albertomsando

40 posts

albertomsando banner
albertomsando

albertomsando

@albertomsando

Katılım Temmuz 2023
37 Takip Edilen29 Takipçiler
albertomsando retweetledi
ikulu_Tanzania
ikulu_Tanzania@ikulumawasliano·
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Rais wa Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa kando ya mkutano wa 15 wa BRICS unaofanyika Jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini tarehe 24 Agosti, 2023.
ikulu_Tanzania tweet mediaikulu_Tanzania tweet media
Indonesia
4
40
167
8.7K
albertomsando
albertomsando@albertomsando·
@AnnaTibaijuka Asante Mama @AnnaTibaijuka umebadili upotoshaji wako wa mwanzo "territory kwamba maana yake mradi utatekelezwa eneo lote la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! *This is a misconception and misinterpretation.*" na sasa umeibuka na hoja mpya juu ya tafsiri ya neno "territory"
albertomsando tweet mediaalbertomsando tweet media
Indonesia
0
0
0
12
Anna Tibaijuka
Anna Tibaijuka@AnnaTibaijuka·
Mkataba wa bandari. DC Msando naomba utambue kutofautiana na mtu kwa hoja hakumfanyi MUONGO na wewe MKWELI. Ni kuonesha udhaifu wa kushawishi kwa nguvu ya hoja na kutumia hoja ya nguvu (intimidation). Naleta maelezo zaidi ya neno territory na dhana yake tuendelee kuelimishana.
Anna Tibaijuka tweet media
Indonesia
225
456
1.7K
166.8K
albertomsando retweetledi
Clouds Media
Clouds Media@CloudsMediaLive·
Limekuwa swali ambalo wengi wametamani kulijua kuhusu Ukomo wa Mkataba wa Bandari na hapa Mhe. Jerry Slaa anaelezea. #LiveOnClouds360
Indonesia
86
11
180
40.4K
albertomsando retweetledi
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
Watanzania wengi kupitia katika mitandao ya Kijamii wameonesha kukerwa na kauli za Makamu wa Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu dhidi ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan aliyoitoa leo katika mkutano huko Bukoba Mjini Mkoani Kagera wakisema kuwa amekosa utu, Nidhamu na shukrani kwa Rais Samia licha ya mambo makubwa aliyomfanyia. Lissu akiwa katika mkutano wa Chadema leo amemtuhumu Rais Samia kuuza Bandari ya Dar es Salaam na kudai kuwa Rais mwingine yeyote asingeweza kufanya hivyo hata Rais Hayati Magufuli licha ya ubaya wote aliyomtendea lakini asingeweza kuuza Bandari. #KitengeUpdates
Maulid Kitenge tweet media
Indonesia
1.4K
108
2.2K
376.8K
albertomsando retweetledi
Samia Suluhu
Samia Suluhu@SuluhuSamia·
Mapema leo katika mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mheshimiwa @WilliamsRuto, pembezoni mwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu (Africa Heads of State Human Capital Summit), Jijini Dar es Salaam. Tanzania na Kenya ni washirika kindugu na kibiashara, wakishirikiana mpaka wa urefu wa zaidi ya kilometa 750 wenye umuhimu mkubwa katika ulinzi, usalama na uchumi kwa wananchi wa pande zote mbili. #Jumuiya
Samia Suluhu tweet media
Indonesia
750
748
6K
639.7K
albertomsando
albertomsando@albertomsando·
Hata kwa tafsiri ya jumla makubaliano hayo HAYAPO. Maelezo yake ni kwamba utekelezaji wa Mkataba unahusu ardhi yote na anga lote la Tanzania. Hili sio kweli na amepotosha Prof. @AnnaTibaijuka Na hii ndio hoja yangu. Ahsanteni.
Indonesia
0
0
0
74
albertomsando
albertomsando@albertomsando·
Kwa mfano Prof. @AnnaTibaijuka aseme ni wapi kwenye mkataba kuna makubaliano haya: _DP Worlds shall implement project activities stated in phase one [and two] in the whole Tanzanian territory?_
English
1
0
0
75
albertomsando
albertomsando@albertomsando·
_*“Tuelewe kwamba mkataba huu unashughulikia nini, unashughulikia eneo la Tanzania lote. Lote. Lote… ukurasa wa 11 anasema territory…mimi nimewaambia watu, watu sasa hivi watu karibu washikane mashati…hivi hizi habari kwamba Zanzibar haimo mnazitoa wapi”_*. Mwisho wa kunukuu.
Indonesia
1
0
0
92
albertomsando retweetledi
millardayo
millardayo@millardayo·
Muonekano wa maendeleo ya utengenezaji wa moja kati ya seti 10 za treni za Kisasa (EMU) kwa ajili Reli ya kisasa (SGR), zinazotengenezwa na kampuni ya Hyundai Rotem ya Korea ya Kusini, ambapo kazi za utandazaji wa nyaya za umeme, mfumo wa usambazaji hewa ndani ya treni na ufungaji wa vifaa vya kielektroniki zinaendelea. Kampuni hiyo ilipewa zabuni na Serikali ya Tanzania ya kutengeneza vichwa 17 vya treni vya umeme na seti 10 za treni za kisasa EMU. Pamoja na kazi za utengenezaji wa treni hizo za kisasa, Hyundai Rotem kwa kushirikiana na Wataalam kutoka TRC wanaendelea na majaribio ya mifumo mbalimbali katika vichwa vya treni vya umeme kwenye Mji wa Changwon, Korea Kusini. #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 Indonesia
131
75
2.4K
163.7K