Merlin

2.6K posts

Merlin banner
Merlin

Merlin

@basilidi49490

Katılım Şubat 2024
65 Takip Edilen101 Takipçiler
Merlin retweetledi
Mkwiro
Mkwiro@Mkwiro132055·
Mkwiro tweet media
ZXX
0
2
2
6
Merlin retweetledi
RS NKL
RS NKL@rs_nkl31405·
🇹🇿 🔴 *Tiktok LIVE LEO* (Jumanne—28 Aprili, 2026) _Nchini Tanzania, mapambano dhidi ya Vitendo vya Ukatili kwa Watoto na Wanawake, yameendelea kuwa ajenda ya kudumu na yenye kipaumbele_
RS NKL tweet media
Filipino
0
1
3
29
ENGLAND 🇬🇧🔥
ENGLAND 🇬🇧🔥@InnocentJLS·
Mungu ni mwema sana. Ile Chadema waliyosema imepasuka ndo hii hapa bhana. Ahsante Mungu🙏🏻
ENGLAND 🇬🇧🔥 tweet media
Eesti
10
56
597
6.2K
EastAfricaTV
EastAfricaTV@eastafricatv·
#HABARI Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Bara, John Heche, amewataka wajumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho kufanya maamuzi ya busara na yenye mwelekeo thabiti, akisisitiza kuwa hatima ya chama na nchi vipo mikononi mwao. Aidha, amegusia masuala kadhaa likiwemo hitaji la kutafakari kwa kina mustakabali wa chama, kushinikiza kuachiwa kwa Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, pamoja na viongozi waliokamatwa mkoani Dodoma, huku akielekeza kuendelea na usajili wa wanachama wapya nchi nzima. Heche ameyasema hayo leo Jumanne, Aprili 28, 2026, katika makao makuu ya chama hicho, Mikocheni, jijini Dar es Salaam, wakati akifungua kikao cha siku mbili cha Kamati Kuu, kikiwa ni cha kwanza baada ya chama hicho kuruhusiwa kuendelea na shughuli za kisiasa. #EastAfricaTV
Indonesia
6
12
91
2.9K
Merlin retweetledi
RS NKL
RS NKL@rs_nkl31405·
🇹🇿 🔴 *LIVE LEO – MJADALA WA KITAIFA!* (Alhamisi, 23 Aprili 2026) 🌍*Ripoti ya Jaji Chande: Je, Inaweka Msingi Halisi wa Uwajibikaji, Maridhiano, na Mageuzi ya Kudumu ya Kisiasa Tanzania?*
RS NKL tweet media
Indonesia
0
1
2
16
Merlin retweetledi
Gerson Msigwa
Gerson Msigwa@MsigwaGerson·
YALIPANGWA YALIRATIBIWA YALIFADHILIWA na YALITEKELEZWA. Eee Mwenyezi Mungu tusadie, tufumbue macho na tuongoze kutambua na kuwakataa wenye nia ovu dhidi ya Tanzania. #NeverAgain
Indonesia
897
46
270
117.6K
Merlin retweetledi
Samia Suluhu
Samia Suluhu@SuluhuSamia·
Ikulu, Dar es Salaam, Aprili 23, 2026 Hotuba yangu leo nilipopokea ripoti ya Tume niliyoiunda kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025. Tupoendelea kushughulikia na kuyapatia majawabu yaliyotokea, ninawasihi tuongozwe na maneno haya kutoka katika vitabu vitakatifu: 2 Mambo ya Nyakati 7:14 “Ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekeza, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi zao, na kuiponya nchi yao.” Surah Al-A'raf (7), Aya ya 23 "Mola wetu Mlezi! Tumejidhulumu nafsi zetu, na usipotusamehe na kuturehemu, hakika tutakuwa miongoni mwa waliopata hasara.” Mungu Ibariki Tanzania.
Indonesia
26
90
226
13.6K
Merlin retweetledi
Mpale Mpoki
Mpale Mpoki@MpaleMpoki·
A very shallow empty and hollow report ever produced in Tanzania. Lacking legal political social and intellectual analysis as to the causes of the October 29 unrest, with no indepth or solidity of investigation. It is illusory deceptive intangible and imaginative People saw it
Hilda Newton@HildaNewton21

Neno moja kwa Jaji Chande..?

English
15
95
253
9.8K
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Tayari wamekiwasha
हिन्दी
3
38
146
5.5K
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Hawa wataalamu kama wamebahatika kuona mzigo itakuwa kazi wakisikia mafuta ni dola 6000 kisha anarekebisha anasema dola 600 kesho wanajipigia
Think Different tweet media
Indonesia
37
70
611
29.1K
Merlin
Merlin@basilidi49490·
ZXX
0
1
0
7
Merlin retweetledi
Chargeblast
Chargeblast@chargeblast·
Why Are Smart Merchants Ditching Chargeback Fees Overnight? This Tool’s the Reason.
English
12
21
182
1.4M