Salma Said
6K posts

Salma Said
@ZanzibariYetu
Journalist - Deutsche Welle (DW) https://t.co/mEiiujQKLz
Zanzibar Katılım Mart 2011
1.6K Takip Edilen17.4K Takipçiler

Taarifa zilizowapa baadhi ya watu wazo kwamba mie nahusika na skim ya kutengeneza mapesa mengi sihusiano nayo na wala siijui. Inawezekana ni mpango wa matapeli wanaotafuta watu wa kuwatega na kuwaingiza katika mipango hatari ya kuwafilisi mapesa yao kwa kuwaahidi utajiri wa ghafla. Simo, simo, simo!
Indonesia

@MarekaMalili @Sir_Shuma Hahaha! labda watu wanakula Nyama hawali Samaki
Filipino

@Mvuvi_Nyasa @fintanjr_ @NJENJE_255 Inategemea umenunua wapi kama ni hotel za kitalii utapata kwa bei hiyo na hata sisi wenyewe tukenda Serena tunapewa kikombe cha chai kwa 10,000 wakati mitaani ni 500
Indonesia

@Mvuvi_Nyasa @fintanjr_ @NJENJE_255 Zanzibar ni kisiwa cha utalii ok bei haiwezi kuwa sawa bwana vumilia tu na chukulia kaka umekwenda nchi nyengine utembea na ujihesabu wewe ni mtalii hahaha
Indonesia
Salma Said retweetledi
Salma Said retweetledi

@Aruatani @Sir_Shuma Lakini kosa ni lao au la wenye kukubali kutolewa kwenye mstari?
Indonesia

@tutla7 Huku Lissu huku Jussa wakitoa maelezo yakinifu bungeni hivyo wengi walipata hamasa mpya na wengi wakati huo walitafuta vitabu vya kusoma ambavyo vimezungumzia Muungano na vilivyoandika issue za Mapinduzi
Filipino

@tutla7 Kipindi cha bunge la katiba vijana wengi na watu wazima walipata elimu kubwa saba ya mambo ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na hiyo ni kutokana mijadala ya bunge that time ilikuwa very hot na pia ikirushwa live, Lissu aliwafungua macho wengi
Filipino

@MarekaMalili Lakini hiyo tabia ya kubaniana si pia inakufanya uwe active na creative zaidi kwa kutafuta other option
Indonesia

Hamza lule hajawahi kua na pisi nzuri 😆😆😆😆
SA The Goat💯@the_boy
Face card + a banger body = ?🐐🔥
Indonesia

@PatrobaMaga @PMadeleka Hiyo ilikuwa anazungumzia uchaguzi wa 2015 na hilo gazeti ni la 2016 sio kwamba kasema sasa kama unavyodhani ndugu yangu @PatrobaMaga na kauli hiyo wapo wengine waliotamka pia japo kwa kuchelewa kutoka chama hicho hicho. Mazingira na mfumo wa nchi hii watu wanaogopa kusema
Indonesia

@PMadeleka Ndugu @PMadeleka kwanini Hawa wasema ukweli hawausemi ukweli Kwa kipindi kinachotakiwa/muda sahihi? Wanakija kusema baada ya muda mwingine kupita, je huo sio unafiki??? Hii ni sawa na kutaka maridhiano baada ya Uchaguzi kupita.
Indonesia

@HudaaSaali24122 @IsmailJussa Inagonga sana kwenye moyo, lazima machozi yatoke, kazi ya Mwenyeezi Mungu makosa haina ni kukubali na kupokea baas, kinachofuata ni dua na kumuombea maghfira lakini kuondoka kwenye nyoyo sio rakhisi hata chembe
Indonesia

@IsmailJussa 😭😭😭😭😭😭 rab ghfirlahu warhamhu wamaskanahu filjannah
Indonesia

Imeniliza! Nimeshindwa kujizuia! Allah Akujaalie Pepo ya Firdaus Maalim. Huna deni kwetu.
youtu.be/MrDgr988y0E?si…

YouTube
Indonesia
















