#TajiriLaKihaya
CHOPAWANG , mashabiki zako tunaomba link ya ngoma mbili tatu…
Tukakuchungulie pale YOUTUBE…
Share kwenye Comments hapo… tuzirushe mjini BURE kabisaaaaa 🙌🏽🙌🏽
#TajiriLaKihaya
My Last Born, ISFA ISSA- Katimiza miaka MIWILI leo siku ya nane nane…
Nisaidieni kumpa Birthday Blessings and Wishes… Akikua atakuja kuzisoma- IN SHA ALLAH🙏🏽
🚨Kuna rekodi nilikuwa naifuatilia hapa inatisha kidogo. Toka mwaka 2004 Bingwa wa kombe la Mapinduzi hajawahi kubeba Taji la ligi kuu.
Ni kama ambavyo pale kwa Malkia Elizabeth, ni muda mrefu sasa timu zilizobeba Community shield zimeshindwa kubeba taji la PL.
Ni kama hapo nyuma ilivyokuwa kubeba UEFA mpaka uwe na mchezaji M-Croatia, na lazima kwenye njia zako uwe umeitoa Barca au Madrid.
Mwaka huu bingwa wa Mapinduzi ni Young Africans😜
Binafsi naiogopa sana Historia vip wewe🤣🙌
Taarifa kwa umma.
Tunalaani kwa nguvu zote serikali dhalimu kuzuia tume ya haki za binadamu ya bunge la ulaya kuingia nchini kuona ukweli kuhusu hali ya hali za binadamu.
Kama tume yenu ya Chande imechunguza na mnaamini ilichosema, kwanini mnaogopa kuruhusu watu huru kuja kuchunguza?
#FreeTunduLissu hoja zake za kutetea watanzania ndio zimemuweka Gerezani mpaka leo.
Kama mlikuwa hamtaki ushindani wa HOJA mngefuta vyama vingi tuwasikilizage nyie tuu.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA @godbless_lema akiongozana na M/Kiti wa Chadema Kanda ya Pwani @ExMayorUbungo wakiingia uwanja wa mkutano wa hadhara leo Jijini Arusha.
#KatibaMpya