Sabitlenmiş Tweet

Nimeweza kukutana na mbunge wa Muheza ambaye pia ni Naibu Waziri- Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh Hamis Mwinjuma @MwanaFA leo na kupata wasaa wa kuzungumza naye mawili- matatu kuhusiana tasnia ya filamu nchini.❤️
Nimefarijika sana moyoni mwangu🙏🏾




Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 Indonesia





























