The Diplomat 🇹🇿

7.2K posts

The Diplomat 🇹🇿 banner
The Diplomat 🇹🇿

The Diplomat 🇹🇿

@_TheDiplomat

Charming

Dar es salaam Tanzania Katılım Ocak 2012
2.2K Takip Edilen5.7K Takipçiler
The Diplomat 🇹🇿 retweetledi
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿
KILA MTU ANAISHABIKIA CCM KWA STYLE YAKE Kitu muhimu wananchi wanachopaswa kufahamu ni kuwa huu ni mwaka wa uchaguzi; kelele, mivutano na shutuma zisizo na maana ni sehemu ya maisha. Hakika katika jicho la tatu; jicho la kutulia na kutumia akili nyingi - ni wazi Upizani dhidi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) umezidi kuzikwa. Leo wapizani hawapigi tena kelele za No Reforms No Election, leo wapizani wameungana na kushangilia kelele za Balozi Kada wa CCM Ndugu Humphrey Polepole, anayelia na Chama chake Chama Cha Mapinduzi. Anacholilia yeye mwenyewe ndiye anayejua. Ukimsiliza Ndg. Polepole halili ujenzi wa Taifa hili, haangazii miradi iliyokamilishwa na inayoendelea, haangazii uchumi na uboreshwaji wa miundombinu mbalimbali, hatuambii juu ya elimu bure na mikopo ya elimu ya juu kufika kwa wakati kwa wanafunzi. Ndugu Polepole ameridhika na utendeji kazi wa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Jemedari Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ngazi za kitaifa, bila shaka hana kesi ya maendelo bali ana kesi ya yanayoendelea ndani ya chama chake. Watu wa 'Reform' pasipo kujigundua wameingia kwenye mtego na kushangilia pale Ndugu Polepole anapolia kuimarisha siasa za ndani ya CCM, kuimarisha maadili ya CCM na yale yaliyo ndani ya CCM anayoona yanahitaji kurekebishwa. Pasipo kujitambua 'Reform' wanaungana kuijenga CCM; hii ndio nguvu ya CCM. Kelele zote zimekufa za Mahakamani na 'Reform' kelele utakazozisikia sasa ni CCM. Hii pia ukiangalia kwa Ndugu Askofu Gwajima utaiona upepo wa kelele ni wa kichama na si kitaifa. Leo hii wote tunapambana na Katiba ya CCM, hakika Wahenga hawakukosea waliposema CCM BABA LAO, wamefanikiwa KUZIMA ZOTE NA KUWASHA MOSHI WAKIJANI masikio macho harakati zote zinaangazia CHAMA TAWALA WAKIELEKEA OKTOBA KUTIKI ✅. The Diplomat_Tz 🇹🇿
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media
Tanzania 🇹🇿 Indonesia
2
6
14
5.5K
The Diplomat 🇹🇿
The Diplomat 🇹🇿@_TheDiplomat·
*KILA MTU ANAISHABIKIA* *CCM* *KWA STYLE YAKE* Kitu muhimu wananchi wanachopaswa kufahamu ni kuwa huu ni mwaka wa uchaguzi; kelele, mivutano na shutuma zisizo na maana ni sehemu ya maisha. Hakika katika jicho la tatu; jicho la kutulia na kutumia akili nyingi - ni wazi Upizani dhidi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) umezidi kuzikwa. Leo wapizani hawapigi tena kelele za No Reforms No Election, leo wapizani wameungana na kushangilia kelele za Balozi Kada wa CCM Ndugu Humphrey Polepole, anayelia na Chama chake Chama Cha Mapinduzi. Anacholilia yeye mwenyewe ndiye anayejua. Ukimsiliza Ndg. Polepole halili ujenzi wa Taifa hili, haangazii miradi iliyokamilishwa na inayoendelea, haangazii uchumi na uboreshwaji wa miundombinu mbalimbali, hatuambii juu ya elimu bure na mikopo ya elimu ya juu kufika kwa wakati kwa wanafunzi. Ndugu Polepole ameridhika na utendeji kazi wa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Jemedari Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ngazi za kitaifa, bila shaka hana kesi ya maendelo bali ana kesi ya yanayoendelea ndani ya chama chake. Watu wa 'Reform' pasipo kujigundua wameingia kwenye mtego na kushangilia pale Ndugu Polepole anapolia kuimarisha siasa za ndani ya CCM, kuimarisha maadili ya CCM na yale yaliyo ndani ya CCM anayoona yanahitaji kurekebishwa. Pasipo kujitambua 'Reform' wanaungana kuijenga CCM; hii ndio nguvu ya CCM. Kelele zote zimekufa za Mahakamani na 'Reform' kelele utakazozisikia sasa ni CCM. Hii pia ukiangalia kwa Ndugu Askofu Gwajima utaiona upepo wa kelele ni wa kichama na si kitaifa. Leo hii wote tunapambana na Katiba ya CCM, hakika Wahenga hawakukosea waliposema CCM BABA LAO, wamefanikiwa KUZIMA ZOTE NA KUWASHA MOSHI WAKIJANI masikio macho harakati zote zinaangazia CHAMA TAWALA WAKIELEKEA OKTOBA KUTIKI ✅. The Diplomat_Tz 🇹🇿
The Diplomat 🇹🇿 tweet media
Indonesia
1
0
2
93
The Diplomat 🇹🇿
The Diplomat 🇹🇿@_TheDiplomat·
Kila kikwazo na Kizingiti mbele yetu tutavuka, tutavuka kwakua tunaimani, tutavuka kwakua Nia tunayo na kazi inafanyika, kwa mawe na Mishale tutavuka, Tandika Busati mama Wanao tupite Tandika Busati Mama Miradi tumekamilisha kwa Ukubwa, Tandika Busati Mama kila kikwazo mbele kwa KAZI NA UTU TUTASHINDA✅ TANO TENA✅ @SuluhuSamia kanyaga Twende
Masoud Kipanya@masoudkipanya

Katruni

3
7
7
3.1K
The Diplomat 🇹🇿
The Diplomat 🇹🇿@_TheDiplomat·
@grok @DeSmonD1030 @24onFour @masoudkipanya Sivkweli Mwalimu wako kafeli Katuni inaonyesha Mwanamke anayekuka vizingiti vilivyompo mbele yake mlisema hatoweza maliza Miradi huyo hapo na kesho anawazindulia Mahakama iliyoachwa na asilimia 20 😂 Vizingiti kama wewe unayewaza Makaburi navyo kavuka 😂
Indonesia
2
0
0
913
Grok
Grok@grok·
Ninashukuru ombi lako. Katuni ya Masoud Kipanya inaonyesha mwanamke akivuta zulia jekundu juu ya makaburi, ikiashiria jaribio la kuficha mambo mazito kama kifo au ukosefu wa haki Tanzania. Hii ni satiri ya jinsi matatizo ya jamii yanavyofichwa kwa njia za juu juu. Nimejaribu kuelezea kwa Kiswahili wazi, bila uboya, kama ulivyo omba.
Indonesia
24
3
122
12.8K
The Diplomat 🇹🇿 retweetledi
Masoud Kipanya
Masoud Kipanya@masoudkipanya·
Katruni
Masoud Kipanya tweet media
Latviešu
306
427
4.3K
485.7K
The Diplomat 🇹🇿 retweetledi
Getrude Mollel 🇹🇿
Getrude Mollel 🇹🇿@Getrude_mollel·
أَعُوذُ بِكَلِمَاتِ اللَّهِ التَّامَّاتِ مِنْ شَرِّ مَا خَلَق
Getrude Mollel 🇹🇿 tweet media
العربية
15
17
26
2.6K