WalasInc

3.4K posts

WalasInc banner
WalasInc

WalasInc

@WalasInc

Common sense are not common | Believing in truth | #MUFC

Katılım Mart 2020
173 Takip Edilen190 Takipçiler
ShawtyAstrology🧚🏽✨
ShawtyAstrology🧚🏽✨@shawtyastrology·
yeah and thank god for geminis. ♊️💛 thank you for making the world a more fun & less boring place. i admire your good jokes, your ability to lighten up the mood & your high levels of intelligence. ✨ ♡ endless love for you ♡
English
25
179
1K
17.5K
CHURA MYUNANI MKALI PAPPARAZI
Huyu demu hana hela alafu anakiu ila cha ajabu anataka Jagermaester 🤣🤣🤣 Kweli kichaa anachekesha kama hatokei kwenu
Indonesia
6
5
60
1.7K
WalasInc
WalasInc@WalasInc·
@prossoff Tutakula na kusaza, sherehe ipo hapa tena machozi yatakua mengi
Indonesia
0
0
2
506
ProsperNow.
ProsperNow.@prossoff·
Let her go bana.😁
ProsperNow. tweet media
English
113
27
282
46.2K
FOREIGNER.
FOREIGNER.@12FOREIGNERS·
@EliabuDanford Viongozi weusi ni jamii ambayo uwa inanichekesha sana..😂 Jamaa akipata uongozi anadili na future yake na watoto wake kisawasawa. Ilimuradi nyumbani kwake kulishapendeza, na usafiri wake muda mwingi ni ndege, Mahela mengine alishaficha nje huko. Hana habari na vumbi lenu😂😂
Indonesia
1
0
2
1.2K
Son of God
Son of God@EliabuDanford·
Nilikuwa nasoma Article moja kutoka Zimbabwe, wakoloni kupitia Gavana, Ian Smith waliacha barabara [paved] kilomita 9,000. Baada ya Ukoloni Robert Mugabe akatengeneza kilomita 20,000 kwa miaka 20. Raisi aliyefuata ambaye ni wa sasa ana miaka 9 madarakani ametengeneza barabara kilomita 1,000 anataka mabadiliko ya katiba muhula uongezewe muda akae madarakani mpaka mwaka 2030😅 Something wrong with a blackman.
Indonesia
12
22
220
18.9K
WalasInc
WalasInc@WalasInc·
@ThomzJoseph Mkuu, Msikilize Mwl. Ambangile anachotaka ndio hicho hicho
Filipino
0
0
0
6
†hømz
†hømz@ThomzJoseph·
Manchester united fans hatueleki tunataka viungo gani?? Mara Wharton, Baleba, Elliot Anderson, Bruno G, Sandro Tonari, Mateus Fernandes kitu tuambieni ukweli hatuwezi kuwapata wote bwana..🚮🚮
Filipino
19
17
76
2.3K
WalasInc
WalasInc@WalasInc·
@HabariTech Logic ni lazima uwe unajua unachofanya , tena uwe unajua vizuri tu
Indonesia
0
0
3
122
HabariTech
HabariTech@HabariTech·
Vibe coding haifanyi kila mtu aweze tengeneza apps. Ila kwa ambaye tayari anajua inampa wepesi wa kuwa creative zaidi. Ukisema hujui kabisa development alafu uanze vibe coding, app yao nakuhakikishia itakosa vitu vingi sana. Utapata muonekano mzuri wa UI ila syntax , logic na semantics lazima ile kwako.
Indonesia
7
2
33
1.7K
WalasInc retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
#UPDATES_KESI_YA_MGAWANYO_MALI_ZA_CHADEMA Part 3 Anaendelea Wakili wa upande wa waleta maombi Hekima Mwasipu Sasa amri ya Mahakama iliyotolewa ilisema Respondents hawapaswi kutekeleza majukumu yao hadi kesi ya msingi itapoisha. Sheria imesema ikiisha miezi sita walioenda kuomba order wanapaswa kuomba kuongezewa muda. Hivyo ni wasilisho letu kuwa kutokusema kipindi cha zuio hilo ni kosa kisheria. Niende kwenye hoja nyingine sasa: Anaendelea Hekima Mwasipu kuwa order ilizuia Respondents kufanya shughuli za siasa. Ibara ya 21(1) ya Katiba yetu inasema shughuli za siasa na utawala ni haki ya Kikatiba. Ibara ya 20 haki ya kukutana na kutoa maoni yao, Mahakama kuu imetoa order ya Chama kisikutane na kufanya shughuli zake. Kesi ya Augustino Lyatonga Mrema pia ilisema Mahakama hii ya Rufani ilisema baada ya Mrema kwenda kuondoa viongozi wa TLP na ombi la kutaka mahakama itoe amri ya kuzuia shughuli za siasa kwa Mrema kwani ni kuwazuia hadi innocent people kufanya siasa. Hili halina tofauti na kilichotokea kwa Chadema kuzuia wanachama wote kufanya shughuli za siasa hii haiko sahihi. Lakini Waheshimiwa Majaji pia kuna barua ya mawakili wa waleta maombi wanaomba msajili wa Mahakama kuu atoe ufafanuzi wa order ya zuio kwa Chadema. Ni wasilisho letu kuwa hata Mawakili wa waleta maombi hawakuelewa amri ya Mahakama. Kesi ya Mrema inasema amri ya zuio kwa Chama ni hatari na haitekelezeki. Naomba nimkaribishe tena Dr. Nshala. Dr. Nshala kesi ya Jidawi, Jaji alisema board of trustee should not be eqquited with other activities of the party. Jukumu lake ni moja tu kumiliki mali za Chama, shughuli za Chama na wanachama huwezi kusema watawajibika kwa bodi ya wadhamini. Kuna swali la Jaji Maige Mahakama inaweza kutoa amri ya injuction lakini hii amri waliyotoa wamemzuia Katibu Mkuu kutumia Mali wakati yeye sio mmiliki wa mali hizo. Lakini pia imewazuia bodi ya wadhamini kufanya siasa wakati wao sio kazi yao kufanya siasa. Ni amri ya zuio ambayo imejichanganya, haieleweki na haitelelezeki. Sasa Jaji alitoa amri ambayo hana mamlaka nayo. Attilio vs Mbowe inasema lazima kuwepo na Prima facie case lakini katika hili hakuna prima facie case ambayo imekuwa established na pia vigezo vingine Mahakama ilisema kama chakwanza kipo basi na vingine vipo. Amemaliza Dr. Nshala anasema naomba aje Wakili Mpoki kufunga. Mpoki naomba sasa tumalizie hapo. Jaji wa Mahakama ya rufani amesema tukutane baada ya nusu saa so tunaenda mapumziko. Tukirudi tutaendelea na part 4 Naomba repost yako.
Indonesia
11
187
375
13.4K
WalasInc
WalasInc@WalasInc·
@Cowwbama Hii italeta shida, nipite kama naaga maiti tu
Eesti
0
0
0
107
RaHeeM
RaHeeM@Cowwbama·
Black and white thread Drop it
RaHeeM tweet mediaRaHeeM tweet media
English
81
72
349
439.5K
Kenny Mmari Snr.
Kenny Mmari Snr.@KennedyMmari·
From “The Iranian Regime” to “The Country of Iran”. Pay attention to smallest of the details. Because in communication, they matter. All the time.
Department of State@StateDept

English
22
18
97
7K
George Ambangile
George Ambangile@George_Ambangil·
Pale ambapo umeweka mechi ya Barca Over 1.5 na goli la kwanza limefungwa dakika ya 24 unaanza kuchekela . Huku unajua kabisa Rayo huwa anakaza sana kwake , akiwa ugenini sio sana.! Dakika ya 87 bado 1-0 🤔🤔🤔
Filipino
24
19
513
15.1K
WalasInc
WalasInc@WalasInc·
@prossoff 😂😂😂😂 Janja atapona mwenyewe, hapa tukisema tumshauri tutapoteza muda wetu tu kwakweli.
Indonesia
0
0
3
356
ProsperNow.
ProsperNow.@prossoff·
Hapa mnasemaje?
ProsperNow. tweet media
Indonesia
44
15
113
11K
🇯🇲JamaicanSweetheart🇯🇲
Weekend ndio wateja wanapatikana na wanatuma na advance🌚 ilimradi tu mtu usipumzike kabisaaaaa🙂‍↔️
Indonesia
3
4
30
894