Chacha Heche

19.1K posts

Chacha Heche banner
Chacha Heche

Chacha Heche

@chacha_heche

Jesus never fails..

Mara, Tanzania Katılım Ocak 2019
888 Takip Edilen34.8K Takipçiler
Chacha Heche retweetledi
Darren
Darren@MUFCDarren_·
Thomas Tuchel on Kobbie Mainoo’s performance vs Liverpool : “He came on and changed the whole tempo of the game. He’s so unbothered on the ball. Most players his age are scared to make decisions, but he’s playing like he’s been doing it for years. It’s so hard to pressure him. He made so many tackles and blocked many shots.”
Darren tweet mediaDarren tweet media
English
4
70
1.1K
31.3K
Chacha Heche retweetledi
joseph_selasini
joseph_selasini@joeselasini·
Unaposikia KATIBA MPYA ni pamoja na kumzuia Rais teuzi za kubeba agenda binafsi baadala ya nchi. Uteuzi hauangalii vigezo bali kipaza sauti, mtu anaeweza kutoa uongo hadharani bila aibu. Huko CCM hasa UVCCM mnajisikiaje uhuni wote mliofanya lakini anateuliwa Waziri form IV?
joseph_selasini tweet mediajoseph_selasini tweet media
Indonesia
11
18
103
3.9K
Chacha Heche retweetledi
Moha
Moha@MohaXtra·
🚨 Jürgen Klopp on Liverpool after the loss vs Manchester United: “What I saw from Liverpool FC is not the Liverpool I knew. The identity, the intensity, the hunger — it just wasn’t there. This club was always built on energy, pressing, and mentality monsters, but right now, something feels off. It’s clear that many things need to change, and they need to change quickly. I’m not the coach anymore, so I won’t go too deep into details, but from the outside, you can see the system itself needs adjustments. Modern football evolves fast, and if you don’t adapt, you fall behind. Liverpool looks like a team searching for direction, and that’s something that must be fixed as soon as possible if they want to compete at the highest level again. On the other side, you have to give credit to Manchester United. Recently, they’ve been playing really good football. They are organized, confident, and you can see a clear structure in their game. Being in the top 3 of the league is not luck — it’s the result of consistent work and belief in the project. The manager is doing a very solid job, and the players are responding well. Bruno Fernandes, for example, is playing a huge role — leading the team, creating chances, and pushing everyone forward. He’s been one of the key figures behind their recent performances. In my opinion, Manchester United’s past problems were more about instability and certain individual mistakes. Now, they look more balanced, more focused, and more dangerous. If they continue like this, they will be serious contenders moving forward.” #MUNLIV
Moha tweet mediaMoha tweet media
English
67
311
1.9K
162.2K
Chacha Heche retweetledi
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Kuweni na utu kiasi, mrejesheni Ninja aendelee na mitikasi yake, tafadhali🙏🏽
Indonesia
2
93
495
4.3K
Chacha Heche retweetledi
Official Blessing
Official Blessing@BlessingGives·
🚨Bruno Fernandes on Manchester United’s Champions League qualification; “Football has missed Manchester United playing on the biggest stage and I know the Champions League has missed us too. This club belongs at the highest level, fighting against the best teams in Europe. That’s where we should be. Next season, we come back with fire, hunger, and everything we have. I promise you, we won’t be there just to take part. We go there to compete until the Final stage, and to bring that trophy home. We know what it means to make our fans proud again. We are back in business.
Official Blessing tweet mediaOfficial Blessing tweet media
English
32
387
3.7K
57.4K
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
John Marwa wa @Jambotv_ leo alibeba hoja ya Yeriko na kwenda nayo kwa Mnyika kama swali. Moja ya hoja za Yeriko na CHAUMMA kwa ujumla ni kwamba CHADEMA inaendeshwa na wanaharakati. Kwenye maswali na majibu, John akamuuliza KATIBA MKUU WA CHADEMA kwamba mtaani kwa wananchi wanalalamika kwamba CHADEMA inaendeshwa na wanaharakati. Mnyika katika kumjibu alimwambia, CHADEMA ni chama cha umma, kinasikiliza hoja za wananchi na kutafsiri na kuzifanyia kazi. Iwe ni hoja ya mwanaharakati, wananchi, au mtu yeyote yule, CHADEMA inasikiliza na ndio maana ina nguvu sana. CCM imefikia hatua ya kuzuia na kufunga CHAMA na kumfunga Mwenyekiti wa CHAMA; hii ni kutokana na kufanyia kazi PEOPLE POWER, hiyo ndiyo hasili ya CHADEMA. Kwa hivyo, mtu atakayeita wananchi hao kuwa ni wanaharakati au CHOCHOTE kile, Haitobadilisha msimamo na msingi wa CHADEMA kufanyia kazi hoja za wananchi. Mnyika alifafanua zaidi kwa kusema, kama ingekuwa ni hoja za wananchi wachache tu ndiyo CHADEMA inafanyia kazi, CCM ingeogopa namna hii CHADEMA, na CHADEMA ingekuwa na ushawishi mkubwa hivi kwa UMMA. Hivyo, hiyo hoja aliyoleta John au swali aliolielekeza haina ushahidi, isipokuwa hao wanaitwa majina, ndio wananchi wenyewe wanaotakiwa kusikilizwa na CHAMA. Hii ndiyo msingi wa CHADEMA na nguvu ya CHAMA kusikiliza wananchi. MY TAKE Kumekuwa na juhudi kubwa sana za CCM na Mfumo kuitenganisha CHADEMA na wananchi, kwa kujaribu kuonyesha kama vile kuwa karibu na wananchi ni udhaifu, kwamba wanapelekeshwa na kuongozwa na watu wasio na vyeo ndani ya CHAMA. Kwanza, hoja hii ni dhaifu na ndiyo imepelekea wanasiasa wengi nchini kuonekana MACHAWA, kwa sababu wameshindwa kuelewa kabisa kwamba kazi ya SIASA au VYAMA ni kusimama na wananchi. Hata kama wewe binafsi una msimamo binafsi au maoni yako binafsi, unachotakiwa kufanya kwenye maoni ya wananchi kama mwanasiasa bora au chama bora ni kuboresha kile wanachokitaka. Vyama vya SIASA vinakazi ya kuchakata maoni na malengo ya wananchi. Kuna upotoshaji kwamba Vyama vinapaswa kusimamia maoni ya viongozi wake tu bila maoni ya wananchi, yasiyo na mwelekeo wa wananchi au yasiyokubalika na wananchi, haya ni makosa kisiasa. Matokeo yake tumekuwa na vyama ambavyo vinatafuta kila aina ya visingizio kufanya kazi za watawala na kukwepa wajibu wa kusimama na UMMA, kisha kugeuzwa dekio la Watawala hii imeshindikana kwa CHADEMA. Kwa sababu CHADEMA, kisimama na wananchi hivyo mawakala wa mafumo na taasisi zake umeshindwa kukimaliza hiki chama, wanancho fanya sasa ni kutumia vibaka wao kuchochea utengano kati ya CHADEMA na Wananchi kwa kuwapatika majina kwamba ni wanaharakati, Kutunga hoja kwamba Wananchi hawapendi CHADEMA kuwa karibu na wanaharakati. sasa wanajaribu kuwachezea akili viongozi wa CHADEMA hili kuleta utengano na UMMA. Bahati nzuri, CHADEMA ina watu wanaojitambua na wanaelewa maslahi ya Taifa yakoje. Wakati John anauliza haya maswali alijitambulisha Kamba ametoka Royal Television @Royal_Tv_Tz (Hii ni account ya CHADEMA, ambao John ameuziwa na walioamia CHAUMMA chini ya John Mrema) , Kwa maana hiyo hii John ameichukua kutoka CHADEMA kupitia wahuni waliokuwa CHADEMA na dhamana ya kuendesha media za CHADEMA Ndio maana nasema John alipeleka Hoja za Yeriko, alitumwa maana hawa ni watu wanamuuzia mpaka vitu walivyoiba CHADEMA , sasa ameanza kumpa maswali yao ambayo wanapigania sana hapa online OGOPA SANA KUNDI LA WAJINGA, WANA UJASIRI WA AJABU Unaiba ukurasa wa CHAMA kisha unakwenda waelekeza namna ya kuongoza CHAMA? kama vile una mapenzi na CHAMA HUSIKA wakati unapambana sana kukibomoa chini kwa chini Maswali ya John yako kwenye hii link youtube.com/live/88GFHR_ot… Kama hauna muda unaweza sikiliza dakika 5 za mwisho, Japo Hotuba hii ya Mnyika ina taarifa nyingi muhimu kuhusu mwelekeo wa Tanzania hapo baadaye
YouTube video
YouTube
Think Different tweet mediaThink Different tweet media
Indonesia
18
82
457
56.7K
Chacha Heche retweetledi
Chadema Tanzania
Chadema Tanzania@ChademaTZ2·
"Usipodadisi utadanganyika sana, ukichukua taarifa bila kuweka nadharia hautakuwa umepata elimu, usipoweka uzoefu hautakuwa na hekima." Dr. Azaveli Lwaitama
Indonesia
8
45
172
2.4K
Chacha Heche retweetledi
Brenda Rupia Jonas
Brenda Rupia Jonas@BrendaRupia·
Brenda’s Political Journal
Brenda Rupia Jonas tweet mediaBrenda Rupia Jonas tweet mediaBrenda Rupia Jonas tweet media
Français
6
99
386
6.7K
Chacha Heche retweetledi
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Nikisikia hizi habari za watu kutekwa najisikia vibaya sana. Watu zaidi ya saba mnakwenda kumteka kijana asiyekuwa hatari kwa usalama wa nchi nyumbani kwao mbele ya familia yake? Mnaelewa kweli trauma mnayotengeneza kwa hizi familia? Mnajua chuki mnayoipandikiza kwa jamii? Watu waliomteka Damour Nyakairo, @Ninja_Damour muachieni huko mafichoni aendelee na maisha yake. Hatutaki kuona kijana mwingine anatekwa na kupotezwa. Hatuwezi wote kufikiri na kuwaza sawa. Taifa letu litajengwa kwa msigano wa mawazo. #FreeNinjaDamour
Martin Maranja Masese tweet mediaMartin Maranja Masese tweet media
Indonesia
22
346
1.3K
42.3K
Chacha Heche
Chacha Heche@chacha_heche·
@HecheJohn Ndio MAANA neno kulipwa kulipwa limekuwa vinywani mwao kwa sababu huwa ndio kazi Yao na jeshi la polis ndio kinga kuu ya uhalifu
Filipino
0
0
0
142
Chacha Heche retweetledi
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Jana nilipokwenda kuhuduria Kongamano la wanafunzi wa vyuo vikuu Chaso. Walitumwa baadhi ya vijana kutoka UVCCM, kwa kulipwa vifedha kidogo… Sina tatizo na vijana hata kama ni wa ccm kuhudhuria na kusikiliza sera, misimamo na hoja zetu. Lakini huyu kijana, watu wetu walipomgundua na kumhoji alisema alikua ameambiwa kwamba tukianza kuzungumza kuhusu ripoti ya Chande wazomee.. Lakini pia wafanye fujo na kutoka ukumbuni, ionekane vijana hawakutusikiliza. Kwenye simu yake alikua anawasiliana na mtu anaitwa Shangwe Mtei ambae ni kiongozi wa Uvccm. Huyu Shangwe akawa anamhakikishia kwamba hata kama wako wachache wafanye fujo kwasababu OCD alikuwepo nao pale. Ghafla huyu kijana akiwa anahojiwa na watu wetu kwanini yuko pale na nia yake ni ipi, Magari mawili ya polisi yalikuja pale kitendo kinachoonesha kwamba tukio hili lilikua limepangwa kwa ushirikiano huo. Huyu kijana alikua ametumiwa muamala wa sh 50,000 kwa madai yake walitumiwa wote na wenzake, na walipatwa hofu na kutokufanya fujo kwasababu vijana wa Chaso walikua wengi zaidi na pia ulinzi ulikua imara.. Fikiria kwamba huyu ni kijana wa chuo kikuu ana fikra na mawazo ya kutumwa na kulipwa sh 50 elfu!! Tuna safari ndefu kama Nchi Lakini lazima tufike.. Asante watu wetu wa ulinzi kwa kazi nzuri.
Suomi
79
347
1.1K
50.1K
Chacha Heche retweetledi
husseinkhalid
husseinkhalid@husskhalid·
We call on Tanzanians to reject the recently released report on election violence. The report lacks truth and justice. It does not reflect what truly happened.
English
49
299
1K
29.1K
Chacha Heche retweetledi
Chadema Tanzania
Chadema Tanzania@ChademaTZ2·
Sehemu ya wasilisho na uchangiaji wa Katibu wa Kimataifa wa chama Mhe. @DeoMunishi kwenye baraza la @idualliance lililomalizika jana jijini Zagreb, Croatia🇭🇷 juu ya mwenendo wa siasa kandamizi za Tanzania na kesi ya kutunga ya uhaini dhidi ya Mwenyekiti wa chama.
Indonesia
3
87
304
5.7K
Chacha Heche retweetledi
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Leo ni mei mosi, Siku ya wafanyakazi Duniani. Wafanyakazi Watanzania wasio na vyama vya wafanyakazi. Vyama vya wafanyakazi vilivyotakiwa na kutegemewa kusemea mishahara bora, hali za maisha ya wafanyakazi, makazi yao, usafiri, gharama za maisha na hata ajira. Vimegeuka chawa, viongozi wa vyama vya wafanyakazi ni makada wanaokula rushwa na kunyamazia maumivu ya wafanyakazi.. CWT, TUCTA wanasema nini kuhusu kupanda kwa mafuta, gharama za maisha , wako kimya wana ndoa na serikali dhalimu… wanachukua michango ya wafanyakazi Lakini hawana msaada kwa wafanyakazi.. Ni muhimu wafanyakazi mkaungana na watu wanaowasemea na kuwapigania ili muweze kuleta Mageuzi ya kweli. Hakuna cha kusherekea tofauti na kupumzika nyumbani leo.
Indonesia
58
263
1.1K
24.5K
Chacha Heche retweetledi
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Kitendo cha Magereza na Mahakama kumpeleka Mwenyekiti wetu mahakamani bila taarifa ya mawakili wa chama na chama ni aibu na kutia mashaka sana . Tumezuiliwa kumuona kiongozi wetu kwa miezi Karibia sita kinyume cha sheria.. Sasa anapelekwa mahakamani kwa siri na kificho nia yenu ni ipi? Lissu ni kiongozi wa umma haiwezekani kumfanyia mambo ya ajabu kama haya.
Indonesia
115
646
2.7K
63.7K
Chacha Heche
Chacha Heche@chacha_heche·
Nimesikiliza hotuba ya huyu mama Kuhusu Africa na mikataba tunayoingia inayoumiza bara la Africa Maisha ya watu wetu Rushwa Kama kuna watu wachache kama hawa kwenye viti vya Urais Africa sidhani kama wanazidi watatu Niongeze mwingine
Chacha Heche tweet media
Indonesia
10
27
148
2.4K
Chacha Heche retweetledi
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Kwa wale wanaotaka kujua mipango ya Kabudi na serikali yao dhalimu sikilizeni hii clip.. Kabudi anapeleka Nchi barabara mbaya kabisa.
Waihiga Mwaura@WaihigaMwaura

A Tanzanian government-appointed commission announced that 518 people died in the widespread protests that followed last year's general election. Prof. Paramagamba Kabudi, Tanzania's State Minister in the PM's Office for Policy, Coordination and Parliamentary Affairs spoke to us on #FocusOnAfrica. I first asked him who was responsible for all those deaths?

Indonesia
32
95
455
24.9K
Chacha Heche retweetledi
MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus@MwanzoTvPlus·
#TANZANIA: TUME IMESHINDWA KUELEZEA KABISA UHALALI WA TAMKO LA IGP LA KUTOTOKA NJE - WAKILI JEBRA Wakili msomi Jebra Kambole akiiwakilisha chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS) leo Aprili 27, 2026 aivaa vikali Tume ya Jaji Chande kwa kushindwa kuelezea uhalali wa tamko la IGP Wambura ya kutotoka nje iliyowataka wakazi wa Dar Es Salaam na baadae ikatekelezwa nchi nzima. Aidha, Jebra amehoji kuhusu ukweli wa takwimu zilizotolewa huku akisema kuwa ushahidi unaonyesha watu wengi waliuawa wakiwa kwenye makazi yao, amesisitiza kuwa takwimu zilizotolewa na Tume ya Jaji Chande hazijaonyesha ni watu wangapi waliuawa wakiwa kwenye maandamano na wangapi waliuawa wakiwa majumbani. Zaidi: youtu.be/C2t_6coMJmE
YouTube video
YouTube
Filipino
5
61
163
6.2K