LUKA ANYILILE SEME

2.2K posts

LUKA ANYILILE SEME

LUKA ANYILILE SEME

@anyilile

Manchester united & simba sport club fan

songea Katılım Haziran 2024
937 Takip Edilen214 Takipçiler
LUKA ANYILILE SEME retweetledi
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Mpwa wa #MheshimiwaTemba ametekwa kwa zaidi ya siku tatu, huku msanii huyo akikaa kimya bila kutoa tamko lolote. Huu ndio udhaifu mkubwa wa wasanii wazembe wa mbogamboga. Ndugu yake ametekwa, haonekani nyumbani siku zote hizo, hajawahi kupaza sauti kwa kuandika katika kurasa zake huko Instagram au kusema kwa maneno. Baada ya kijana huyo kupatikana ameuawa kinyama, akiwa amekatwa kichwa na mwili wake kutupwa mtoni, ndipo Temba anaibuka na kuandika: “Mungu yupo, atatenda miujiza.” Mungu hamsaidii asiyejisaidia: Huwezi kusubiri majanga yafike mwisho ndipo upaze sauti. Hakuna aliye salama. Ni lazima sote tusimame kidete na kukataa katakata vitendo hivi vya UTEKAJI na mauaji ya kinyama.
Indonesia
27
159
994
28K
LUKA ANYILILE SEME retweetledi
CHOLLO
CHOLLO@nassor_01·
Bro to Bro...! Popote pale utakapokuwa,ukikuta kuna mwanaume amekwama kiuchumi na anahitaji msaada,kama Iko ndani ya uwezo msaidie📌,na ulishindwa kumsaidia usimdharau..🫵🏽
Filipino
22
56
149
2.1K
LUKA ANYILILE SEME retweetledi
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Jana nilipokwenda kuhuduria Kongamano la wanafunzi wa vyuo vikuu Chaso. Walitumwa baadhi ya vijana kutoka UVCCM, kwa kulipwa vifedha kidogo… Sina tatizo na vijana hata kama ni wa ccm kuhudhuria na kusikiliza sera, misimamo na hoja zetu. Lakini huyu kijana, watu wetu walipomgundua na kumhoji alisema alikua ameambiwa kwamba tukianza kuzungumza kuhusu ripoti ya Chande wazomee.. Lakini pia wafanye fujo na kutoka ukumbuni, ionekane vijana hawakutusikiliza. Kwenye simu yake alikua anawasiliana na mtu anaitwa Shangwe Mtei ambae ni kiongozi wa Uvccm. Huyu Shangwe akawa anamhakikishia kwamba hata kama wako wachache wafanye fujo kwasababu OCD alikuwepo nao pale. Ghafla huyu kijana akiwa anahojiwa na watu wetu kwanini yuko pale na nia yake ni ipi, Magari mawili ya polisi yalikuja pale kitendo kinachoonesha kwamba tukio hili lilikua limepangwa kwa ushirikiano huo. Huyu kijana alikua ametumiwa muamala wa sh 50,000 kwa madai yake walitumiwa wote na wenzake, na walipatwa hofu na kutokufanya fujo kwasababu vijana wa Chaso walikua wengi zaidi na pia ulinzi ulikua imara.. Fikiria kwamba huyu ni kijana wa chuo kikuu ana fikra na mawazo ya kutumwa na kulipwa sh 50 elfu!! Tuna safari ndefu kama Nchi Lakini lazima tufike.. Asante watu wetu wa ulinzi kwa kazi nzuri.
Suomi
78
339
1.1K
48.2K
LUKA ANYILILE SEME retweetledi
ⒶⒹⒺⓎ
ⒶⒹⒺⓎ@adegotyou·
ⒶⒹⒺⓎ tweet media
ZXX
69
9.3K
15.7K
228.4K
Muuza viatu🌹
Muuza viatu🌹@Agnesskanje·
Naona ukishaoa lazima kitambi kitoke
13
12
124
5.7K
LUKA ANYILILE SEME retweetledi
#TOTTechs
#TOTTechs@TOTTechs·
Popote ulipo Mungu akupiganie Upatikane ukiwa salama @Ninja_Damour
Polski
0
63
142
2K
LUKA ANYILILE SEME retweetledi
Masaki
Masaki@selemasaki·
Repost 200 🔃 🔥
Masaki tweet media
English
0
14
18
400
LUKA ANYILILE SEME retweetledi
MfinaWiiiseeee
MfinaWiiiseeee@mfinanga_rm·
Watu saba kweli kwaajili ya Ninja!
Indonesia
6
40
317
11.8K
LUKA ANYILILE SEME retweetledi
Chadema Tanzania
Chadema Tanzania@ChademaTZ2·
Mchana huu Makamu Mwenyekiti wa Chama Mhe. @HecheJohn akiwasili katika kongamano la Chaso Dar es salaam.
Chadema Tanzania tweet mediaChadema Tanzania tweet mediaChadema Tanzania tweet mediaChadema Tanzania tweet media
Indonesia
8
80
399
4.9K
LUKA ANYILILE SEME retweetledi
Medrick mapembe
Medrick mapembe@MapembeMedrick·
Kuwa Mwanaume sio jambo dogo Respect your Father
English
0
18
54
854
LUKA ANYILILE SEME retweetledi
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya WANAHARAKATI UCHWARA…. Walituaminisha kwamba Tuachane na Wana CCM na Products zao… Hadi kutulazimisha Tuwa BLOCK Wana ccm mtandaoni… kuachana na Ushabiki wa mpira wa SIMBA/YANGA…. Ila Kuanzia leo kuendelea hao hao ndio Watakuwa wanaPromote VUNJABEI BETTING! Ikumbukwe VunjaBei ni CCM lia lia… amechanga hela kibao tu kwenye kampeni na hata juzi tu alikua anawania UBUNGE kabla ya kukatwa 😅 NJAA na MSIMAMO havikai meza moja 😂🙌🏽
Indonesia
156
122
916
84.5K
LUKA ANYILILE SEME retweetledi
P•
P•@28_prb·
ukiwa mshamba unakua unatumia gharama nyingi kuishi maisha ya kawaida.
Indonesia
10
31
117
2.7K
LUKA ANYILILE SEME retweetledi
M.D (🅨)
M.D (🅨)@ReganTesla_·
Bado ninao uzima hata katika hali ya kuumwa lakini ni mzima napumua and soon i will be back stronger.. I have bills to pay no excuse. Zaidi nina ndoto za kutimiza no body can do it instead. Asanteni kwa maombi na uvumilivu. I WILL BE RESPONSIBLE FOR EVERYTHING.. 🙏🏽. -Regan
Filipino
88
142
947
28.3K
LUKA ANYILILE SEME retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Asante sana wakili msomi Mwabukusi Hatukukosea kukupambania ili uwe Rais TLS - asanteni sana mawakili kwa kumpa kura @Mwabuk2Boniface Umenyooka na kueleweka! Kama wameumia wanywe sumu 😁 #FreeTunduLissu NOW 👊🏽🔥
Indonesia
27
328
1.3K
22.5K
LUKA ANYILILE SEME retweetledi
Brenda Rupia Jonas
Brenda Rupia Jonas@BrendaRupia·
Ni kweli kuwa,Mwenyekiti alifikishwa mahakamani kusomewa uamuzi mdogo kufuatia Maombi yake ya kuunganishwa kwenye kesi ya said Issa Mohamed na wenzake wawili dhidi ya Bodi ya wadhamini na Katibu Mkuu wa Chama. Katika uamuzi wake, Mahakama kuu imekataa Maombi ya Mhe Lissu kuunganishwa kwenye kesi hiyo.
Brenda Rupia Jonas tweet media
Indonesia
17
173
653
18.5K