indonesia
48
9
109
0