Shambuli Bahini
3.6K posts

Shambuli Bahini
@ShambuliB
Ignorant Citizens are the capital of rural politicians! vijana msitumike kisiasa tumikeni kiuchumi Tanzania ni yetu🇹🇿
[email protected] Katılım Haziran 2020
360 Takip Edilen111 Takipçiler

TAARIFA KWA UMMA
Leo Aprili 16, 2026 aliyekuwa kapitishwa na @ACTwazalendo kugombea Urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa 2025, Ndugu Luhaga Mpina amekutana na Mheshimiwa @LAZARUSCHAKWERA katika hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es salaam.
Mazungumzo yao yalijikita kwenye demokrasia, dhuluma za uchaguzi na ukatili wa dola kwa wananchi.
#TaifaLaWote #MaslahiYaWote



Indonesia

@MwananchiNews Huyu si alirukisha kichurachura wanajeshi huyu alivyopewa uwaziri 🤔
हिन्दी

Ukiacha nguvu, fursa, heshima na wingi wa marafiki unaokuwa nao ukiwa na cheo, waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii, Dk Hamis Kigwangalla, amesema mambo huwa kinyume chake mamlaka yanapokutoka, akisimulia hata uliowaona wa karibu wamepotea.
Katika simulizi yake aliyoihusianisha na maisha yake ya sasa akiwa si waziri wala mbunge, amesema hata huduma ambazo awali alizipata kwa rahisi na haraka, kwa sasa zinahusisha milolongo na nyingine wahusika hawapokei simu wala kujibu baruapepe.
#mwananchiupdates
#tunawezeshataifa
Indonesia

@PlanetFutbal Hapa ndio utakundua hata ile ya tar 8 nani korofi
Indonesia

Chawa wa Idd Amin Mama Haji Manara kamuuliza Mhe. @HecheJohn swali la kijinga kuhusu TUME YA MCHONGO YA JAJI CHANDE, Mhe. Heche kampa za uso.👌
Filipino

@Mikazokitwango Ukweli unatabia moja tuu "umenyooka" Kama huo ujumbe
Indonesia


😂Juzi nimeongea na mwanangu wa kidato aliua UDOM anasema haoni hata maana ya kuwa na smartphone aisee kweli mazingira yanamuumba mtu yaani yeye bize na boda na kilimo🙌🏽 na he looks happy
Luhamba II@LuhambaI
@gabyconscious Saizi ungekua zako una mke kutoka TKY unaishi pale mbalizi II kashamba Kako ka maharage heka 2 Kuna ubaya gani? 😂😂
Filipino

AJIRA! FURSA! AJIRA!! PCCB
Haya Jumapili leo, Mama Samia kamwaga wino tena ajira 500 hizo kwa Takukuru, msije kuendelea kukaa hapa mkawa mnadanganywa serikali haitoi nafasi!!
Sasa, kama umeshawahi kuwa mhaini hii haikufai 😂, sijui una tatoo pita kulee!! Zile za Tamisemi wanaharakati waliwaambia msiombe ila vijana tumewaona wamepata wengi kweli kweli, sasa na hizi tena wasikilize!!
Haya kazi kwako, nimesahau pia kuna umri hivyo usikimbilie tu 45+ lala nyumbani tafuta wajukuu!!



Indonesia

@LuhambaI @gabyconscious Hiyo circle imekaa poa Sana! Shambani then kijiwe cha boda jion home
हिन्दी

@gabyconscious 😂sisi ni product ya mazingira kaka, Sasa yeye akiingia shamba akitoka Boda, socials za Nini?
😂😂😂
Filipino

@Mikazokitwango @giboretz Anaulizia watu maarufu kumbe mpo tuu😂😂
Filipino

@ShambuliB @swahilitimes Spika wako kwan hakutimuliwa kaz??
Filipino

@nyaissa_agaptus @swahilitimes Karibia nchi zote zinazoamin na kutumia democracy
Română

@ShambuliB @swahilitimes Kwan hyo separation of power umeshawah kuiona nchi gan ya Africa??
Filipino

@PMadeleka Huyu msomi amechagua kuishi maisha ya kusema ukweli
Indonesia

@GMasele @HildaNewton21 @lifeofmshaba Ndugu Kama ni mgodi wa msasa uliopo lunzewe hakuna taarifa kama hizo eti kwamba mamia ya watu wamefukiwa
Filipino

HABARI MBAYA KUTOKA GEITA.
Kama mnakumbuka juzi kati kuna mamia ya ndugu zetu ambao walikufa kwa kufukiwa na kifusi kwenye MGODI WA MSASA uliopo Geita.
Sasa usiku wa kuamkia jana Jeshi la Polisi lilichukua miili ya watu 107 ambayo walifanikiwa kuiopoa na kwenda kuizika kwenye kaburi la pamoja ndani ya pori la Ushirombo.
So kama unandugu yako ambae unajua alikuwa miongoni mwa wachimbaji waliofukiwa na kifusi kwenye Mgodi wa Msasa basi tambua kwamba anaweza kuwa miongoni mwa miili iliyozikwa kwenye kaburi moja huko Ushirombo.
Serikali ya Idd Amin Mama haijali kabisa kuhusu uhai wa watu wala haithamini maiti.
Oktoba 29, waliuwa kwa risasi maelfu ya Watanganyika wenzetu kisha wakaiba miili na kwenda kuizika kwenye makaburi ya halaiki naona mara hii wameamua kurudia kutumia njia ileile waliyotumia Oktoba 29.
Wanafanya yote haya ili kupoteza ushaidi kuhusu watu kufa kwenye mgodi huo ambao unamilikiwa na Mkuu wa Mkoa wa Geita Martin Shigela.
Indonesia
















