Gegedu

16.2K posts

Gegedu banner
Gegedu

Gegedu

@brokeniggahtz

Take care of your attitude and integrity more than your life b'se it's remembered in the after life

Budapest, Hungary Katılım Kasım 2016
1.3K Takip Edilen1.8K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Gegedu
Gegedu@brokeniggahtz·
Artist:waswahili ft Mangustino Song:Pengo Uandishi uliotukuka na story telling ya kibabe sanaaa
Filipino
10
34
99
11.1K
Gegedu
Gegedu@brokeniggahtz·
@otokyo__ Nxt move is collecting money
Filipino
0
0
0
1
Tokyo
Tokyo@otokyo__·
As the man of the house, what’s your next move…
Tokyo tweet media
English
4.9K
200
2.1K
389.3K
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
Baada ya uchaguzi wa 2015, CCM waliwasamehe watu wao na kuwarudisha chamani, kina Lowassa, Sumai na wengineo. Je waliwasamehe sababu bila hao watu CCM ingekufa? Hapana. Je waliwasamehe sababu chama bado kilikuwa kinawahitaji sana? Hapana. Je why CCM waliwasamehe watu ambao walihamia Chadema kwa kishindo na walikuwa tayari kuiangamiza CCM na kuipoteza? Waliwasamehe for 1 reason only, Kuipunguzia nguvu Chadema. CCM hata watu wao wafanye madudu gani huwa wanawasamehe ili tu nguvu isitoke CCM na kwenda CHADEMA. Cha msingi hapa ni Chadema kuwa na akili ya kutowapa nafasi sensitive hawa wanaorudi kwenye chama. Hapa ndo the real test ilipo kwa Chadema. 2015 baada ya CCm kuwasahamehe watu wao, waliwatupa back bench huko. Hawakupewa nafasi zozote za uongozi. Same thing should happen hapa kwa Chadema, wawasamehe ila wasipewe nafasi zozote za umuhimu au sensitive.. If you ask me, hata Halima Mdee, kama atatubu na kuomba msamaha vizuri pia ni vyema akasamehewa. Alafu Halima sijawahi akiichamba Chadema au viongozi wa Chadema. Chadema wako kwenye vita kubwa , they need as many fighters as they can get. Cha muhimu waishi na hao wanaorudi kwa akili.
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz

BARUA YA WAZI KWA CHADEMA Chama cha siasa ni ideology; uanachama wa chama cha siasa ni values. Chama cha siasa kinajipambanua kwa vile kinavyoamini kuhusu sera ya umma na namna jamii inavyopaswa kuenenda. Uanachama na ufuasi wa chama cha siasa unatokea pale ambapo values za mtu binafsi zinalandana na ideology ya chama cha siasa. Ideology ya chama cha siasa ni kama sumaku, inavuta values zinazolandana nacho. Katika tafsiri hii, haiwezekani mtu leo akawa CHADEMA kesho akawa CCM halafu keshokutwa akawa CHADEMA. Haiwezekani leo ukawa progressive kesho ukawa conservative halafu keshokutwa ukawa tena progressive. Haiwezekani leo ukawa mjamaa kesho ukawa mbepari halafu keshokutwa ukawa tena mjamaa. Hata ikitokea kwamba mwanachama wa chama cha siasa hakubaliani na mambo fulani ndani ya chama chake kiasi cha kutaka kujiondoa, ni vigumu kwa mwanachama huyu kujiunga na chama cha siasa chenye ideology tofauti kabisa na ile ya chama chake. Ni vigumu kwa sababu values zake zilizomvuta na kujikuta amekuwa mwanachama wa chama chenye ideology A hazilandani na chama chenye ideology B. Ikifika hatua mtu akawa na uwezo wa kuhama vyama vya siasa atakavyo, tena vyama ambavyo ni two extremes sawa na mashariki na magharibi, kuna vitu vikubwa viwili: 1. Huyu mtu sio mwanachama wala mwanasiasa, ni opportunist. Ni ile aina ya wanasiasa ambao Mwalimu Nyerere aliwaita “wanasiasa malaya malaya.” Ni malaya malaya kwa sababu hawana values; hawavutwi na ideology. Kama hauna values maana yake ni kwamba unafit popote, ni mercenary kwa lugha ya Mwalimu. All you care about is money, fame, and material rewards. That’s all. 2. Chama kinachomruhusu yeyote kutoka na kuingia atakavyo sio chama cha siasa, ni version ya chama dola. CCM ni mfano mzuri wa chama dola kwa sababu hakina ideology wala wanachama wake hawana values. Kinachowaleta pamoja ni kitu kimoja tu, MADARAKA; ni MASLAHI BINAFSI. Yeyote anaweza kusajiliwa CCM, muhimu awe tu na uwezo wa kupata madaraka. Pesa na fame ndio values za CCM, yeyote mwenye haya anaweza kusajiliwa. Hii inamaanisha pia chama cha siasa kama CHADEMA kikianza kuwa na tabia hizi za chama dola nacho kinageuka kuwa version ya chama dola. Yani kinakuwa chama dola kisichokuwa na dola. Which means kama kikipata dola nacho kitabehave vile vile kama chama dola. Kwa mantiki hiyo kitafit kabisa ile tafsiri ya “CCM B.” Na ukitaka kuupima ukweli wa hili, sikiliza ile kauli ya “CHADEMA NI CHAMA CHA SIASA, MALENGO YAKE MAKUU NI KUSHIKA DOLA.” Hii ni kauli inayoweza kutolewa na watu wasiokuwa na values ndani ya chama dola. Yes, malengo makuu ya CHADEMA KUSHIKA DOLA kama wasemavyo watu hawa hayatofautiani kivyovyote vile na malengo makuu ya CCM KUENDELEA KUBAKI KWENYE DOLA kwa njia yoyote ile. Wote wana through line moja, DOLA KWANZA UMMA BAADAE. Hii inamaanisha pia watu hawa hawajali matatizo halisi ya umma, isipokuwa wanayatumia instrumentally kufikia malengo yao (I TRULLY HOPE THIS IS NOT THE CASE). Hata hivyo changamoto kubwa hapa ni kwamba CHADEMA ikiamua kuwa na tabia za chama dola, kamwe haiwezi kuwa mbadala wa chama dola kwa sababu kitabia na yenyewe inakuwa chama dola. Ikifikia hatua hiyo, CHADEMA inabadilika na kuwa mtaji mzuri sana wa kuhalalisha matendo ya chama dola na malengo yake ya kuendelea kubaki kwenye dola. Kazi ya chama dola itakuwa kusema tu, “si mnawaona hata wao? Kuna chochote cha tofauti mnachokiona kwao?” Matokeo yake ni kuukatisha umma tamaa kwa kuufanya ufikie hitimisho kuwa “wote ni walewale.” Natamani CHADEMA ingejipambanua kama CHAMA CHA SIASA CHENYE IDEOLOGY NA WANACHAMA WENYE VALUES badala ya version ya chama dola inayorudufisha umalaya wa kisiasa. Ideology inatengeneza integrity, na matokeo ya integrity ni imani ya umma. Natumaini CHADEMA haitawafikisha watanzania kwenye ile Orwellian state ambapo wanyama waliwaangalia wanadamu kisha wakajiangalia wenyewe kisha wakawaangalia tena wanadamu na kushindwa kuelewa wapi ni wanyama na wapi ni wanadamu. Ahsante!

Indonesia
92
176
1K
67.1K
MWANAHISABATI
MWANAHISABATI@ArthurGeil·
Acha niwaone wanaojua kiswahili leo! Mimi + Wewe = Sisi Wewe + Yeye = Nyinyi Sisi + Nyinyi = …. ??
Indonesia
56
6
56
7.3K
DeeDee🌟
DeeDee🌟@DiianaD_·
Which app is NOT on your phone 1. Instagram 2. Snapchat 3. Twitter 4. WhatsApp 5.Sportybet 6. Spotify. 7.TikTok
English
1.2K
195
1.7K
82.2K
Gegedu
Gegedu@brokeniggahtz·
@DiianaD_ On Monday am coming to fuck you
English
0
0
0
0
DeeDee🌟
DeeDee🌟@DiianaD_·
If you are really good in English, start a sentence with “On”
English
3.4K
460
14.2K
2.3M
AndyJnr ° Umaru 
AndyJnr ° Umaru @AndyjnrUmaru·
If I Gift you this laptop here, what are you going to use it for? be honest, dont lie to me
AndyJnr ° Umaru  tweet media
English
4.2K
342
4.8K
378.5K
Gegedu retweetledi
Mwinshehe 🕊️
Mwinshehe 🕊️@Mwinshehe07·
Ulikuwa kwenye mahusiano na binti wa chuo. Baada ya kuhitimu akarudi kwao mkoani lakini baadaye akapata kazi akarudi mjini. Wazazi wake wakampa pesa ya kupanga nyumba na kununua mahitaji ya kuanzia maisha Alipofika mjini wewe ukamshawishi aishi kwako ili zile pesa azitumie kwa mambo mengine. Mkaishi pamoja kwa muda hata wa miaka miwili hivi wakawa wanamtumia na Kodi etc lakini akaumwa sivyo bahati akafariki Sasa wazazi na ndugu zake wakaja kuchukua mwili na vitu vya mtoto wao, Wewe unawaambia alikuwa anaishi kwako na vitu vya ndani ni vyako lakini wao wanakataa wanasema vitu alinunua kwa pesa walizompa wao Swali langu ni: katika Hali kama hiyo wewe utafanya maamzi Gani?
Indonesia
80
81
360
22.9K
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Hivi nchi hii kuna maziwa matamu zaidi ya maziwa ya ASAS wazee..?🤔
Filipino
37
43
172
8.6K
Gegedu
Gegedu@brokeniggahtz·
@otokyo__ A white Scam wants us to bully a fellow black man
English
0
0
0
8
Tokyo
Tokyo@otokyo__·
Give him a RAP name
Tokyo tweet media
English
12.8K
427
4.8K
1M
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
SC Tundu AM Lissu, My Idolo🫡✌️
Tito Magoti tweet media
Polski
31
316
1.7K
12.1K
Gegedu retweetledi
sultan
sultan@chapanombombwi·
Kwa heshima ya mapambano yake katika kutetea haki, hii picha inastahili repost ngapi?
sultan tweet mediasultan tweet media
Filipino
1
101
237
3.1K
Gegedu
Gegedu@brokeniggahtz·
@DullahTheking2 mwamba sasa hivi anapita globally ukicheki comments za kwenye tweet zake hukutani na comment za kiswahili, big up maparachichi🔥
Filipino
1
0
1
11
yellow theCreator
yellow theCreator@perkmaybe·
Bro to Bro: build your x account Just say “hello” and gain 700 mutuals here.
yellow theCreator tweet media
English
2K
212
1.1K
39K