Benjamini Mangula

913 posts

Benjamini Mangula

Benjamini Mangula

@BenjaminiMangu1

Katılım Ağustos 2022
390 Takip Edilen59 Takipçiler
Benjamini Mangula
Benjamini Mangula@BenjaminiMangu1·
@VungaEl74 Marekani anamtaka muirani ila kikwazo ni mchina. Mchina anamtaka mtaiwani, ila marekani kikwazo. Who blinks first?
Filipino
1
0
1
33
Vunga
Vunga@VungaEl74·
Leo (14 Mei 2026), Rais Donald Trump na Xi Jinping wamefanya mkutano mkubwa (summit) mjini Beijing, China. Wamekutana katika Great Hall of the People, na mazungumzo yao yamehusu mada kuu zifuatazo Taiwan Xi Jinping amemwonya Trump kwamba tofauti kuhusu Taiwan zinaweza kusababisha "clashes au hata vita" kati ya nchi mbili kubwa zaidi duniani ikiwa hazitashughulikiwa vizuri. Hii ndiyo ilikuwa suala muhimu zaidi kwa Xi. Biashara na biashara (Trade/Tariffs): Mazungumzo kuhusu biashara, tariffs, na uhusiano wa kiuchumi kati ya Marekani na China. Wamezungumza pia kuhusu rare earths na mikataba ya kilimo. Vita vya Iran Hali ya vita nchini Iran na jinsi inavyoathiri ulimwengu. Mada zingine Teknolojia (AI), silaha za nyuklia, na kuimarisha uhusiano wa pande mbili.
Indonesia
2
4
19
2.5K
Kante
Kante@MkulimaKante·
Siku ya leo nimepigwa darasa zuri sana na mshikaji wetu kitaani ni daktari, Kumbe kuna watu ambao hawawezi kabisa kupata UKIMWI hata uwadunge sindano yenye virusi yaani wana kakitu kanaitwa kelia mwilini mwao virusi vikitaka kuingia hii kelia inakuwa inakataa kuruhusu virusi kupita so hata ufanyaje huyu mtu hawezi kupata UKIMWI. NB.Tupo wachache sana hapa duniani. Mimi nataka nigundue kifaa cha utambuzi wa hao watu ili tujuane kabisa
Indonesia
9
7
38
1.3K
Sekenke One 🌻
Sekenke One 🌻@AlexSamoja·
Mwamba anaitwa Mr Salt Bae, alipatia maisha kama MackMuga wa Ali kiba, kupitia Restaurant kwa umaarufu wa kupika nyama tamu na nzuri, watu maarufu na mashuhuli walikula kwake, Watu wakafunga safari toka nchi tofauti ili wakale kwake, but Guess what Dunia Tambala bovu ukikosea mara moja inakuadhibu, 2021 waliokuwa wafanyakazi wake wakalalamika kupokonywa Tips na boss wao ambaye ni Mr salt bae, 2022 akagusa kombe la Dunia pale Qatar kimakosa sheria haikumruhusu, watu wakamind, wakaboycott kwenda kula mgahawani kwake, ndani ya kipindi kifupi akapoteza wateja wakubwa na jina, saa hivi amebaki na biashara ya kawaida tu 🙌🙄 Maisha
Sekenke One 🌻 tweet mediaSekenke One 🌻 tweet mediaSekenke One 🌻 tweet media
Filipino
11
12
267
39.2K
PABLO
PABLO@PabloYende·
Bro To Bro Usimpe Lifti Mke wa mshkaji wako Kwenye chombo chako cha usafiri hasa ukiwa peke ako
HT
31
62
659
31.6K
Felci ☘
Felci ☘@PhentyKiria·
I wish kujua sababu ya yule mdogo mtu kumchoma kisu dada yake (Linah) mpaka kumpelekea umauti. Unaambiwa walikuwa hawajagombana wala nini na alikuwa akiishi kwa huyo dada mtu ambae ni marehemu. R. I. P Linah! 🕊️
Indonesia
6
9
160
25.8K
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Kuna watu majasiri sana, Yule mzee ilibaki kidogo tu amtapeli Mkuu wa Mkoa wa Tabora. Mkuu wa mkoa mpk kapiga simu kwa Waziri husika kuuliza kama ni yeye bila kupiga simu ilikuwa imetoka hiyo. Mzee wamemkamata yule tena ana makosa mengi sana
Indonesia
24
31
479
20.2K
Benjamini Mangula
Benjamini Mangula@BenjaminiMangu1·
@MkulimaKante Hapo furniture za nyumbani anabadirishiwa Kila baada ya miezi 3, mke anagari ya ofisi na dereva analipwa navofisi.
Indonesia
1
0
1
30
Kante
Kante@MkulimaKante·
Kuna makampuni yakimpatia mtu kazi yanamuweka kwenye comfort zone hapo watampatia nyumba ya ofisi, gari ya ofisi , atalipiwa bills za umeme na maji mpaka mafuta ya gari na atakula ofisini hapo ndio unashangaa mtu anajisahau ukifika wakati wa kustaafu ndio anakumbuka hana anachomiliki💔
Indonesia
3
2
27
662
Wakunesa
Wakunesa@Savasec·
Nakumbuka kipindi nipo Secondary niliwahi pita na Madam mmoja bila kujua mimi mwanafunzi wake, na alikuja kujua mimi mwanafunzi wake hakuamini. Na alikuwa ananiheshim sanaa na kunionea aibu mbaya zaidi alikuwa Mwalimu wa Darasa letu.
Indonesia
19
9
166
14.9K
Benjamini Mangula
Benjamini Mangula@BenjaminiMangu1·
@Psiteshio1 Middle class wanachofanya kwa watoto wao ni reflection ya kile walichotamani kukipata walipokua watoto.
Filipino
1
0
2
84
P'site Shio
P'site Shio@Psiteshio1·
Katika Maisha Kuna aina 3 ama 4 za level za maisha • Upper class • Middle class • Lower class na mafukara Hawa watu wa middle class ambao maisha yao ni standard Huwa wanataka kuishi kama Upper class Picha linaanza mtoto wake ana miaka 3 anamsuka Akilia kidogo anawekewa katuni Akizingua hapigwi, anabembelezwa TV ndio Usiseme ni kama chakula Kumbe watoto wa upper class wanaangalia TV mara Moja Kwa wiki Kizazi hichi watoto hawa wataharibiliwa mbali maana wamezaliwa wakati mzito zaidi katika Dunia
Filipino
4
7
105
10.2K
NYANI MZEE
NYANI MZEE@jwise017·
Nawaheshimu sana wasanii wa zamani wa bongo flava ambao wanajua kabisa katika zama zao walipata hela wakala bata sana baadae waligundua walipokosea na kile kidogo walichobaki nacho wakawekeza. Sasa hivi wametulia wanapiga harakati zao kimya kimya bila kelele na kutia huruma. 👊🏿
Filipino
2
17
204
8.7K
Nicki 🫧🪷
Nicki 🫧🪷@nickimoraa·
My friend asked me to pretend to be his girlfriend for a family dinner because his ex was going to be there. I said yes mostly as a joke. But the moment we walked in, he held my hand like he meant it. His family loved me. His mom hugged me, his cousins teased him. And every time I laughed, he’d look at me like he forgot this was fake. When it was over, we sat in the car quiet for a minute. Then he said, “You were too good at that.” I smiled and said, “You were too.” A week later, he texted, “So… when’s our next fake date?” And somehow, we never stopped pretending.
English
527
2.1K
85.9K
3.9M
Benjamini Mangula
Benjamini Mangula@BenjaminiMangu1·
Education system haifundishi elimu uchumi. Hata familia zetu hazitufundishi chochote kuhusu uchumi. Mtaji mkubwa kuelekea uhuru ni elimu uchumi, ukikosa elimu uchumi hata ukishinda BIKO ya bilioni utafilisika TU. Wekeza katika elimu uchumi, uhuru wa kifedha utaufikia kirahisi.
Tazama@tazamaMbali

Waajiriwa wana nafasi kubwa ya kujenga uhuru wa kifedha kuliko waliojiajiri. Lakini mbwembwe za kuajiriwa huishia mwanzoni tu. Waajiriwa wengi at 40s, hawana kikubwa cha kuonesha kimaisha, kuzidi waliojiajiri. Kile unachofanya na pesa unayopata ni muhimu kuliko pesa unayopata.

Indonesia
0
0
0
6
britishboe
britishboe@british77boe·
Sidhani kama kuna mwanamke mweupe Ana roho mbaya,kutana na hii mikaa sasa😄🙌🏼
Indonesia
6
6
37
1.8K
𝗦𝗲𝗻𝗶𝗼𝗿 𝗠𝗼𝗻𝗲𝘁
Madem wengi hata wale ambao ni wasomi hawana depth ya content kuhusu issues nyingi, it seems wanaconsume sana hizi content za udaku na celebrities! Unapoanza kusungumzia issues ambazo ni serious, kunakuwa na gap kubwa sana na articulation yao ya mambo ni ya chini sana.
Filipino
10
19
199
8.4K
fifi_catering_service
fifi_catering_service@FamWorld2025·
Huyu nae katia mimba mwanamke wa nje kwa kuwa mkewe hazai so kamuhamishia huyo mchepuko nyumbani kwake na mkewe😆🙌🏾mke amekaa tuu hana la kusema ila kasema ye haondoki🙌🏾🤭 Ndoa Ndoano💔
Indonesia
41
23
372
21.8K
Benjamini Mangula
Benjamini Mangula@BenjaminiMangu1·
Ukiwa bize kutafuta pesa, kamwe hauta PATA uhuru, lakini ukitafuta uhuru, pesa utaipata. Tuwekeze kwenye kutafuta uhuru kuliko pesa. Chase freedom not money that's the rule of the game, and everything else will fall into place.
𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 7.o@gabyconscious

Ukiajiriwa unakua na UHAKIKA wa PESA ❌ Ukiajiriwa unakua na UHAKIKA wa MADENI na kulipa✅ Ukijiajiri unakuwa na FREEDOM❌ Ukijiajiri unakuwa unafanya kazi Zaidi ya ulivokuwa unafanya kwa AJIRA.✅

Filipino
1
2
5
235
Benjamini Mangula
Benjamini Mangula@BenjaminiMangu1·
@Phbhimself Utakifurahia zaidi ukichanganya na karafuu 7, punje za Michele 7, na punje 3 za kitunguu saumu.
Indonesia
0
0
1
28
Paul Bonaventure
Paul Bonaventure@Phbhimself·
Huku kikipunguza cholesterol kwa kiwango kikubwa mno huku kikisaidia kutanua mishipa ilisinyaa, zaidi hii kitu ni kinga bora sana ya cancer na hata mgonjwa mwenye dalili za cancer, BP kisukari n.k Ukiweza kabla ya kulala tafuna kipande kimoja cha kitunguu saumu kile kisicho na harufu kali. Maajabu ya kitunguu saumu ni kwamba inakuwaje kitu kidogo namna hii, kinakuwa na nguvu ya ajabu hata kuwa kinga kwenye nguvu nyingi za giza? Kimoja kinachosemwa sana ni ile harufu yake, majini mashetani na hata wachawi na washirikina wakiwemo wanga wana mzio mkali na harufu ya kitunguu saumu na vitu vichachu. Hii ndio sababu pekee iliyoweza kutolewa mpaka sasa. Lakini pia maajabu mengine ni ile nguvu ya Kufukuza hata wadudu waharibifu majumbani na mashambani kiasi cha kuvutia watengeneza madawa ya wadudu kukitumi. Kuna watu baadhi si wachawi wala si washirikina lakini hupenda kutumia mchanganyiko wa Biblia takatifu, kitunguu saumu na mafuta ya mzeituni kuwasaidia watu wenye magonjwa ya ajabu, yanayohusishwa na nguvu za giza. Kwahiyo jamani pamoja na kuwa kiungo kinacholeta Ladha kwenye vyakula vingi, lakini pia ni kinga ya magonjwa mengi na hata nguvu za giza. . . Mungu hunena katika kimya. Karibu kwenye WhatsApp channel yangu "Kimya Chenye Sauti" kwa tafakari na mahamasisho ya kiroho. whatsapp.com/channel/0029Vb… #Imani #Tafakari #KimyaChenyeSauti
Paul Bonaventure tweet media
Indonesia
5
2
33
2K
Paul Bonaventure
Paul Bonaventure@Phbhimself·
Nilikuwa sina ufahamu wa kutosha kuhusu kitunguu saumu japo nilikuwa najua kuwa ni kinga nzuri kwa mtoto anayetaka usiku na kulialia. Lakini kumbe kitunguu saumu ni kinga hatari kwa mambo ya kishirikina na viumbe roho wabaya. Kitunguu saumu kwa jina la kitaalam Allium sativum sio kiboko ya wachawi tu, bali pia ni kinga ya magonjwa mengi na hata wadudu waharibifu. Hiki kiungo kimacholeta Ladha kwenye vyakula vingi kilianza kutumika zamani sana kwenye nchi nyingi duniani. Wamisri waliamini katika majini yanayonyonya damu watoto wakitumia kichane cha vitunguu saumu kuwa kinga watoto wao. Sehemu za China Malaysia n.k, wazazi hutumia kuwapaka watoto kitunguu saumu kwenye paji la uso kama kinga ya nguvu za giza. Kule Romania wao husaga na kupakaza kwenye milango na madirisha ya nyumba zao, mageti na hata kwenye pembe za ng'ombe wakiamini nguvu ya kitunguu saumu kwenye Kufukuza wachawi na viumbe roho wabaya. Lakini pia ili kumlinda marehemu aliyekuwa na dalili za kugeuka jini au kuzuia asichukuliwe kishirikina walimlisha/walimwekea vipande kadhaa vya kitunguu saumu mdomoni, na hii pia ni kinga hata ya kuzuia roho yake isiweze kurudi mwilini. Huo ulikuwa ni upande wa giza, lakini unapokuja kwenye afya ya kawaida ya mwili kitunguu saumu huongeza kinga mwilini.
Paul Bonaventure tweet media
Filipino
7
30
161
16.3K
Mwanakijiji
Mwanakijiji@UchocheziWaHoja·
@Sisimizi3 Rais ajaye ndiyo huyo...Jiandae kumfagilia 😁😁
Indonesia
2
0
2
3.2K
Dr. Sisimizi
Dr. Sisimizi@Sisimizi3·
👉 Kuna kitu kinafikirsha sana Kipara hajaonekana, tangu alipokatwa kugombea Ubunge kisha akarekodi kavamiwa na waandishi ofisini 👉 Hakuonekana ktk Kampeni, sijui alisusa ila hakuwepo kwa Rais wala Mgombea mwenza 👉 Mara kakutana na Tume, je anajua nini kuhusu Oktoba 29?).?
Dr. Sisimizi tweet mediaDr. Sisimizi tweet media
Indonesia
31
20
421
48.3K