benedict clarence

557 posts

benedict clarence banner
benedict clarence

benedict clarence

@benedictclar1

life has full of challenges make sure that you perform better 💪

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Temmuz 2014
142 Takip Edilen19 Takipçiler
Malkia Nyuki 👑
Malkia Nyuki 👑@nyuki_malkia·
Hii connection mpya ya IFM mmeiona ?
Malkia Nyuki 👑 tweet media
Filipino
136
28
911
168.4K
Jayleen 💞
Jayleen 💞@JayleenRickie·
Hivi Utumbo kwa Kingereza Unaitwaje....!??
Jayleen 💞 tweet media
Indonesia
383
69
796
126.4K
Fumbo Khan
Fumbo Khan@fumbokhanJr·
Nipo hapa VETA unanishauri nisome COURSE GANI?
Fumbo Khan tweet media
Español
211
47
1.5K
105.8K
The mandevu
The mandevu@ze_mandevu·
Hao Vijana ni kinanani.?🤔
The mandevu tweet media
319
62
1.3K
100.9K
Swed Junior
Swed Junior@Kingvannytz_·
Eti hivi ni kwanini watu wengi hawapendi kuoa Manesi ?
Swed Junior tweet media
Indonesia
209
42
1.4K
182.9K
Swed Junior
Swed Junior@Kingvannytz_·
Eti kwa makadirio yako, Hii inaweza kuwa shingapi ? 😅
Swed Junior tweet media
Indonesia
481
54
1.2K
129.9K
Jayleen 💞
Jayleen 💞@JayleenRickie·
Hivi NyanyaChungu zinaitwaje kwa Kingereza....!!??
Jayleen 💞 tweet media
Indonesia
160
41
498
66.8K
Swed Junior
Swed Junior@Kingvannytz_·
Hivi eti mbilikimo kwa kingereza wanaitwaje ?
Swed Junior tweet media
Indonesia
386
44
775
86K
millardayo
millardayo@millardayo·
Kijana George Arubati (29) Mkazi wa Mtaa wa Kanda ya Juu, Kata ya Iduda Jijini Mbeya amefariki dunia baada ya kunywa sumu ya kukausha majani chanzo kikiwa ni Mke wake kuwa na madeni mengi katika vikundi mbalimbali ikiwemo michezo ya kupeana pesa na VICOBA. Wakiongea na @AyoTV_, Majirani wamesema chanzo cha Kijana huyo kujiua ni kutokana Mke wake kudaiwa fedha na vikundi mbalimbali bila kumshirikisha Mume wake na hata pale Mume wake alipotaka kujua alimjibu madeni hayo hayamuhusu licha ya Watu mbalimbali kufika nyumbani kwake kuulizia fedha zao huku wengine wakitishia kubeba mali zao na kuuza ili wafidie. Mke wa George aitwaye Zuhura Mussa amesema siku ya tukio February 26,2025 alikwenda shambani lakini aliporejea akamkuta Mume wake akiwa amelala na alipomuuliza kama ana shida akasema hana shida lakini baadaye akabaini kuwa amekunywa sumu ndipo alipoomba msaada na kusaidiwa kumfikisha Hospitali lakini February 28, 205 akafariki dunia. Balozi wa shina namba sita katika Mtaa wa Kanda ya Juu, Jumanne Donad pamoja na Mwenyekiti wa Kanda ya Juu, Maiko Mwanjalila wameeleza namna ambavyo wamesuluhisha ugomvi wa Mume na Mke huyo mara kadhaa kuhusiana na Mume huyo kumlalamikia Mke wake kukopa bila kumshirikisha ambapo kwenye VICOBA alikuwa anadaiwa zaidi ya Tsh. laki 3 na vikundi vingine pia alikuwa anadaiwa pesa nyingi hadi kesi ikafika Mahakamani na ikaamuliwa shamba la Familia liuzwe ili kufidia. #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
268
89
1.6K
158.5K
EastAfricaTV
EastAfricaTV@eastafricatv·
Anaandika @OfficialAliKiba kuhusu Producer @masterjtz kusema Alikiba ni mbana pua👇 “Umekuwa ukiropoka sana mitandaoni bila kujiheshimu wala kuheshimu watu, sijui unajiona nani yani kama vile wewe ndio unapandisha watu daraja katika maisha. Mabadiliko yako ya akili unayaweka hadharani unataka tujisikie vipi sisi tunaokuheshimu”. “Unaropoka sana siku hizi umesahau brand yako uliyoitengeneza miaka mingi unahitaji kunyamaza sio kila kitu watu wasubiri utasema nini. Una dalili zote za upinde maana umekosa heshima siku hizi badilika unachokifanya sio sifa nzuri”. #Trending #Alikiba #MasterJTz
EastAfricaTV tweet media
Indonesia
199
50
1.5K
149.7K
Jayleen 💞
Jayleen 💞@JayleenRickie·
Wakuu Hapa Ukiambiwa Utoe Kimoja utaanza na kutoa nini...????
Jayleen 💞 tweet media
Suomi
475
51
1K
110.3K
Fumbo Khan
Fumbo Khan@fumbokhanJr·
Hivi kuna Comedian bora Kwa Mwaka 2024 kuliko Leonard??
Fumbo Khan tweet media
Filipino
79
23
845
45.9K
benedict clarence
benedict clarence@benedictclar1·
@eastafricatv Mmekosa nyie nyie mnashindwa kujadili mambo ya msingi ya kupambana kujenga uchumi mnapuyanga kweli hatuna wabunge aisee
Indonesia
0
0
0
10
EastAfricaTV
EastAfricaTV@eastafricatv·
#HABARI Mbunge wa Iramba Mashariki, Francis Mtinga amesema atawasilisha hoja binafsi bungeni kuiomba serikali iweke siku maalum ya makundi ya wanachama wa mitandao ya kijamii ya WhatsApp kufanya mambo yao na shughuli za maendeleo kwa jamii. Mtinga ametangaza mpango wake huo juzi kwa wanafunzi waliosoma Shule ya Sekondari Mwenge iliyopo Manispaa ya Singida ambao wapo katika kundi moja la whatsApp kutoka mikoa mbalimbali nchini baada ya kukutana na kufanya kazi ya kupanda miti katika shule hiyo. Mtinga, amesema makundi hayo ya whatsApp yanawakusanya watu mbalimbali na baadhi yamekuwa na manufaa makubwa kwa jamii kutokana na kushiriki shughuli mbalimbali za maendeleo na kusaidiana. "Baadhi ya wanachama wa makundi ya mitandao ya kijamii ya WhatsApp wanapokuwa wana jambo lao la kwenda kufanya nje, mfano ya kituo cha kazi inakuwa vigumu kwenda kwa bosi wake kuomba ruhusa kwasababu suala la group la whatsApp halitambuliki," amesema. Mtinga amewaomba wabunge wenzake siku atakapowasilisha hoja bungeni aungwe mkono ili serikali ikubali kutenga siku maalum ya makundi hayo. #EastAfricaTV
EastAfricaTV tweet media
Indonesia
174
24
584
94K
Cinema 4 You
Cinema 4 You@cinema4yu·
Comment picha ya kwanza kwenye gallery yako bila kujali inahusu nini...😎
Cinema 4 You tweet media
Filipino
394
28
737
109.5K
Mudryk Jr
Mudryk Jr@mudryk_jr·
Mimi Nilikuwa Najua Hilijengo Halipo Tanzania Kumbe Lipo Zanzibar Na Leo Nimeliona 😳🙆‍♂️
Mudryk Jr tweet media
Filipino
94
139
2.6K
170.8K