Thanos
243 posts

Thanos
@TheHertkiller
African humble and young 🌟
Dar es salaam Katılım Ağustos 2019
122 Takip Edilen54 Takipçiler

@dosantos255 @Mashow22 @EduTalkTz Ni kweli sio kudharau, ila ni wabishi haoo😂. Na point zao ni zile zinazochallenge point za dunia Duara Wala hawana point zao.

@TheHertkiller @Mashow22 @EduTalkTz Hoja ya Dunia kuwa Duara imekuja kuwa proved kabisa baada ya wazungu kupiga picha ya kwamza ya angani mwaka 1946. Point nyngine zote watu walikua wanahisi tu na wanasayans wengi walikufa bado wanaamini Dunia ni Flat. So mtu akiwaza dunia sio duara sio kitu chakumdharau kiivyo.
Indonesia

@hilarymbowe_ @IAmHaule 1. Unaongelea Ramani? Ramani ni projection ya dunia (Duara)
2. Sijui Mimi kama lipo upande wa pili ila nachojua bara la ulaya halipo upande mmoja na Africa na ndio maana huku kunaweza kuwa mchana na ulaya ni usiku na vise versa.
3. Umeuliza maswali tu bila point yoyote. Point ?
Filipino

@TheHertkiller @IAmHaule Unaelewa ramani ya dunia ilivyo ? Kwahiyo bara la ulaya lipo upande wa pili sio ? Una upande mmoja hapo wenye giza ndio Afrika imejaa pote hapo ? na Asia lipo upande wa mwingine? unajua ata masaa yalivyo mastaa ? tunapishana na ulaya kwa namna gani ? Mbona mmekosa akil kias hiki?
Filipino

@dosantos255 @Mashow22 @miahhwolf @EduTalkTz 1. Ni sehemu gani hizo point hazijajitosheleza?
2. Tumefungwa vipi kiakili? Sidhani kama hata hii mada ingekuwepo kama tungekuwa tumefungwa kiakili.
Filipino

@Mashow22 @miahhwolf @TheHertkiller @EduTalkTz Ukiachana hizo points za kwenye vitabu (ambazo infact hazikujitosheleza kuprove Dunia Duara) wewe binafsi huna point hata moja yakutetea hoja yako?? Yani utaishi miaka 60 duniani ukiulizwa kwann Dunia Duara utarudia waliyoandika watu wewe huna mawazo?? Tumefungwa sana kiakili..
Indonesia

@iamkizzyh Fulani then wewe unaamini chanzo chake ni Kitu Fulani(Mungu). Kwahy unaweza kuamini Dini na ukaamini Sayansi vile vile.
Indonesia

@iamkizzyh Kwani Dini na Sayansi ni pande mbili za sarafu moja kiasi kwamba ukichagua hiki automatically unapinga hiki? Sayansi ni Cause–Effect ya hapo hapo, wakati Dini ni Effect–Faith Yani Sayans unaona chanzo Cha kitu na matokeo yake, ukisukuma jiwe linasogea. Wakt Dini unaona matokeo
Filipino

@hilarymbowe_ @IAmHaule Aisee!! Kwahy wewe hapo unaona ni robo tatu ya dunia ni Giza?? Na picha ingepigwa upande wa Mwanga ungesema robo tatu ni mwanga. Ndugu huo ni upande mmoja wa dunia Kuna upande wa pili ambapo ndio Kuna Mwanga. Ukihitaji Elimu njoo nikupe maana aliyekuchanganya kakutega kidogo tu.
Filipino

@IAmHaule Kwa hiyo nanyie mnaamini mapicha ya kuedit yasiyo na uhalisia sio kisa NASA wamepost? yani karibu robo tatu na theluthi ya dunia inagiza yani ni sawa Europe,Asia , America na Africa ni usiku kwa wakati mmoja sio ? haya endeleeni kuhamini wazungu
Indonesia

@bosskitamb @hilarymbowe_ @EduTalkTz Kwahy unaamini mizimu ila kuamini kuwa maji yanaweza kuzunguka kitu Cha duara kama mpira huwezi?
Indonesia

@Mashow22 @dosantos255 @EduTalkTz Yes, upo sahihi kabisa. Ila inategemea unamwambia mtu wa aina gani. Ndio maana hata mtoto wa chekechea ukimwambia 1-2 atasema haiwezekani, ndio maana kurahisisha tunasema tu kuwa dunia ni duara lakini ki uhalisia dunia ni oblate spheroid.
Indonesia

@TheHertkiller @dosantos255 @EduTalkTz Dunia ni oblique spheroid,sio duara kamili na fact zipo kibao ndio mana hauwezi kusafiri ukafika mwisho wa dunia utaishia kurudi ulipoanzia na kama ingekua flat hilo lingewezekana
Indonesia

Hapa tuna Internet na smart phones fikiria Watanzania 40M+ wanaoishi vijijini wapo katika hali gani?
Siku watu wakianza kusikia mada ngumu kama quantum physics, neuroscience, astronomy, biomaterials & nanotechnology tutasema uchawi.
Hii hali inaenda hadi juu kwenye uongozi.
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz
Mwaka 2026🙌🏿🙌🏿🙌🏿!
Indonesia

@dosantos255 @BarakaMaviatu Hakuna mtu aliyezuiwa kufanya utafiti juu ya umbo la Dunia.
Indonesia

@BarakaMaviatu Lakini hata kina Galilleo hvi vitu viliwaumiza kichwa hivihivi na walichukua miaka zaidi ya mia kupata conclusion wengine waliuwawa kwenye huu mjadala. Tatizo sisi tumewekewa conclusion na tumekubali hapo ndo mwisho hatutaki wala kuruhusu watu tena kuwaza zaidi ya hapo.
Indonesia
Thanos retweetledi

@deosparta @BarakaMaviatu @frajo_ Sasa Hewa ya kawaida hii tunayobarizi baharini tu (Atmospheric Air) Ina density ya 1.225 kg/m³ – maana yake ni kwamba inauzito wa 1.225 kg kwenye Kila cubic meter 1. Wakati Helium ina 0.166 kg/m³. Kama ilivyo kwenye maji na mafuta helium lazima ikae juu ya atmospheric Air.
Indonesia

@deosparta @BarakaMaviatu @frajo_ 2. Issue ya balloons:
Kuna terminologies kama Density na Bouyancy sijui kama unazielewa ?. Density kwa Lugha ya kawaida ni kama uzito ukilinganisha na Volume yake. Mfano ukichanganya mafuta na maji always Mafta hukaa juu ya Maji kwa sababu yana density ndogo ukilinganisha na maji
Indonesia

@TheHertkiller @EduTalkTz Baada ya Mungu kuumba dunia akaweka nguzo ya dunia unajua ni nini? Au hujui dunia imeshikiliwa na milima ? Au unahisi milima ni mapambo?
Indonesia

@Mashow22 @EduTalkTz Mm sijasema Dunia ni Flat...ila ukiona mtu anakudharau kwakuwaza kuwa maybe dunia ni Flat ujue huyo amekalili tu nae. Mana hata hao scientists nguli wapo waliokufa wakijua Dunia ni flat kwakua science kipindi hicho ilisema hivyo.
Indonesia

@bosskitamb @hilarymbowe_ @EduTalkTz Sasa unashangaa hayo maajabu? Utaamini uwepo wa Mungu sasa? Ukute unaamini Yesu Alitembea juu ya Maji ila hutaki kuamini Dunia inazunguka na Wala hauhisi chochote 😂
Indonesia

@hilarymbowe_ @EduTalkTz Mpaka leo napata ukakasi nikiambiwa dunia hujizungusha kwenye muhimili wake na bado hatudondoki wala kuhisi mzunguko? Huo ni uongo wa hari ya juu
Filipino










