Sabitlenmiş Tweet

Baada ya kipindi kirefu cha kusubiri
Hatmae October 19, 2023 kwa kudra za Mwenyezi Mungu, mke wangu akajifungua salama mtoto wa kiume 🤲
#NewProfilePic

Indonesia
Walaga
48.9K posts

@beingwalaga
In His will is our Peace | Loyal father to ELNATHAN | @LFC & @SimbascTanzania ❤️ | Team Capricorn ♑






@Muhanuzi16 Unawajua Bhudagala Ng'wanamalonja




Kwahiyo kwa Wasanii wa nyimbo za asili tunakubaliana kuwa jina la SAIDA KAROLI ndio linaongoza ligi? Ama yupo mwingine 🤔






Wahaya wa Karagwe atleast wanapenda kwao, sio kama wa Bukoba.





