#UfafanuziMuhimu
//
Leo tarehe 08 Aprili, 2026, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati akiwaapisha viongozi aliowateua hivi karibuni amezungumzia changamoto ya kupanda kwa bei za mafuta Duniani.
Kutokana na baadhi ya watu kuhitaji ufafanuzi wa kauli hiyo, Mheshimiwa Rais alimaanisha ifuatavyo;
1. Bei za mafuta ya dizeli katika soko la dunia zimeongezeka kwa dola za Marekani 800 kwa tani ambapo zimetoka dola 650 ya mwezi Februari 2026 hadi kufikia dola 1,450 mwezi Machi 2026.
2. Bei za mafuta ya petroli katika soko la dunia zimeongezeka kwa dola za Marekani 434 kwa tani ambapo zimetoka dola 618 ya mwezi Februari 2026 hadi kufikia dola 1,052 mwezi Machi 2026.
3. Bei za mafuta ya taa na mafuta ya ndege katika soko la dunia zimeongezeka kwa dola za Marekani 821 kwa tani ambapo zimetoka dola 679 ya mwezi Februari 2026 hadi kufikia dola 1,500 mwezi Machi 2026.
Pamoja na kuwepo kwa athari za kupanda kwa bei za mafuta kwa watumiani Duniani kote, bado viwango vya bei za mafuta vya Tanzania ni vidogo ikilinganishwa na nchi zingine.
Kupanda kwa bei za mafuta kumesababishwa na athari za vita inayoendelea kati ya Irani dhidi ya Israel na Marekani iliyosababisha kufungwa kwa lango la Hormus ambalo hupitisha mafuta mengi yanayotumiwa Duniani ikiwemo Tanzania na nchi zingine za Afrika.
@hassmantozzi@Maestrowafact Utaperi wa mazingaombwe ulioanzia Congo na kuvuka mipaka lengo wanataka wakikufanyia hivyo wakuponye wapige hela sasa tatizo linakuja unapopata hofu unajikuta unapiga yowe
Issue ya kupoteza nyeti inayovuma Tanzania kwa sasa ukiitazama kwa jicho la kijasusi utagundua siyo tukio la bahati mbaya. Ni classic social Engineering iliyopangwa kwa ustadi mkubwa.
Nisome Mkali nikupe desa la bure ukae rada 🧵
@Maestrowafact Hakuna issue ya namna hiyo mkuu hii issue ilianzia Congo na inatembea mithiri ya moto wa nyika kisha ikahamia miji ya Zambia ikahama na kurukia Tz siyo muda inagonga Nairobi.
It’s not a straight shot to the far side of the Moon! 🌕
Over approximately 10 days, the Artemis II astronauts will orbit Earth twice before looping around the far side of the Moon in a figure eight and returning home.
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia Aprili 1, 2026 ambapo bei za rejareja za mafuta katika Mkoa wa Dar es Salaam kwa petrol ni Tsh. 3820, dizeli Tsh.3806 na mafuta ya taa Tsh. 3684.
Taarifa ya EWURA imesema bei za mafuta katika soko la dunia zimeongezeka kwa asilimia 69.98 kwa mafuta ya petroli, asilimia 114.46 kwa mafuta ya dizeli na asilimia 120.81 kwa mafuta ya taa ambapo mabadiliko ya bei za mafuta nchini kwa mwezi Aprili 2026 yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na vita inayoendelea kati ya Marekani kwa kushirikiana na Israeli dhidi ya Irani iliyoanza tarehe 28 Februari 2026.
Taarifa hiyo imeongeza kuwa kushambuliwa kwa visima vya mafuta, maghala ya kuhifadhi mafuta na viwanda vya kusafisha mafuta (refineries) pamoja na Irani kufunga Lango la Hormuz linalopitisha takriban asilimia 20 ya mafuta yanayosafirishwa kwenda kwenye masoko mbalimbali duniani.
Hali hiyo imeathiri hali ya uzalishaji mafuta kwenye nchi za Mashariki ya Kati ambako Tanzania inaagiza kwa kiasi kikubwa; imeongeza gharama za usafirishaji kutokana na kukosekana kwa meli za kusafirisha mizigo na imeongeza gharama za bima za meli za mizigo kutokana na vita.
Ongezeko hilo la bei za mafuta ni janga la kidunia na Tanzania kama sehemu hiyo inachukua hatua mbalimbali kuhakikisha usalama wa upatikanaji wa mafuta nchini na katika bei himilivu ili kupunguza madhara ya kiuchumi na kijamii. Kutokana na hali hiyo, wananchi wanashauriwa kutumia mafuta kwa uangalifu na ufanisi mkubwa,
Kwa mwezi Aprili 2026, gharama za kuagiza mafuta (premiums) katika Bandari ya Dar es Salaam zimeongezeka kwa wastani wa asilimia 15.3 kwa mafuta ya petroli na asilimia 10.8 kwa mafuta ya dizeli na hakuna mabadiliko ya gharama kwa mafuta ya taa. Katika Bandari ya Tanga gharama zimeongezeka kwa asilimia 6.9 kwa mafuta ya petroli na hakuna mabadiliko kwenye mafuta ya dizeli. Hakuna mabadiliko ya gharama katika bandari ya Mtwara.
#KitengeUpdates
@fbuyobe Bei kupanda isingekua stori kama waziri asingetoka kuaminisha watu vitu visivyo na ukweli. Shida hapa ni ile ile, kuwapa watu taarifa zisizo za kweli ili tu upigiwe makofi
Waziri na EWURA walituthibitishia kuwa vita vinavyoendelea huko mashariki ya kati haitaathiri chochote kwenye bei ya mafuta kwani tuna reserve ya kutosha.
Kipi kinachopandisha bei ya mafuta kwa sasa?
Breaking News:
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa, Mbunge wa zamani wa Jimbo la Kilwa Kusini Seleman Bungara (Bwege) amefariki Dunia mchana huu, akiwa kwenye Hospitali moja ya binafsi huko Kigamboni, Dar es Salaam,
Jambo TV imezungumza na Abbas S.A. Bungara ambaye ni Kaka wa marehemu, ambapo amesema marehemu alifikishwa Hospitalini hapo kwaajili ya kufanyika Dialysis kama ilivyokuwa ikifanyika kawaida, na ndipo umauti ulivyomfika,
Amesema kwa sasa mipango ya mazishi inaendelea, na taarifa zaidi zitatolewa hapo baadae ila msiba (kwaajili ya watu kuhani) ni Temeke nyumbani kwa Abbas Bungara,
Enzi za uhai wake marehemu Bwege amewahi kutumikia vyama vya siasa vya CUF, ACT Wazalendo na hivi karibuni alitangaza kujiunga na CHADEMA, ingawa mchakato rasmi wa kukabidhiwa kadi ya chama hicho ulikuwa haujakamilika.
NB: Jambo TV itakuletea taarifa zaidi kuhusiana na msiba huo.
@Wakazi Ningetamani sana kuskia kutoka kwako bro @Wakazi, kwa jicho lako kwenye gem, unaiona vipi future ya wasanii baada ya ujio huu wa AI tools za kutengeneza nyimbo. Thamani na umuhimu wao vinaenda kuporomoka?
KIWEWAKAAAAA, wa-Cuba wa Marekani nao leo wamejikusanya wanataka Trump akawaondolee dikteta wa nchi yao.
Haki Trump kazi anayo mwaka huu, kila nchi yenye dikteta inalilia akawasaidie kuwaletea freedom.
Na Trump atawafanyia maajabu wananchi wa Cuba.
Ila kuna nchi zinajielewa, wanajua kujikusanya na kupiga kelele mpaka Trump anasikia kelele zao. Hapo tuseme wa Tz wa Marekani tujikusanye wengi ngumu tutatokea 20, kila mtu anaogopa atabebwa na ICE au sijui atapata shida akienda Tz. Ila waambie wajikusanye kwa sherehe za kipuuzi, hao kama wooote.