2.0ثيكلا.

13.7K posts

2.0ثيكلا. banner
2.0ثيكلا.

2.0ثيكلا.

@_bongolese

Posts below are empirical notes to self.

Katılım Mayıs 2021
492 Takip Edilen1.5K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
2.0ثيكلا.
2.0ثيكلا.@_bongolese·
Watu kutokukushirikisha taarifa fulani za maisha yao haimaanishi wewe ni mbaya wala hawafanyi hivyo kwa sababu wanakuchukia au hawakuamini. Mara nyingi ni kwa manufaa yao binafsi —hawataki presha, comparisons, entitlement na expectations zako kwenye maisha yao.
Indonesia
2
1
11
878
2.0ثيكلا. retweetledi
soosoorandom
soosoorandom@sluvity_____·
Envy no one. For whatever you see, a price was paid.
English
21
3.7K
15K
213.2K
2.0ثيكلا.
2.0ثيكلا.@_bongolese·
Nadhani moja ya profession ngumu ni ualimu (university professors inclusive) hasa kwenye nchi zilizoendelea. Mwanafunzi ana audacity ya kuquestion credentials zako na anakuchoma kwa boss wako utasikia ‘your new TA sucks’ 🤣
Filipino
0
0
1
57
Maviatu 👞👟🥾🛍️🛒
@_bongolese Ndio maana nasema watu wanahisi tabia mbovu ya mzungu itafanana exactly na wao wanavyojua umbea wa mzungu haufanani na umbea wa mswahili kwenye uwasilishaji
Filipino
1
0
0
18
2.0ثيكلا.
2.0ثيكلا.@_bongolese·
Mtu kaniambia ‘Yule bro ana roho ya kizungu sana hana uswahili’ (a +ve connotation towards watasha) Nikamwambia tabia ni universal. Hao wazungu wana tabia zote mbaya unazozijua sema wanafanya kisirisiri.
Indonesia
1
0
3
47
2.0ثيكلا. retweetledi
SwiftieLee 🖤
SwiftieLee 🖤@SwiftieLee1·
The audacity to be jealous of someone’s blessings when you couldn’t survive their battles
English
98
3.8K
12.5K
166K
2.0ثيكلا.
2.0ثيكلا.@_bongolese·
@BarakaMaviatu Huo ni utamaduni wetu. Hata yeye angeishi bongo angekuwa kama sisi tu. Mimi naongelea tabia.
Indonesia
1
0
0
11
2.0ثيكلا. retweetledi
Codie Sanchez
Codie Sanchez@Codie_Sanchez·
I've never met someone massively successful who hasn't gone through something that nearly destroyed them.
English
269
1.4K
9.4K
144.7K
2.0ثيكلا. retweetledi
Malvin
Malvin@ManOfFocus_·
Study why successful people cut off their family members.
English
149
870
8.2K
304.9K
2.0ثيكلا.
2.0ثيكلا.@_bongolese·
Swali la msingi: ‘kwanini?’
Indonesia
0
1
2
35
2.0ثيكلا. retweetledi
I Japa at 40+ 🇳🇬 → 🇨🇦
Canada will give you opportunities. But it will also test your patience, ego, and resilience.
English
26
116
735
28.2K
2.0ثيكلا. retweetledi
Christian Bwaya
Christian Bwaya@bwaya·
Dini, kwa tabaka la chini, ni nyenzo ya kukuza imani, kuisaka ‘maana’ ya safari ya maisha na kichocheo cha matumaini. Dini, kwa viongozi wengi wa dini, ni nyenzo ya ujenzi wa himaya, mamlaka, madaraka, umiliki na nguvu ya kudhibiti maamuzi ya tabaka lisilo na matumaini.
Indonesia
6
18
46
1.4K
2.0ثيكلا.
2.0ثيكلا.@_bongolese·
@bwaya From my observation, wengi wao huwa envious tu hasa wakigundua umepiga hatua kwenye maisha kuliko wao au kipimo walichokuwekea lengo ni kukudogodesha/fedhehesha na wana expect utakereka/kuwa defensive. Kuna strategy ukiaaply inageuza mchezo, mwisho anafedheheka yeye.
Filipino
0
1
1
169
Christian Bwaya
Christian Bwaya@bwaya·
Kila mtu, kwa namna yake, ana ule ukurasa wa tabia zake asiopenda kuusoma kwa sauti. Inaweza kuwa historia ya kufeli, kuibia mitihani, kuachishwa kazi, fedheha ya umasikini, kuachwa kwa aibu, ugomvi uliokuachia majeraha, tabia mbaya usizopenda kujitambulisha nazo na kadhalika. Ufikirie ukurasa huu kama mzimu unaoweka rehani heshima yako na unapambana kuudhibiti usifahamike na watu ukakuletea madhara. Sasa kuna wale watu, ambao kwa sababu zao mbalimbali, hupenda kukusomea ukurasa huu kwa sauti hata kama wanajua huupendi. Hawa wanaweza kuwa watu uliokua nao, uliosoma nao, uliowahi kufanya nao kazi mahali ulikoharibu na kadhalika. Hawa ni watu ambao hata ukionekana kufanikiwa wako na wewe kukumbusha udhaifu wako, na hawakuruhusu kabisa uufunike ukurasa huu uendelee na maisha yako mengine. Kwa vile hatupendi historia zetu zinazotutia unyonge, mara nyingi tunashawishika kujilinda kwa kujitenga na watu hawa na wakati mwingine ikibidi kuwachukia. Hapa ndipo inapokuja nadharia ya mshunuzi Carl Gustav Jung. Unapowachukia na kujitenga na watu wanaokukumbusha unyonge (mzimu) wako, Carl Jung anasema hiyo ni njia yako ya mkato unayotumia kuusoma ukurasa huu bila kupata maumivu makali. Chuki kwa mtu msingi wake ni hofu ya kufahamika kwa zimwi linaloweka rehani heshima yako. Huwezi kumchukia mtu asiyegusa penye kidonda. Huwezi kumchukia mtu kwa kukuzushia tabia mbaya unazojua fika huna. Chuki ni kama handaki tunalotumia kufukia tatizo halisi usilotaka lifahamike na watu. Kuishinda chuki uliyonayo kwa mtu, Carl Gustav Jung anasema unahitaji mchakato wa dhati wa kukabiliana na kipande kibaya cha maisha yako, kipande usichokipenda, kipande kinachokufanya ujisikie aibu, fedheha, dhalili na hasira dhidi yako mwenyewe. Ukiweza kushughulikia kipande hiki unakutana na wewe mwingine, wewe halisi aliyebadilika kiasi cha kutokuogopa ‘mavi ya kale.’ Ukifika hapo unapata uhuru wa kuishi na historia yako, na hivyo, hutamchukia mtu hata kama kila mkikutana anakusomea ukurasa wa maisha yako usioupenda kuusoma kwa sauti.
Indonesia
3
11
35
1.4K
Leopard Aurelius
Leopard Aurelius@HjMTweetX·
@_bongolese Je , unakubaliana na nukuu ya bwana Abraham Lincoln? If yes post a cuppa....
Indonesia
1
0
0
17
2.0ثيكلا.
2.0ثيكلا.@_bongolese·
Naelewa kuna ‘bahati’ na ‘kubebwa’ kwenye maisha na haimpati kila mtu ila bahati haiwezi kukufuata ndani kwako lazima uwe na attributes au kwenye mazingira ya kubahatika na ili ubebwe lazima ubebeke.
Indonesia
0
3
5
125
2.0ثيكلا. retweetledi
Robert Greene
Robert Greene@RobertGreene·
The world is full of fools—people who cannot wait to get results, who change with the wind, who can’t see past their noses. You encounter them everywhere: the indecisive boss, the rash colleague, the hysterical subordinate. When working alongside fools, do not fight them. Instead think of them the way you think of children, or pets, not important enough to affect your mental balance.
English
63
369
2.2K
53.3K
2.0ثيكلا. retweetledi
Robert Greene
Robert Greene@RobertGreene·
Understand: people will constantly attack you in life. One of their main weapons will be to instill in you doubts about yourself. They will often disguise this as their objective opinion, but invariably it has a political purpose, they want to keep you down.
English
131
1.1K
6.7K
144.3K
Apple Hub
Apple Hub@theapplehub·
The iPhone 18 Pro and iPhone 18 Pro Max will reportedly be available in four new colors: Dark Gray, Silver, Dark Cherry, and Light Blue 🔥 Source: Macworld
Apple Hub tweet media
English
404
1.6K
14.9K
1.6M
2.0ثيكلا.
2.0ثيكلا.@_bongolese·
January nilikuwa napata kg 2 ya mihogo $7. Leo ni $10.58. About 50+ percentage increase. Maisha yanazidi kuchangamka!
2.0ثيكلا. tweet media2.0ثيكلا. tweet media
Indonesia
1
0
3
122