Master J retweetledi
Master J
3.8K posts

Master J retweetledi

@cavion_nas Haha Amini jamaa yangu,in Shaa Allah @masterjtz aje Hiphop Corner sasa sio The Classic 🤣
Indonesia

@Julius_mlowe @masterjtz akiongea anaonekana Hater. Ila inshort wasanii wa bongo wengi hawajui mziki vifaa vinawabeba studio.
Indonesia

We appreciate you @masterjtz for the acknowledgement🙏🏼 Only Time will Tell 💪 Cc @barcitybaby @abigail_chams
.
.
#255totheWorld🇹🇿🇹🇿
English
Master J retweetledi

ni kama unasikiliza wimbo tu kawaida na sio live,uzinifu tu kwa watoto umemuangusha ila huyu ni mwamba,Je mtumbuizaji wako bora unaangalia nini kwake?
Cc @masterjtz
@kuvifacts
Indonesia

#Asno mtakuja kumuua huyu Amita Bhachan aisee 😆😀😀 mana dakika za jiooniii ndo mnamlaza na viatu😆😀
Sas imagine Asno walau wanjiweza kias hiki wanakoromewa ,ukute yule para wetu likifika linakaa tu kama zuzu na Para lake kama mcheza pilau 🚮,mapara wakati mwingine jau sana 😎
Indonesia

@sudmosha @Izzo_bizness Basi sawa, wewe unahisi ni cha nani? Maana kule UK secondary school hadi chuo kikuu walikua wanafundisha kwa lugha hiyo hiyo. 😅
Filipino

Boss Umenikumbusha Mbali Sana 😂. Miaka 13 Iliyopita Ghetto Moja Sinza Nalala Zangu Chini Sema Nakushukuru Sana Big Boss Sifa Na Utukufu Ziende Kwa MUNGU BABA 🙏🏽. Let’s Go 💪🏿
EastAfricaRadio@earadiofm
#BURUDANI "Kuna lugha za kutumia mfano unaikumbuka ngoma ya Ridhiwani ya Izzo Bizness? Alikua anaongelea changamoto zilizopo kwani uliwahi kupigwa stop? lakini si uli-Hit" - Producer @masterjtz #PlanetBongo #Jibooosti #AirtelMoneySuperBonus @airtel_tanzania
Indonesia

@iam__stewart @STREETTIES27 Studio kuna session musicians, beat makers, producers, sound engineers na mastering engineers. Ni muhimu sana kujadili hili swala ukiwa na mtu ambaye anajua tofauti ya hizo professions kwanza. Otherwise utakuta mtu anamuita a sound engineer au a beat maker a producer, asante. 🙏🏾
Indonesia

@JabirSaleh @kevkigos Waje tu na lugha yao ya their former colonizer. 🙄
Español

@kevkigos @masterjtz Watakuja kumsalimia hapa najua punde si punde😆
Indonesia

@masterjtz anasema Wakenya (esp wasanii) waache kujitamba kujua kiingereza mbele ya Wabongo kwa kua haisadii kujua lugha ya wakoloni wako hali ya kua mko kwenye ushindani,MJ anasema kimziki TZ Iko mbele ya Kenya sasa wakubali na wapiganie muziki wao pia usonge mbele👇🏾
Indonesia

@JabirSaleh @masterjtz Mzee kingunge tu tid aliwakimbizaa hatari hapo nairobi tukiwapelekea international artist diamond si tutawamaliza
Indonesia

@JabirSaleh @masterjtz Master kasahau kuwachana Gen Z they was probably conceived in one of his songs 😁
English

“SIKU HIZI SIJIBIZANI NA ‘GEN Z’ “- MASTER J
@masterjtz amekua akipata upinzani mkali toka kwa baadhi ya vijana wa kisasa “Gen Z” mara kwa mara anapotoa maoni yake kuhusu game ya Bongo flava,baadhi ya wao wamekua wakiuliza yeye ni nani ikionesha hawajui yale makubwa aliofanya👇🏾
Indonesia

@Kennedypharmac3 @JabirSaleh Hapo ilikua an exaggeration kwaajili ya story tu. Ndio maana baadae nikasisitiza kua inawahusu zaidi watoto wa Buku Bee ambao ni part of Generation Z.
Indonesia

@masterjtz @JabirSaleh Ssa kama unajua hvyo ssa mbn unasema ulianza kazi mda mma zao wako vidudu na unasema ilikuwa waka 93
Indonesia

@Kennedypharmac3 @JabirSaleh No, I don’t know what “Gen Z” which refers to people born between 1995 and 2010 means. 🙄
English
Master J retweetledi

#BURUDANI Msanii wa HipHop Mex Cortez amenyoosha maelezo kuhusu Wakongwe wa muziki @masterjtz na @fidq kuukubali uwezo wake kimuziki.
#PlanetBongo #MasterJ #FidQ #HipHop
Indonesia






