BUHA FM RADIO

208 posts

BUHA FM RADIO banner
BUHA FM RADIO

BUHA FM RADIO

@buhafm

The Radio is voted to give voice to the voiceless by enabling information sharing, social cohesion in local communities and refugees in western Tanzania and EA

Kasulu Kigoma Katılım Şubat 2020
423 Takip Edilen101 Takipçiler
Kassim Majaliwa Majaliwa
Kassim Majaliwa Majaliwa@KassimMajaliwa_·
Ninawatakia heri ya Sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya 2025
Kassim Majaliwa Majaliwa tweet media
Indonesia
77
75
697
24K
BUHA FM RADIO
BUHA FM RADIO@buhafm·
Karibuni Buha FM kwa utekelezaji wa falsafa ya R za mama
BUHA FM RADIO tweet media
Indonesia
0
0
1
15
Ambassador Hoyce Temu, PhD
Ambassador Hoyce Temu, PhD@HoyceTemu·
Mungu ni Wetu Sote 🙏🏽🇹🇿😊 Nichukue Fursa hii kuwashukuru wote mlionipongeza kwa kuhitimu Elimu yangu. Nimesoma kila ujumbe, ninawashukuru sana sana.
Indonesia
23
22
238
6.7K
BUHA FM RADIO
BUHA FM RADIO@buhafm·
Services for people living with HIV should go in hand with protecting people with disabilities who also needs attention, is the statement of the World AIDS Day celebration linked to the World Day of Persons with Disabilities in refugee camps in Tanzania organized by Medical Teams
BUHA FM RADIO tweet mediaBUHA FM RADIO tweet mediaBUHA FM RADIO tweet media
English
0
0
1
23
BUHA FM RADIO
BUHA FM RADIO@buhafm·
According to the AIDS Act of 2008 if you stigmatize a person with HIV/AIDS, you can be fined 2m Tsh or imprisoned for 1 year, Dr. Frederick Kilindo, acting DMO Kibondo DC, who was the guest of honor said responding to the message from people living with HIV/AIDS in Nduta Camp
BUHA FM RADIO tweet mediaBUHA FM RADIO tweet media
English
0
0
0
24
BUHA FM RADIO
BUHA FM RADIO@buhafm·
Medical Teams yaadhimisha siku ya ukimwi duniani kwa kuhamasisha jamii ya wakimbizi kupima na kudhukua tahadhali. Wakimbizi zaidi ya 300 wanaishi na VVU katika kambi ya Nduta Kibondo. @medicalteams @UNHCRTanzania @UNAIDS
BUHA FM RADIO tweet mediaBUHA FM RADIO tweet mediaBUHA FM RADIO tweet mediaBUHA FM RADIO tweet media
Indonesia
1
0
4
116
Ummy Mwalimu
Ummy Mwalimu@ummymwalimu·
Namshukuru Mungu kwa kuongeza mwaka. Asanteni sana wote mlionitumia salaam za heri na upendo katika siku yangu. Mwenyezi Mungu atujalie umri mrefu, wenye heri na afya njema. #VirgoWoman💪 Nb. Asante sana kwa alietengeneza poster hii. I'm so much humbled🙏. Mungu akulipe heri.
Ummy Mwalimu tweet media
Indonesia
334
94
1.7K
79.2K
BUHA FM RADIO
BUHA FM RADIO@buhafm·
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mhe. Xi Jinping aliyeambatana na Mkewe Profesa Peng Liyuan  katika ukumbi wa The Great Hall of the People Jijini Beijing tarehe 04 Septemba, 2024. Hongera Mama @SuluhuSamia kazi iendelee
BUHA FM RADIO tweet mediaBUHA FM RADIO tweet media
Indonesia
0
0
0
35
BUHA FM RADIO
BUHA FM RADIO@buhafm·
Waziri Mkuu @KassimMajaliwa_ amekutana na mkurugenzi mpya wa WHO kanda ya Afrika na mbunge wa Kigamboni @DocFaustine wameteta mengi kuhusu uhusiano wa kimataifa na masuala ya afya
BUHA FM RADIO tweet mediaBUHA FM RADIO tweet mediaBUHA FM RADIO tweet mediaBUHA FM RADIO tweet media
Indonesia
0
0
0
24
BUHA FM RADIO
BUHA FM RADIO@buhafm·
Mchambuzi mwandamizi na Mshititi wa Lugha Kiswahili nchini Dkt. Ahmad Sovu ametunukiwa tunzo ya Kiswahili na Rais Mstaafu Mheshimiwa Dkt.Jakaya mrisho Kikwete mapema leo ktk Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Tunzo hiyo imetolewa na taasisi ya WATETEZI WA KISWAHILI TANZANIA 🇹🇿(WAKITA)
BUHA FM RADIO tweet mediaBUHA FM RADIO tweet mediaBUHA FM RADIO tweet media
Indonesia
0
0
0
26
BUHA FM RADIO
BUHA FM RADIO@buhafm·
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 24 Julai, 2024. Hongera sana Mh. mama wa Taifa @SuluhuSamia
BUHA FM RADIO tweet mediaBUHA FM RADIO tweet mediaBUHA FM RADIO tweet media
Indonesia
0
1
2
51
Green China
Green China@GreenCN2030·
🌱🐘 In recent years, China has significantly enhanced the habitats of Asian elephants through key projects like habitat restoration, food source development, and ecological migration corridors. Thanks to these conservation efforts, the wild population of Asian elephants has grown from about 180 in the 1980s to over 300 today! 🌿💪 #GreenChina #WildChina #Biodiversity #NatureLover #NatureWonder #WildlifeConservation #ElephantProtection @goyunnanchina @Amazing_Yunnan @YunnanConnect
Green China tweet mediaGreen China tweet mediaGreen China tweet media
English
9
55
761
204.9K
BUHA FM RADIO
BUHA FM RADIO@buhafm·
Mhe. RAIS @SuluhuSamia Tunashukuru kwa kukitambua chama cha waandishi wa habari za vijijini, pia ni waasisi wa mtandao wa Radio za Kijamii Tanzania ndio tumeanzisha chama hiki. Tunaomba uungwaji mkono wako x.com/NevilleMeena/s…
Neville Meena@NevilleMeena

Asante Mh. Rais SSH kutambua uwepo Rural Journalists Association of Tanzania [RUJAT]. Wajibu wetu ni kuzipa fursa habari za vijijini ambazo licha ya kuandikwa sana, hazipati nafasi kwenye vyombo vyetu vya habari. Wana RUJAT tunafanya kazi hii kwa moyo wa dhati.@SuluhuSamia 🙏

Indonesia
0
0
0
32
BUHA FM RADIO
BUHA FM RADIO@buhafm·
@SuluhuSamia Buha FM Radio Kigoma inakupongeza sana kwa ziara zenye tija huko Jamhuri ya Korea. Tunaomba utukumbuke kuna ombi letu mezani kwako kupitia kurugenzi ya mawasiliano ya Rais Ikulu. Sisi ni sauti ya Kigoma buhanews.co.tz
Indonesia
0
0
0
8
BUHA FM RADIO
BUHA FM RADIO@buhafm·
@dr_mpango Hongera sana Mheshimiwa, hii ni hatua mhimu sana kwa taifa letu. Hii Dira ni tool mhimu sana kwa taifa, nchi yetu inahitaji uwajibikaji Dira itasaidia kuondoa utashi wa mtu binafsi kwenye masuala ya Taifa. Mama Tanzania anaihitaji hiyo dira kabla ya uchaguzi wa 2025
Indonesia
0
0
0
118
Dr. Philip Isdor Mpango
Dr. Philip Isdor Mpango@dr_mpango·
Leo nimefungua Kongamano la Kwanza la Kitaifa kuhusu Maandalizi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Pamoja na mambo mengine Dira ya 2050 inapaswa iwe ya vijana zaidi na kwa ajili ya vijana kutokana na idadi yao ya asilimia 77.5 nchini. Dira ya 2050 ni muhimu ijengwe juu ya mafanikio yaliyopatikana katika utekelezaji wa Dira inayofikia ukomo, kwa kuyaimarisha na kuyatumia kama nyenzo ya kuongeza kasi ya mabadiliko makubwa. Itapaswa pia kubainisha kwa undani changamoto kuu za ndani na za nje, pamoja na zile za zamani na zinazoibukia ambazo ni kikwazo kikubwa kwa nchi yetu katika kupata maendeleo haraka. Na hapa itakuwa vema yakibainishwa kwa ukweli na uwazi. Ninawaalika na kuhimiza Wizara zote, Taasisi za Umma, Idara zinazojitegemea, Wakala wa Serikali, Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa, Sekta Binafsi, wananchi wote na hasa vijana, Watanzania wanaoishi Ughaibuni na Wadau wengine wote kujitokeza kutoa maoni na mikakati inayotekelezeka ya kuipaisha Tanzania kiuchumi na kijamii.
Dr. Philip Isdor Mpango tweet mediaDr. Philip Isdor Mpango tweet mediaDr. Philip Isdor Mpango tweet mediaDr. Philip Isdor Mpango tweet media
Indonesia
29
41
160
9.9K
BUHA FM RADIO
BUHA FM RADIO@buhafm·
Baraza la madiwani la Halmashauri ya wilaya ya Kasulu limeanza kufanya shughuli zake rasmi katika majengo mapya. DC Kasulu apongeza madiwani kwa usimamizi
BUHA FM RADIO tweet mediaBUHA FM RADIO tweet mediaBUHA FM RADIO tweet mediaBUHA FM RADIO tweet media
Indonesia
0
1
2
44
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
VIDEO. “Lipo jambo moja lilisemwa na Mpina, ni jambo nzito na ukilichukulia kwa wepesiwepesi unaona amezungumza kitu chepesi lakini mpina amezungumza kitu kizito” Simbachawene. Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana na Ajira George Simbachawene wakati akijibu hoja za mbunge wa Jimbo la Kisesa Luhaga Mpina (CCM) wakati wa mjadala wa Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais (Utumishi na Utawala Bora) kwa Mwaka wa fedha 2024/2025
Indonesia
98
31
256
51.4K