
@HildaNewton21 @ChangeTanzania @SuluhuSamia Alisema Askari pekee watakaokuwa barabarani ni JESHI la Polisi, na vyombo vingine vya usalama. Akaongeza kuwa watakuwa na "KAZI MAALUMU".
sasa tuwaulize hiyo kazi MAALUMU ni ipi? Na hivyo vyombo vingine vya usalama ni vipi?
हिन्दी
































