Yeka

200 posts

Yeka

Yeka

@Yekaweto

God will Make everything simple

Lodwar, Kenya Katılım Kasım 2025
27 Takip Edilen3 Takipçiler
Yeka
Yeka@Yekaweto·
@Maestrowafact Kwani wwe umekuja kukata milele hapa Duniani Inatosha Tisha watu Hata nyie mtakufa
Indonesia
0
0
0
28
CHURA MYUNANI MKALI PAPPARAZI
Hata kama unatumia account feki huko TikTok kutukana wenye mamlaka yao, nakukumbusha hivi Vyombo vinaweza kupata kibali cha kisheria na kampuni mf ya TikTok ikatoa IP Address iliyotumika kupandisha video za kushambulia wazito. Na baada ya hapo utasakwa na utadakwa kila la heri
Indonesia
29
23
198
17.8K
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema limemkamata Mocrine Julius (Mazidi), mkazi wa Salasala kwa tuhuma za kusambaza taarifa za uongo mtandaoni kuwa amenusurika kutekwa na mtu asiyemfahamu. Polisi wamesema uchunguzi wa awali umeonesha taarifa hizo si za kweli na zililenga kuzua taharuki kwenye jamii.
Swahili Times tweet media
Indonesia
20
6
196
31.4K
Yeka
Yeka@Yekaweto·
@Mwabuk2Boniface Wewe andika Tu Lakini hubadilishi chochote. Kukemea utekaji tumeanza lini. Ulisha ona wameacha Kwanza ndo tunadharauliwa
Filipino
0
0
1
207
Boniface Mwabukusi
Boniface Mwabukusi@Mwabuk2Boniface·
DAMURU apatikane. Suala la utekaji na upotezaji wa watu limekuwa doa zito katika jamii, likiacha hofu, majonzi na maswali yasiyo na majibu. Watu wanaotekwa au kupotea mara nyingi ni wale wasio na hatia, huku familia zao zikibaki katika hali ya sintofahamu na maumivu yasiyopimika. Kinachoongeza uzito wa tatizo hili ni pale ambapo wale waliokabidhiwa jukumu la kulinda raia wanashindwa kutimiza wajibu wao ipasavyo na wakihojiwa hutoa maelezo yenye dhihaka. Inapotokea kwamba vyombo vinavyopaswa kuhakikisha usalama vinageuka kuwa dhaifu, au vinahusishwa moja kwa moja au kwa uzembe na vitendo hivyo, basi hali inakuwa hatari zaidi. Kukosekana kwa uwajibikaji kunafungua mlango wa mazoea mabaya, ambapo utekaji na mauaji vinaweza kuonekana kama jambo la kawaida lisilo na madhara makubwa kwa wahusika. Hapo ndipo imani ya wananchi kwa mifumo ya ulinzi na sheria huanza kuyeyuka. Ukiona kwamba anayepaswa kumaliza tatizo anashindwa kulimaliza, basi kuna dalili kuwa chanzo cha tatizo si kile kinachoonekana juu juu. Inaashiria uwepo wa mizizi iliyojificha iwe ni uzembe, maslahi binafsi, au mfumo uliooza. Katika hali kama hii, suluhisho halipo tu katika kushughulikia matukio ya utekaji, bali katika kubadili au kuondoa kabisa mfumo unaoruhusu vitendo hivyo kuendelea. Hivyo, wito ni wa wazi na wenye uzito: haki lazima itendeke bila upendeleo. Ikiwa kuna mtu anayehusishwa na vitendo hivi, kama DAMARU, basi arejeshwe mbele ya jamii na Familia yake. Bila hatua thabiti na za dhati, kivuli cha utekaji na upotezaji wa watu kitaendelea kuitanda jamii kwa muda mrefu zaidi. HAKI ,UKWELI NA UWAJIBIKAJI Vitaliponya Taifa. BAK MWABUKUSI.
Boniface Mwabukusi tweet media
Indonesia
12
266
633
12.7K
Yeka
Yeka@Yekaweto·
@Maestrowafact Mama wa mtekwaji kaeleza kila kitu wwe wakujifanya unajua sna. WWE ndo mmoja wao WA watekaji?
Indonesia
0
0
0
227
CHURA MYUNANI MKALI PAPPARAZI
Unajua hawa wasenge ndo wanafanya upelelezi uwe mgumu sababu ya siasa zao za kisenge kwanza gari lililomteka SIO DFP alafu watekaji mmoja amegundulika na sababu imejulikana si msubiri j3 Polisi wanakuja na tamko mara mask mara nn kumamako Hilda.
CHURA MYUNANI MKALI PAPPARAZI tweet media
Indonesia
72
12
102
22.2K
Thom Mnkondya
Thom Mnkondya@Thommunkondya·
Jioni hii nimefanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Dar es Salaam, Comrade Shangwe, tukijadili masuala mbalimbali ya UVCCM (Seneti) pamoja na kufanya tathmini ya kongamano la CHASO lililofanyika leo. Amenieleza kuwa hali ni nzuri vyuo vingi vya Dar es Salaam vinaongozwa na viongozi wa serikali za wanafunzi kutoka UVCCM, na juhudi zinaendelea kuhakikisha wanavyuo wengi zaidi wanaendelea kuunga mkono Chama Cha Mapinduzi (CCM). Aidha, katika mkutano wa CHASO wa leo, sehemu kubwa ya washiriki walikuwa vijana wetu waliokwenda kufuatilia na kuelewa kinachoendelea. Kwa upande wa Songwe, kama Mwenyekiti wa Seneti, hali ni imara sana idadi kubwa ya vijana wa vyuo na wasomi wanaendelea kuunga mkono siasa, itikadi na sera za CCM. VIVA Vijana VIVA 💪🏿 #UVCCM #CCM #Vijana #Uongozi
Indonesia
74
7
57
17.3K
Yeka
Yeka@Yekaweto·
@HabiibYahyaa Unatukana watu Kwa ujinga ulioandika Njoo na data sio stori za kugoogle kenge wwe. Hakuna Nchi inayojitegemea yenyewe bila kuhusisha mataifa mengine. Kwa hyo wao Hakuna wanacho import huko. Kama kununua bidhaa zao. Ni lini ulisikia mafuta yanauzwa kwa hela ya Iran (kma sio dola)
Indonesia
0
0
0
49
𝐇𝐚𝐛𝐢𝐢𝐛 𝐘𝐚𝐡𝐲𝐚
Nchi zisizo jiweza, Uchumi wao hupimwa kwa Sarafu ya dolla ya Marekani hapa Nazungumzia Nchi tegemezi. Iran Level Zake si zakupima Uchumi wao kwa dola Yani useme dola 1 sawa na bilioni 10 ya Pesa ya Iran ni kudhihirisha ujinga wa somo lako la Uchumi. Kwa nini dola ina nguvu duniani? Unapaswa ufahamu kwanza nguvu ya Pesa ya Marekani duniani. Nguvu ya dola haiko tu kwa sababu watu wanaikubali, bali kwa sababu👇 👉Biashara ya mafuta, gesi, nafaka, bima ya meli, mikopo ya kimataifa karibu yote inafanyika kwa dola 👉Benki za dunia hushikilia dola kama akiba 👉Madeni ya nchi nyingi yako kwa dola 👉Mfumo wa malipo wa dunia Yani SWIFT, clearing umejengwa juu ya dola Kwa hiyo👉 Ukihitaji kuagiza chochote kutoka nje unahitaji dola. Hapa ndipo nchi tegemezi huumia.i Nchi zinazo👇 👉Kopa IMF 👉Kopa World Bank 👉Kufanya biashara nyingi kwa dola 👉Kuwa na akiba ndogo ya dhahabu, mafuta, au uzalishaji wa ndani Zinafungwa na dola kama minyororo ya Gerezani. Mfano wa Nchi Zetu za Afrika 👉Sarafu zetu huanguka, deni la dola linaongezeka maisha yanapanda bei, serikali zetu hufanya austerity raia huumia Kwa nini Iran haivunjiki kama nchi za Afrika au Asia? Hapa ndipo Mnatakiwa mtulize kichwa profesa niwape Somo vizuri. Iran👇 👉Inazalisha chakula 👉Ina mafuta na gesi 👉Ina viwanda 👉Ina Madawa tiba 👉Ina Viwanda vya silaha 👉Ina umeme wake wa Nuclear 👉Ina Wanasayansi na uhandisi wake 👉Ina soko la ndani la watu zaidi ya milioni 90 Kwa hiyo hata kama👉 Rial ya Iran ishuke mara 10 dhidi ya dola Ndani ya Iran👇 👉Mkate bado ni wa Iran 👉Mafuta ni ya Iran 👉Umeme ni wa Iran 👉Chakula ni cha Iran 👉Madawa Tiba ni ya Iran Hivyo mzunguko wa uchumi wao hauhitaji dola ili uishi. Sarafu ya Iran kwa dola ni si maisha ya Wairan Hii ndio propaganda ya Magharibi kwa vichwa visivyo Elewa Uchumi ni Nini. Wanasema👉“1 USD = 600,000 Rial” Watu wanafikiri Iran imekufa. Lakini swali halisi je👉 Muiran ananunua nini kwa kwa Dola ya Marekani? Mkate, petroli, kodi ya nyumba, usafiri, hospitali Vyote kwa rial, si dola. Kwa hiyo👉Sarafu yao inapimwa vibaya kimataifa Lakini maisha ya ndani hayavunjiki kama nchi tegemezi. Tofauti ya Iran na nchi yako ni hii 👇 Nchi yako👇 👉Inaagiza mafuta 👉Inaagiza Madawa Tiba 👉Inaagiza mashine 👉Inaagiza mbolea 👉Inaagiza chakula Hivyo dola ikipanda👉 Bei za kila kitu zinapanda Iran👇 👉Haitaki dola ili kuishi Ndio maana Marekani inataka kuiangamiza Iran👇 👉Si kwa sababu ya nyuklia. Bali kwa sababu👉 Iran ni mfano wa taifa linaloishi bila mfumo wa dola Iran Inataka👇 👉Afrika 👉Asia 👉Amerika Kusini waige. Na tukiiga Hapo ndipo 👉Dola itaporomoka Mazima. Uchumi wa Iran haupimwi kwa ulinganisho wa dola. Dola ni silaha dhidi ya👉Nchi tegemezi Sio dhidi ya: 👉Nchi zinazojitosheleza Iran ni taifa la uhuru wa kiuchumi, si taifa la IMF wala World Bank. Iran haiweki Pesa zake bank ya dunia wala haina deni huko, Iran haikopi wala haidaiwi na IMF sasa wewe kilaza unapata wapi jeuri ya kulinganisha thamani ya pesa ya Marekani dhidi ya Iran? Iwapo Iran inahitaji Malighafi au Tecnolojia yoyote ile hutumia Dhahabu kupata wanacho kihitaji. Je dola inaunua nini Iran? Baki na Mimi kwa Mengi zaidi yanayo jiri Duniani Na Professor Chotara Mweusi
𝐇𝐚𝐛𝐢𝐢𝐛 𝐘𝐚𝐡𝐲𝐚 tweet media
Indonesia
23
17
100
5.9K
Yeka
Yeka@Yekaweto·
@shaffihdauda1 Wachezaji WA kibongo akili ndogo Sana kwenye maamumzi Yaan DK za mwisho inafanya faulu ya kukusudia kabisa Hyo ni akili ndogo Sana ya maamumzi
Indonesia
1
0
0
72
Shaffih  Dauda
Shaffih Dauda@shaffihdauda1·
Calm down Edmund John, najua DM yako itakuwa bize sana leo wapo watakao kutia moyo lakini wapo pia watakaokusema as if haujawahi kufanya jema Kukosea kupo na leo umekosea wewe, huu sio mwisho wa career yako stay strong Ujumbe wangu kwa Wananchi, wachezaji wengi wazuri wamewahi kupotea baada ya kukosea na waliopaswa kuwapa moyo kugeuka na kuwasimanga, Edmund yupo Yanga lakini Taifa linamuhitaji mpeni moyo badala ya kumpoteza
Shaffih  Dauda tweet media
Indonesia
50
11
363
15K
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
🚨Hakuna kukimbia Leo saa 2 usiku watoeni Azam FC tukutane fainali Muungano Cup Tunataka kucheza mara 2 na nyinyi ndani ya wiki Moja msikimbie mashindano tafadhali✍️
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
Indonesia
14
6
62
3K
Yeka
Yeka@Yekaweto·
@MariaSTsehai Wananchi kma wamelegeza Sana dharau zimezidi
Indonesia
0
0
0
8
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Rodrigo Duterte aliua maelfu kwa kisingizio kuwa aliua wauza unga yaani drug dealers na kupambana vita dhidi ya madawa ya kulevya Na ICC walifungua mashtaka kwa kutumia ushahidi wa kesi ya wahanga 76 tu na wamekamilisha utaratibu na kuanza kesi ICC na jana rufaa yake imepigwa chini Nyie wauaji wa Tanzania mkadhani mkisema mliua watu 500 na eti walikuwa na silaha (hadi watoto) mtapona? Ujinga mzigo kwa Taifa - mmejiwekea kitanzi wenyewe! Ripoti ya Chande na uongo wake wote uneshindwa kuwasafisha! CCM mmekwisha na kuua legacy yenu yote! #SamiaToICC #SamiaMustGo
Maria Sarungi Tsehai tweet mediaMaria Sarungi Tsehai tweet mediaMaria Sarungi Tsehai tweet media
Indonesia
20
96
342
12.9K
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Kwani kwa akili yako umeona ripoti haijawataja Chadema kumbe? Punguani mkubwa wewe
Daniel Mwandala@DannyThePlanner

@IAMartin_ Bado kuna yule bwana @YerickoNyerereT yuko CHAUMA, lakini kila siku maongezi na andiko lake lazima ataje CHADEMA. Alitegemea kabisa ripoti ya Chande iwataje Viongozi wa CHADEMA kuhusika na matukio ya Oct 29 lakini wapi.

Filipino
29
1
11
4.9K
Johari Mshana
Johari Mshana@joharimshana·
Mke mkubwa wa Maria, Hilda nikupe ujumbe- Wewe pia una mnyororo wa familia Tanzania. Weka namba za Chande alafu uone tutakavyo simama kumlinda. Jaji Chande, ni mtu mwenye credibility kubwa Afrika na dunia, usimfananishe na mume wako Maria! Tuliwaachia mkaingiza vijana wenzetu barabarani, mkatengeneza tabia ya vijana kutuma sms na kupiga simu kwa viongozi kupitia hii tabia, sasa #NEVERHAPPENAGAIN tutamlinda mzee kwa gharama kubwa.
Johari Mshana tweet media
Indonesia
59
17
52
25.1K
Yeka
Yeka@Yekaweto·
@MsigwaGerson IPO siku utatoka kwenye huo utawala na itakuwa raia wa kawaida
Filipino
0
0
0
14
Gerson Msigwa
Gerson Msigwa@MsigwaGerson·
YALIPANGWA YALIRATIBIWA YALIFADHILIWA na YALITEKELEZWA. Eee Mwenyezi Mungu tusadie, tufumbue macho na tuongoze kutambua na kuwakataa wenye nia ovu dhidi ya Tanzania. #NeverAgain
Indonesia
899
46
270
117K
Godfather fan
Godfather fan@Godfxer_fan·
Kauli mbiu kama “No reform, no election”, “Uchaguzi hautafanyika” na “Samia Must Go” zilitumika kuchochea mvutano na kuwahamasisha vijana kufanya machafuko. Kauli hizi zilikuwa na lengo la kuharibu mchakato wa kidemokrasia. #UkweliOktoba29 Polisi na vyombo vya usalama walikabiliana na vijana wenye silaha kama mapanga na mafuta ya kuunguza. Walitumia teargas na vifaa vya kudhibiti umati kulingana na kiwango cha hatari katika kila eneo. Kanuni ya uwiano na ulazima ilitumika katika majibu. #UkweliOktoba29
Godfather fan tweet media
Indonesia
2
6
6
119
MK47TA
MK47TA@MK47TA·
JAJI CHANDE CHUMA KILICHOSHINDIKANA NA MWISHO WA PROPAGANDA ZA KITOTO Leo tarehe 23 Aprili, Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman anakabidhi ripoti inayokwenda kuzika rasmi upotoshaji kuhusu matukio ya Oktoba 29. Jaji Chande siyo mtu wa kuyumbishwa ni nguli mwenye uzoefu wa kimataifa aliyebobea kwenye uchunguzi na sheria za haki za binadamu. Anakuja na ukweli wa kitaalamu, siyo ramli za mitandaoni. Tume yake imefanya kazi kwa uhuru na weledi wa hali ya juu. Ripoti hii inakuja kumaliza utata uliokuwepo kuumbua wapotoshaji na kuliunganisha taifa letu. Wale waliozoea kupandikiza chuki na kutengeneza simulizi za uongo kwa ajili ya kiki za kisiasa leo ndiyo mwisho wenu. Jaji Chande hapokei ngano za vijiweni anatoa ukweli mchungu uliothibitika kisheria. Watanzania tuwe watulivu ukweli unaenda kuwekwa hadharani na kuliweka taifa huru dhidi ya propaganda za kilaghai.
MK47TA tweet media
Indonesia
31
28
31
2.8K
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Usiku wa deni huwa hauchelewi….. bado dakika 45 tu taifa lipone!
Yericko Nyerere tweet media
Indonesia
49
9
32
5.9K
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
🚨Ghafla zile kelele za asissts 6 kuwa Bora zaidi ya mabao ya kikatili zimekufa kifo Cha mende,Nilisema Kuna watu hawasomi alama za nyakati inafikia wanaongea mambo yanayowaondolea utu Kulinganisha ubora wa Libasse Gueye na usajili wa Boss ili ionekane hakukosea kwa asissts kwenye mechi kama timu Zipo mazoezini ni kuukosea heshima mpira wa miguu Mguu wa kushoto wa Libasse Gueye una 95% za kutoa Bao Bora LA msimu,Acha unachokifanya achana na set up ya kisigino kutoka kwa Selemani Mwalimu angalia Ball receiving ya Libasse angalia short sprint akiwachambua mabeki wa Fountain Gate Kabla ya kutafuta far post akimuacha golikipa akiogelea hewani Game intelligence ya Libasse ambayo Imekuwa key weapon ya kuUnlock patterns za wapinzani pia kutengeneza nafasi za mabao na kufunga inapohitajika Libasse amefunga Mabao tofauti long range striking,Box finishing na beautiful goal dhidi ya Mashujaa FC,Namungo FC, KMC FC na Fountain Gate FC Wakati wao wakikomaa kulinganisha namba kwenye mitandao ya kijamii na redio stesheni Libasse akaamua kuwajibu kupitia guu la dhahabu,WHAT A PLAYER 🔥🔥 Wakati mwingine fanyeni mafikirio ya kina Kabla ya kuanzisha mijadala
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
Indonesia
9
2
93
5.7K
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
Mdau anasema klabu ya yanga iachane kabisa na Wilson Oruma, jambo hili linaweza kupelekea kufika Fifa na kuanza kufukua makaburi. Mdau anasema ukosoaji wa matokeo katika michezo ni jambo la kawaida, anaenda mbali zaidi na kusema namna michezo ambayo klabu ya yanga inalalamikiwa ni mingi, amegusia mchezo wa yanga dhidi ya Singida baadhi ya wachezaji kuto kucheza na hata wa mbeya City nao kutokucheza. Ameenda mbali zaidi kugusia sakata lililomwondoa Patrick Osems ndani ya Singida black Star's akisisitiza huo ni mtego,🙄 Anasema jambo hili linaweza kupelekea kufichuliwa kwa mambo mengi zaidi ikiwemo la kudhamini vilabu, jambo ambalo linaweza kupelekea Fifa kuanza uchunguzi na kupelekea hatari mbaya 🙌🙌 Amemnukuu Wilson Oruma mwenyewe kuwa anaushahidi, manake amejipanga kwa lolote, na vile vile amegusia kauli ya kocha aliyefukuzwa mbeya city Mecky Maxime jambo linaloongeza utata.
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
Indonesia
50
11
218
20.2K
Juma Ayo
Juma Ayo@JumaAyoo·
Kama Viongozi wanataka kuwapeleka wachambuzi mahakamani nadhani na sisi wachambuzi tujiandae kuwafungulia mashtaka ya Upangaji wa matokeo,Betting nk. Hakuna aliyesalama sana kwenye mpira Wetu Kama vipi funikeni kombe mwanaharamu apite. Tena sasa hivi Ndio balaa,tunajuana guys
Indonesia
72
9
100
10.5K
Yeka
Yeka@Yekaweto·
@VungaEl74 Huyu jamaa jembe Ila anatakiwa apatikane kichaa mmoja amnyooshe kiduku Maana mjinga Sana na ananidai Hana akili Hako Ka Kim kajinga sna
Indonesia
0
0
0
2