just because
8.4K posts


You guys remember Phil Foden?

Ndiomaana sisi wengine Amorin alipoanza tu story za "We must suffer" tulimkataa hapo hapo. Mentality ya kukubali kufungwa ukiipandikiza kuja kuiondoa ni ngumu sana, makocha wote wanaofanikiwa wanaanza na mentality ya kuDemand matokeo hata kama kikosi walichonacho sio cha ushindi

All those football hipsters amongst this fanbase spent years dragging Klopp for his ‘loyalty’ and begging for the return of Edwards only for him to come back and destroy the culture Klopp spent years cultivating. Sick one 👍

They went toe-to-toe na City mpaka siku ya mwisho. Wote tuliona kwamba kabakiza striker wa goli 18-20+ kuwin EPL mwaka huu. Badala yake kaongeza beki na kiungo mrefu wa kupiga vichwa wakati wa kona. Kazi kubwa aloifanya Arteta miaka 5 inaenda kupotea kwa uzembe wa dirisha moja tu


Hizi ndio zakwetu local gym.

Framework Laptop 13 🐼 Edition


Pride rises at the lowest place on earth 🌈 This June the Dead Sea becomes Pride Land, the biggest LGBTQ+ festival ever in the Middle East. Four days of nonstop celebration community and connection. Israel celebrates its LGBTQ+ community bigger than ever 💙

Arne Slot: “I hope and I assume that if I leave, and whenever that might be, people remember me for the fact that we won the league in my time over here, but that I also played a big part in creating a new cycle.”













