Mafuta Ya Upako.
6.8K posts

Mafuta Ya Upako.
@bosskitamb
Maisha Ya Sasa Bana 🚮
world wide Katılım Haziran 2017
2K Takip Edilen727 Takipçiler

@bosskitamb @hilarymbowe_ @EduTalkTz Kwahy unaamini mizimu ila kuamini kuwa maji yanaweza kuzunguka kitu Cha duara kama mpira huwezi?
Indonesia

@JosmanStima Mwanamke ukionyesha upo seriusly nae basi ndio ticket ya kukuumiza, Mm ilishawahi nikuta hiyo ndio maana nasema wanawake sio kipaumbele changu kabisa..🚮
Filipino

@godbless_lema Mzee haya mambo ni makubwa kwa nchi zetu za africa? Bado tuna malengo ya kuongeza matundu ya choo kwenye shule zetu
Filipino

Teknolojia inavyoendelea kwa kasi, ndivyo baadhi ya vitu tulivyoviita raslimali za Taifa vinavyoanza kupoteza msingi wake wa thamani. Hili si jambo la kubahatisha bali ni mwelekeo wa dunia ya leo. Ndiyo maana inahitaji maarifa, maono na uadilifu wa hali ya juu katika kufanya maamuzi ya rasilimali mapema kabla hatujapitwa na wakati.
Mfano halisi ni soko la almasi. Leo hii bei ya almasi imedondoka kwa takribani asilimia 27 hadi 60. Sababu kubwa ni kuibuka kwa almasi za maabara (lab-grown diamonds) ambazo zimechukua hadi karibu nusu ya soko la ndoa Marekani. Zaidi ya hapo, almasi hizi zinauzwa kwa bei ya chini kwa asilimia 30 hadi 70 ukilinganisha na zile za asili. Huu ni ushahidi wazi kwamba teknolojia inaweza kubadilisha thamani ya rasilimali kwa muda mfupi sana, kile kilichoonekana kuwa adimu jana, leo kinaweza kuzalishwa maabara kwa wingi.
Lakini wakati dunia inabadilika kwa kasi hiyo, sisi bado tunabaki kwenye mambo ya ajabu na ya aibu hadi kufikia hatua ya kuwa na mijadala ya “nyeti kupotea” kana kwamba hilo ndilo ajenda kuu ya Taifa. Ufara ufara mwingi, kelele zisizo na mwelekeo, wakati dunia inaenda kwa kasi ya mwanga.
Hali hii inaonekana pia katika usimamizi wa miradi mikubwa ya kimkakati. Mradi wa gesi nchini Tanzania umechukua zaidi ya miaka 25 katika hatua za majadiliano, mipango na maandalizi bila kufikia utekelezaji kamili. Huu si ukosefu wa rasilimali, bali ni dalili ya ukosefu wa maamuzi thabiti, kasi ya utekelezaji, na uwajibikaji wa kweli. Wakati huo huo, dunia inaelekea kwenye mabadiliko ya nishati (energy transition), jambo linaloweza kupunguza thamani ya rasilimali kama gesi kabla hata hatujainufaika kikamilifu.
Ukweli unabaki kuwa rasilimali peke yake haitoshi. Taifa linaweza kuwa na utajiri mkubwa chini ya ardhi, lakini bila maarifa, maono na uongozi wenye uadilifu, utajiri huo unaweza kubaki kuwa hadithi isiyo na matokeo.
Ni wakati wa kutambua kwamba dunia haisubiri mtu. Tukichelewa kufanya maamuzi sahihi leo, kesho tutakuta thamani ya tulichokuwa tukikitegemea imeshapotea.

Indonesia

@MugoSantin55907 @Sisimizi3 Watu wenye makasiliko kama wewe wengi wana kuwa ni mashoga,Njoo getto nkupige mashine🍆🖕
Filipino

@bosskitamb @Sisimizi3 Nitakufa maskini nimekuomba hela? Kumanyoko, msenge kama baba yako!
Indonesia

@hilarymbowe_ @bosskitamb @EduTalkTz 😀😀😀 nilijua tu wazee wa firmament na flat earth tukienda kwenye logic mnalala mbele. kwenye flat earth hamjui umbali wa firmament wala ukubwa wa dunia
Filipino

@bosskitamb @hilarymbowe_ @EduTalkTz Sasa unashangaa hayo maajabu? Utaamini uwepo wa Mungu sasa? Ukute unaamini Yesu Alitembea juu ya Maji ila hutaki kuamini Dunia inazunguka na Wala hauhisi chochote 😂
Indonesia

@hilarymbowe_ @bosskitamb @EduTalkTz Ulienda juu nje ya Dunia? Yani upo ndani ya Dunia aafu unataka uone ikizunguka, maybe mko sawa but leteni evidence zenye mashiko 😅😅
Indonesia

@hassanlugelo @hilarymbowe_ @EduTalkTz Yani dunia izunguke alafu usi hisi kitu we ina kuingia akilini kabisa? Nionyeshe video ya dunia ikizunguka? Mbona picha wana piga.
Indonesia

@bosskitamb @hilarymbowe_ @EduTalkTz Kwa akiri yako sisimizi akiwa kwenye anaweza hisi movement za meli ?
HT

@hilarymbowe_ @EduTalkTz Aloo ni ujinga sana, kwanza nasikia wale jamaa hata huko juu hawaendagi
Indonesia

@bosskitamb @EduTalkTz Watu wajinga sana ,leo ukirusha kitu juu ukakizungusha kwa speed kina onekana ila dunia ukiwa juu kwa height yoyote huoni ikizunguka
Indonesia

Shemasi asipopewa posho ana geuka kuwa mtu.
Kigogo Media@kigogo2014
ANGALIZO 📌📌 🚨Tunajua mkeka wa ma RAS na ma DAS unaandaliwa na kama kawaida watu wamejaza kwenye teuzi watu wao! 🚨Jamani hii nchi siyo ya kwenu na tumewaambia NEPOTISM/UPENDELEO ni sumu kwa ustawi wa taifa! Haya endeleeni..! #KigogoMediaUpdates
Indonesia

@hilarymbowe_ @EduTalkTz Mpaka leo napata ukakasi nikiambiwa dunia hujizungusha kwenye muhimili wake na bado hatudondoki wala kuhisi mzunguko? Huo ni uongo wa hari ya juu
Filipino

@EduTalkTz Asee ni shida sana kutoka nje ya matrix ,ni vile wana macho ila hawaoni , wana masikio ila hawasiki

Indonesia

@zizujo01 Huyo mtoto ntamlamba kama chatu alafu namla kmmk....😂
Filipino

Usafiri wa boda boda(Pikipiki) haukupaswa kuwa usafiri wa umma. Boda boda imegeuka njia ya kupeleka vijana na watu wengi kwenye vifo, ulemavu na umasikini. Ukosefu wa sera za uchumi, usalama barabarani, na ujinga wa kisiasa ni msingi mkuu wa janga hili. Kutega kura kwa gharama ya damu ni dhambi na ujinga wa kiwango cha juu. Kukaa kimya ni kushiriki kwenye mauaji na mateso haya. Vijana hawa siku moja, watashituka kuwa hawakuongozwa vyema na hali itakuwa mbaya sana kwenu.
Indonesia





















