Classic
976 posts

Classic
@clasik_101
This account shares some productive tips about Life 🌱|| Business 📈 || Technology ⚙️ || Health 🧬|| Books 📚 || Relationship || Sports 🏆.
Katılım Temmuz 2019
108 Takip Edilen36 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet

@Snowpiercer199 @TOTTechs Mtaalamu sababu ameendeleza alipoishia Steve Jobs, fatilia ni nani alieifufua Apple kipindi inataka kufa na alie weka misingi ya Think different.
Indonesia

@TOTTechs Well Apple wanajua nini wanakifanya
Huyu ni mtaalam wa masoko na kwa hilo tayari wanewin
Kwa sasa wanahutaji mtaalamu wa engineering na design ya hardware kama mrithi wa sasa ili kukidhi ushindani wa Kampuni nyengine kama Samsung..
Indonesia

@gabyconscious Alipataga impressions nyingi kipindi kile cha vita na wakamalia. Now the dust is settled and things start to get to default mode.
English

@gabyconscious Issue inakua ni kujua tofauti kati ya Dubai, Saudi Arabia na UAE.
Indonesia


@NjiwaFLow Chaja original yenye 100W italeta tofauti gani kwenye kuchaji simu ya 30W?
HT

💨 Ukitumia Charger yenye 100W kuchaji simu yenye uwezo wa 30W kitakachotokea hapo ni
Charging system ya simu yako itazuia kiwango cha umeme kitakachoingia kwenye simu na kuruhusu 30W pekee hivyo hizo 70W zinakuwa useless.
Mchawi ni upate charger Original au Charger nzuri.
MUITALIANO 🔋@iamkizzyh
Hivi hakuna charger za iphone zenye 100W maana hizi zingine miyeyusho tu
Indonesia

@gabyconscious Mbona kama Zuckerberg mwenyewe ame terminate hii project
Indonesia

TechBro na Matajiri wanapita kama wanaaga maiti si tulikubaliana mna HELA techBros🤣
𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 7.o@gabyconscious
META RAY-BAN DISPLAY + SMART BRACELET 🕶️ Shiny Black + Size 2 (Charcoal Black) Price: 4,190,000 TZS 🕶️ Shiny Sand + Size 3 (Sand) Price: 4,190,000 TZS 🕶️ Shiny Black (Large) + Size 3 (Charcoal Black) Price: 4,276,000 TZS ✈️ Delivery: 1–7 Days 🚚 Shipping Fee: 30,000 TZS (Pay on pickup) WHATSAPP👉🏽shorturl.at/ItKZY
Indonesia

Kuna watu wamenyooka sana, juzi @BillyTronix1 kampa mteja namba yangu kaibiwa simu
Nimempa consultation ya kama 10min, dada wa watu kaomba lipa namba alipie huduma mind you kaibiwa 15 pro, kalipa 20,000
Cc:@gabyconscious
Indonesia


@gabyconscious Pale ambapo cycle yako yote inakua na wafanyabiashara wenzako tu na haina wateja
Filipino

Hii huwaga ni mindset ya kutaka pa kujificha
Sio kweli kuwa kila mtu anapost biashara❌
Wewe watu wako wengi ndo wafanyabiashara wenzio✅
Bony 📚@bonifacejoseph_
Huko status Kila mtu anapost biashara, Sasa wateja watakuwa ni kina nani Sasa.!! 😂😂
Indonesia
Classic retweetledi


@Narrowbeeflying Hapo akienda polisi aseme amepoteza leseni si anapewa ingine 😅😅😅
Filipino

@NjiwaFLow @Njiwa_Store Huyu dada Kuna post alijitambulisha jina, ngoja nikaitafute
















