Chunya county

9.8K posts

Chunya county banner
Chunya county

Chunya county

@VittusJ

non

Mbeya, Tanzania Katılım Aralık 2015
652 Takip Edilen361 Takipçiler
Chunya county
Chunya county@VittusJ·
@spana_Konki Watu wanaukatili ukileta ufara kwa habari zinazohitaji akili kubwa wanakuchana wasiwazi
Indonesia
0
0
0
417
Chunya county
Chunya county@VittusJ·
@EsirEid Dah ila hii nchi ya ajabu kwa hiyo Latra walipanga bei kubwa kiasi kwamba wamiliki wa mabasi wakaamua kutupunguzia haya ni maajabu
Indonesia
2
0
3
408
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Jana Asubuhi nkiwa njian naelekea Ofisin kwangu MASAKI, ndani ya HILUX 2021… Nlisikiza Wasafi wakimhoji msemaji wa LATRA Baada ya kikao chao cha juzi…aliongea mambo mengi saana! Miongoni mwao Alisema: Bei ambazo zinatumiwa na ma Bus ya Mikoani ipo Chini hata kuzidi bei elekezi walizo ziweka Latra 2023. Labda Kwa sababu ya Ushindani baina yao… Alitolea mfano wa kigoma- bei elekezi latra ni Laki moja.. ila kuna ma bus yanacharge hadi elfu 70. Huenda Kwa point yako hio… Baada ya bei ya mafuta kupanda- wameamua kuongeza Hadi Bei kikomo za Latra.
Rogath jr@JayRogath

Hii Nchi kila mtu ni Kambale yani Latra hajatoa tamko la mabadiriko ya nauli ila wenye mabus sahivi wameshapandisha nauli tayari Sahivi Dar-Musoma imefika 105k kutoka 85k 🚮🚮🚮

Indonesia
38
23
232
29.5K
EL SUKAYO🇹🇿
EL SUKAYO🇹🇿@Elsukay0·
Hivo vimistari kwenye button no 5 huwa vina kazi gani haswa?
EL SUKAYO🇹🇿 tweet media
HT
27
16
116
16.9K
CHURA MYUNANI MKALI PAPPARAZI
Mtakatifu JPM wa Chato alitakaga kufosi vitambulisho vya mjasiriamali viwe dhamana ya mkopo, bank zote nchini zilimruka 😅kuna mambo hata uwe na mamlaka vipi huwezi yafosi
Indonesia
9
13
344
14.8K
HAPPNES MLAY
HAPPNES MLAY@Happinesmlay·
Who will be the first to fall, and who will be the last?
HAPPNES MLAY tweet media
English
18
7
60
6.2K
mhd
mhd@mhdhamad·
Swali mtambuka Daudi atakubali kupanda kibasi?🤔
Indonesia
10
3
80
7.3K
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Mwaka 1978 Kenya katika mashindano ya mpira ya klabu bingwa afrika mashariki walikuwa na mchezaji anaitwa Otieno Mboo. Walifanikiwa kufika fainali. Lakini huyo mchezaji aliumia mechi ya Nusu fainali, Magazeti ya Kenya yaliandika vichwa vya habari visemavyo, WAKENYA KUCHEZA BILA MBOO, Raisi akazuia magazeti yote na kusema warekebishe hiyo sentensi. Walibadilisha na kesho yake kuandika WAKENYA KUCHEZA MBOO NJE. Siku ya mechi Wanawake walifurika Uwanjani kuona mpira!!!!!
Indonesia
20
4
49
11.8K
Chunya county
Chunya county@VittusJ·
@FaradayMtz01 Katika vitu vinavyonifanya nione tunaviongozi wa roho mbaya ni hizi bei za vyombo vya moto vinavyofanya mpaka watu washindwe kumudu gharama na badala yake wanunue magari used kutoka Japan.
Indonesia
1
0
5
409
I ❤️ Dar Es Salaam
I ❤️ Dar Es Salaam@FaradayMtz01·
Pikipiki mwaka 2017 zilikuwa zinauzwa 2.2M TZS sasa zinauzwa 3.5M TZS. Bajaj zinauzwa 10M TZS sasa, mwaka 2017 ilikuwa 6M TZS Ukiagiza mzigo nje kodi ni mara mbili ya bei uliyonunulia. Bidhaa moja inaweza kuwa na kodi zaidi ya 10. Lengo sio kodi, bali kumfanya raia awe poor
Indonesia
26
131
897
30.8K
Narrowbeefly
Narrowbeefly@Narrowbeeflying·
Ukiachana na Ileje na Kibindo ni Wilaya gani nyingine mbaya zaidi unayoijua Tanzania? 😁
Indonesia
36
33
147
7.7K
Adamoo
Adamoo@Addy_Adams·
Kigogo Kandarasi imeisha au invoice imechelewa kutoka? Sisi si wajinga bana 😂
Indonesia
25
13
238
9.6K
Chunya county
Chunya county@VittusJ·
@safarimlevi Anatuchanganya sana mara atufanye marafiki zake mara ghafra maadui zake yaani anatuyumbisha
Indonesia
1
0
3
552
SafariMlevi
SafariMlevi@safarimlevi·
Maisha yana change sana kigogo kawa opposition na Sa 100 sahivi, wale mliokua mnamtumia DM mjiandae UVCCM 😂 Hakuna adui Wala rafiki wa kudum
Indonesia
21
19
278
14.9K
Chunya county
Chunya county@VittusJ·
@Maestrowafact Ni kweli unaloongea Wale jamaa hawawezi tengeneza urafiki wa karibu wa kimalipo Bila kufanya tahadhari ya siku ukiwageuka wakuhandle vipi.
Indonesia
0
0
3
1.1K
CHURA MYUNANI MKALI PAPPARAZI
Kosa kubwa alilifanya kigogo ni ushirika ambao aliingia ili alipwe mbaya zaidi najua kuna sehemu ameacha alama wakati anapokea hayo malipo Alama hii inaweza mgharimu mazima ngoja tuone
Indonesia
14
18
279
13.9K
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Mtu yupo Tandahimba anabonyeza kioo kilichopo mkononi mwake anaongea na mtu wa New York, anaona watu wanapandikiza viungo na wanaishi, watu wanatumia maji kuzalisha umeme unaowasha mitambo na kuendesha magari, halafu bado anabisha kusikia watu wanauzunguka Mwezi. Hii nchi daah 🙌
Indonesia
102
106
1K
31.6K
Chunya county
Chunya county@VittusJ·
@hassmantozzi @Maestrowafact Penye kutoogopa hapo ndipo tatizo lilipo haiwezekani kutoogopa lazima tu akili zitakutoka ndio maana kuna baadhi ya maeneo mzigo ukisharudi wanashindwa kuamini wanavua nguo mbele za watu kuwahakikishia upo jamani.
Indonesia
0
0
1
2
CHURA MYUNANI MKALI PAPPARAZI
Issue ya kupoteza nyeti inayovuma Tanzania kwa sasa ukiitazama kwa jicho la kijasusi utagundua siyo tukio la bahati mbaya. Ni classic social Engineering iliyopangwa kwa ustadi mkubwa. Nisome Mkali nikupe desa la bure ukae rada 🧵
Filipino
69
72
644
45.6K