Sabitlenmiş Tweet
Muhaini AI
11.3K posts

Muhaini AI
@Zackajr
Betting | Football | Music | Technology | Market research | basketball | Liverpool
Rock city Katılım Nisan 2022
787 Takip Edilen736 Takipçiler

@Kawambwa01 @BillyTronix1 Kwani nn maana ya kafiri ndugu mwana dini??
Indonesia

@BillyTronix1 Alafu unakuta analeta hii mada yeye ni Kafiri asiejuwa chochote kuhusu uIslamu.
Indonesia

Sema haya mambo huwa mnayabishia wakati hamuyajui na hamna elimu nayo ili mradi mkejeli tu ..
upande wa kulia ni kwa kiarabu na upande wa kushoto ni Quran ...huoni tofauti?

WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr
So imetumia herufi za kiarabu ila lugha sio kiarabu? Limaaaoooo🤣🤣🤣🤣🤣
Tanzania 🇹🇿 Indonesia

@Legendyfx @heiskabuka @AzaliAbila935 @BillyTronix1 @INFLUENCERjr Mbona mnakua na hasira zisizo na maan kwanin hamtaki kuelewesha watu m2 kauliza kwani hiyo Quran imeandikwa kwa lugha Gani kama sio kiarabu tuambieni tujue ni lugha Gani lakn mnabaki kupanic ty si mjibu hoja
Indonesia

@heiskabuka @AzaliAbila935 @BillyTronix1 @INFLUENCERjr Ujuzi unaohitajika ni elimu sio unakurupuka tu unatuambia ni kiarabu cha kale
Indonesia

@BillyTronix1 @ramdazy25 @INFLUENCERjr Kwaiy tuseme kuna lugha ya kiarabu na kuna lugha ya ki Quran? Mtueleweshe sas
Filipino

@ramdazy25 @INFLUENCERjr Mi huwa nashangaa sana why wanataka kulazimisha 😂😂
Filipino

@NjengeYahya Wachezaji wanne wa u20 walioanza ni hakina nani hao?
Polski

Akaanza masomo yake vizuri anaendelea sasa kuna siku yupo jengo la ghorofa kama ya pili hivi kwa mbali akamuona mtu kama baba ake akashtuka yule baba alikuja kumchkua mwanachuo mmoja aliyeonekana kama mtoto wake, yule binti akahisi kama ana hallusinate akaachana nae👇🏻
fifi_catering_service@FamWorld2025
miaka kma 10 ikapita watoto wake wakakua binti ake wa kwanza akamaliza high school akamuomba mama yake chuo akasome nchi alozaliwa baba ake kama ishara ya kumuenzi mzee wake mama ake kakubali, binti katafuta chuo kapata kasafiri hadi nchi hiyo asijue anayoenda kukutana nayo🥹😭💔
Filipino

@TheBlackmkoloni @MkulimaKante Kwani mtu kufanya biashara dhambi??
Indonesia

@MkulimaKante Safi mzee umeiweka vzurii, na alivo mzuri akawaambia yeye ni mdhamini tu wa yanga coz ya mapenzi yake na yanga, Yanga fans wakajaa,
Wakasahau kua Eng. Hersi kabla ya kua raisi wa Club alikua mkurugenzi wa uwekezaji GSM Yanga SC, 😊
Indonesia

GSM mjanja sana anaplace kete zake kwa akili nyingi sana.
Picha linaanza kanunua hisa za kutosha pale mjini Jangwani automatic mashabiki wakamkubali kumbuka Yanga ina mashabiki kama 15+ milioni hata kashateka hisia
Mdogo mdogo akaanza kuwasogezea bidhaa mara gsm water, mara g boost which means ana uhakika wa wateja ambao ni Yanga supporters na wengine.
Hakika Pesa Inategwa🙌
Filipino

@winstone_nnko Alafu unajichekesha kwaiy umefurah kisa Tu hajaja bongo usenge ty
Indonesia

@Zackajr Aya ushatukana nenda kalipwe wana harakati s mnalipwa naskia
Indonesia

@TzFootballers Washangae maboss wenu waliokua nyuma ya Hilo alaf mtuambie et mnabeba labda muliibe kwanza naomba mungu ingewezekana wakabaki Uganda na Kenya Tu kwenye maandaliz
Indonesia

@Zackajr Nashangaa sana hii taifa stars ilishika mitutu kabisa kuua watu pamoja na sisi tunaoshabikia ni wauaji kbsa
Indonesia

@Kariakoo_ Hao wazee wa matango pori vijana kila siku wanalia Hela hazitoki
Suomi

TAARIFA MBAYA
Watu waliojitambulisha kuwa ni maaskari wanaume watatu na mwanamke mmoja aliyevaa T shirt ya NMB wakiwa na Bajaji trh 14/01/2026 saa nane na nusu mchana walimshikilia Ndugu Athuman Uchune maeneo ya Tabata Hai Bar na kutumia simu yake kunipigia mimi kuwapigia watu wangu wengine wa karibu ili wafanikishe azma ya kunikamata.Wamejaribu kumtafuta rafiki yangu Kawambwa,Kadili na mwishowe walienda kariakoo kwa mtu anayenitengenezea simu nae wakamkosa.
Baada ya zoezi la kunikamata kushindikana jana watu hao wamekuja tena leo 15/01/2026 majira ya saa nne asubuhi maeneo ya Tabata Dampo na kukutana tena na ndugu Athuman ili aweze kuwasaidia kuwapata watu wangu wa karibu,zoezi hilo liliposhindikana watu hao walifanikiwa kuondoka na Bwana Kadili Hamadi Salum ambaye mpaka sasa hajulikani alipo tangu wametokomea nae.
Huu ni muendelezo wa kunitafuta tangu niliponusurika kutekwa mwaka jana oktoba, 2025.
Namba wanayoitumia watu hao ni 0682517050
Jerome Olomi,
Katibu wa Mkoa wa Ilala.

Indonesia

@Tweener003 Ukifanikiwa lazima uchukiwe na masikini hasa unaowanyonya😂
Indonesia
Muhaini AI retweetledi

@babayaga2257 @Malengo25 Wanadai simba analeta janja janja kulipa wao wanataka mzigo wote simba anatoa nusu nusu
Indonesia

@Malengo25 Imebidi niulize mana ndo mtu alopost pekeake leo asubuhi nadhani.
Filipino





















