
@makumbawaleo_5n Nipo na uncle wangu bado haaamini kabisa anakwambia atapambanisha hadi aitwe tena....namwambia achana nako huko umri unakata utazeeka kwa matumaini
Filipino
SPECIMEN XY🇺🇸
2K posts

@Snowpiercer199
AgriEconomist📈 AgriExeprt side Hustle:MOBILE TECH. SERVICES



Ilikua bora millennials afukuzwe shule ila usimnyime kuandika ukuta wa choo hivi💔


Taasisi au mwajiri Bora, ni yule anaewainua watu wake kutoka kwenye viwango vya chini, kwenda juu zaidi. Hongera sana @Tilishosafaris_ kwa kuonesha ubora huu kwenu.









