16

173 posts

16

16

@allyabdallah_

just Ally

Pwani, Tanzania Katılım Temmuz 2021
236 Takip Edilen406 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
16
16@allyabdallah_·
Nilipokuwa mdogo, Nilikuwa Najua mama na baba hawali Sana, kumbe chakula kilikuwa hakitoshi! 😞 Waliniachia mimi❤️ Tupambane tuwe furaha yao😍
Filipino
3
3
16
0
16 retweetledi
Anthony Charles
Anthony Charles@AnthonChaz·
Umetumiwa PDF document imekosewa na unatakiwa ui EDIT Umetumiwa PDF document na unataka u SIGN au unataka utoe sign ya mtu uweke ya kwako. Au unataka ufanye manuva yako unayoyajua wewe. Basi tumia hii site www dot sejda dot com/pdf-editor. Nayeyuka 🚀
Indonesia
15
99
342
17.1K
16
16@allyabdallah_·
@LifeofSteph_1 Hapo ni Affidavit tu kuthibitisha kuwa Hamis na Hamisi yote ni majina yako, ingawa pia inategemea na nani atakagua vyeti vyako kuna wengine hawana noma ila kwa kufata utaratibu kabisa hiyo kesi yako lazima uwe na affidavit
Filipino
1
0
0
24
Steph.
Steph.@LifeofSteph_1·
@allyabdallah_ Yan vyet vyangu vyote vya taaluma na kizaliwa jina ni moja, iasue NIDA ndo ina ka heruf kamezid
हिन्दी
2
0
0
31
Steph.
Steph.@LifeofSteph_1·
Ila wakuu wangu em pitien pitien mrefresh facts zenu yani jina ni Hamis ila NIDA wamekosea wakaweka Hamisi. Hako ka herufi kamoja ndo hadi kwenye Gazet la serikali, sijui Deed pool mara Ardhi dah mwingine anasema laki 2 mara 150k mnanitisha 😄😄💔💔
Indonesia
24
18
166
10.5K
16
16@allyabdallah_·
@LifeofSteph_1 Kwa bei za kimbagala Mbagala Affidavit huwa ni 10K na inaweza kuzidi au kupungua kulingana na uwezo wako wa kubargain
Indonesia
1
0
0
31
16
16@allyabdallah_·
@LifeofSteph_1 Kama vyeti unataka kutumia kwenye mchakato wa ajira za Govt kesi hiyo ya herufi moja au jina la kati kuwa na initial unatumia Affidavit tu, Deedpoll inatumika kama majina ni tofauti kabisa kwhy unakubali moja unalikataa lengine
Indonesia
1
0
0
87
16
16@allyabdallah_·
@Calvertson1 @iamFallacy Huyo ni Muafrica ila kazaliwa Riyadh, alaf kuna huyu Mnigeria. No room for racism in islam hata mfagia vyoo anaweza kuwa Iman kinachotakiwa akizi tu vigezo vya kuwa imam
16 tweet media
Indonesia
1
0
2
59
16
16@allyabdallah_·
@mzee_mbuzi @iamFallacy Huyu hapa anaitwa sheikh Adil Al Kalban, alikuwa anaongoza swala masjid Haram
16 tweet media
Indonesia
2
1
3
38
16
16@allyabdallah_·
@FSYusuff This is Sheikh Adil al Kalban
16 tweet media
Indonesia
0
0
4
511
FS YUSUF
FS YUSUF@FSYusuff·
Can a Black African Muslim lead a prayer in a major Middle Eastern Mosque in Saudi Arabia or Iraq?
English
1.3K
250
4.4K
3.1M
16
16@allyabdallah_·
9. Kitabu gani ndicho ulicho kipenda zaidi mwaka huu?
Indonesia
0
0
0
12
16
16@allyabdallah_·
7. Ni faida zipi za kuwa na uhusiano na wewe?
Polski
0
0
0
11
16
16@allyabdallah_·
6. Una urefu gani?
1
0
0
8
16
16@allyabdallah_·
@NajjatOmar Abaya liwe na zipu mbele kwani ni jaket?
Polski
1
0
0
135
Odo
Odo@NajjatOmar·
Haya eti lenye zipu mbele sio Abaya heee 🙄🙄🙄🙄
Indonesia
4
0
17
4K
16
16@allyabdallah_·
@Tariq28__ @prossoff siku mumewe akikushika ndio utagundua hata wewe ni mtamu pia
Indonesia
3
0
6
863
BONGO
BONGO@hekimakuu·
@prossoff Bro long story , mke wa mtu mtamu , hana shida , show kali na murua ila majuto yake ni makubwa sana. Sikushauri utembee na mke wa mtu ingawa ni watamu, acha tafuta pisi yako ishi nayo. ACHA KUTEMBEA NA MKE WA MTU JAU SANA.
Indonesia
7
0
68
9.1K
ProsperNow.
ProsperNow.@prossoff·
Uliwahi kula mke wa mtu bila kujua? Ilikuwaje?
Indonesia
75
33
901
111.7K