Elisa
6.2K posts




Watu ambao hawasomi vitabu na kuongalis movies za historia, uwa wanadhani Waafrika ndio wachawi, Oya Wazungu wachawi balaa 🤣




UGANDA JOIN IRAN WAR 'ON ISRAEL'S SIDE' — army chief After African state unveil statue of Netanyahu's dead brother





Chobwedo anastahili NT kabisa na anaweza kuongeza stability pale Kariakoo. Ana kasi inayohitajika kwa Mshambuliaji🙌🏻🙌🏻 Kibabage atalala amechoka sana kwa vile alivyochezeshwa. Anajua kuhold off defender kwenye duels Kitu cha kuboresha kwake ni End product yake tu. Mchezaji sana


Hata mniite Pro-Israel, no problem, Taifa linatengenezwa, linatengeza silaha kubwa kubwa, unakuta lina mtaala mashuleni jinsi ya kuchukia na kuua Wayahudi[wote]. Zingine zina katiba inasema lengo ni kuuwa Wayahudi wote. Then baada ya hapo speech kwa speech hatutaki Dunia yenye wakristo mnasema nisiseme naonekana mdini?? No, I don't want to please anybody na simuogopi mtu yeyote, eti kila kitu kiwekwe kwenye siasa mbona wao hawaweki kwenye siasa tu kila siku. Wakifa ni martyrdom, yaani wamemfia mungu wao[wanapigana kwa ajili ya mungu wao]. Wakipiga in our god we shall prevail then mnasema ni siasa?? Nope.

Ni biashara gani hutorudia/huwezi kufanya kabisa .?

KCMC Hospital. Me: Shimboni Shavo Interviewer: Anza kazi kesho

Kuishi kwa kumeza ARV's au kuishi kwa kufanya Dailysis mara 2 kwa wiki. Li bora?



✍🏽Pamba jiji FC ilikuwa timu Bora uwanjani walifanya mambo ya msingi kwa usahihi Walikuwa mbele ya Simba SC kwenye Kila kitu ON&OFF the ball Hawakupata kazi kushinda mipambano, kuprogress, kupokonya mipira Wala kutengeneza nafasi kutokana na uzito wa mpinzani kwenye reactions









