uncle_tucchi

4.6K posts

uncle_tucchi

uncle_tucchi

@cletucchi_08

Love all hate none..🇹🇿🇹🇿

Katılım Kasım 2021
2.1K Takip Edilen692 Takipçiler
Adamoo
Adamoo@Addy_Adams·
Wakali wakikanusha kwamba hawajui ulipo ujue basi tena Familia ifanye mpango wa Turubai
Indonesia
6
28
194
6.7K
EAST
EAST@Prince_Urio·
Sitosahau safari ya Mwanza to Dar nilitamani wanishushie njiani, spidi ya hili gari ni kama madereva wao hawana cha kupoteza, wenyewe wanaliita ndege ya ardhini🙌🙌
EAST tweet media
Indonesia
21
15
170
8.2K
Mavugo Mavugo
Mavugo Mavugo@MavugoMavu75921·
@Addy_Adams Huwa wanasoma na upepo wa mitandaoni umekaaje wakiona mkali kama hivi ndo ile utaskia tunamshikilia na tunafanya nae mahojiano aiseee hii nchi hapana
Filipino
1
0
4
477
Kuboja
Kuboja@Pyroxenite81·
@Prince_Urio Acheni kuchafua makampuni unajua speed inakuwa monitored na Latra? Wewe unamatatizo binafsi na hilo kampuni usisingizie mwendo
Indonesia
2
0
6
639
uncle_tucchi
uncle_tucchi@cletucchi_08·
@agmwasanga Movie bongo mtu wa muhimu wa kwanza kuja anatakiwa awe wa kukutolea dhamana huyo mwanasheria ni wakuja kesi ikienda mahakamani kwa ground ukipata dhamana ndo inaamua kesi iwe imeisha, au itaaisha taratibu
Indonesia
1
0
0
125
Google aka Gugo
Google aka Gugo@agmwasanga·
Nilidhani ile siku aliokamatwa, ndugu zake walipaswa wapewe taarifa kuwa anapelekwa kituo flani flani. Na pia arrest warrant ikatolewa... na je, huko mlikomkamata amepata access ya mwanasheria wake? Au mie naangalia sana movies sijui kwa hapa TZ mambo yanaendaje?
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki

Indonesia
7
7
24
2.4K
Angry Citizen
Angry Citizen@HamisKittumma·
@anuskills3 Dimba lilikua shamba la mpunga; kuteleza ilikua kawaida sana.
Indonesia
2
0
2
1.4K
CHURA MYUNANI MKALI PAPPARAZI
Iko hivi nyie mnaoshadadia taarifa za uongo za kina Hilda na kundi lake la uzushi, watekaji mara nyingi hufuatilia mitandao ya kijamii kuona mwelekeo wa upelelezi. Uongo unapoenea kuwa gari lenye plate no fulani limeonekana mara mask (wakati si kweli)..
Indonesia
11
13
96
7.9K
paul dicanio makoye
paul dicanio makoye@MakoyePaul·
@Balyx_ @influencerjr kirumba mvua ikinyesha ni kama isamuyo tu Arusha napo ni yale yale Dom napo ni yale yale labda keitaba lakini simba kachagua isamuyo chamazi ndio hataki kupasikia hata taifa mvua ikinyesha yalikuwa yaleyale so kipigwe hap hapo
Filipino
2
0
1
182
uncle_tucchi
uncle_tucchi@cletucchi_08·
@thenameis_Andro @NikoJMT Kama tunavyo wasifia CIA nk huo ndo upelelezi na huwa upo wa technologia na huu wa Traditional na hili huwa siyo jambo la siku moja mpaka kujua wanakaa wanachunguza ratiba yako full wanatafuta gape ndo then tunaskia kama ni mtu anakuwa amekamatwa
Filipino
0
0
0
17
YHWH
YHWH@NikoJMT·
Kwahio mnajuaje with absolute certainty kwamba anaishi hapa na atakuwepo muda huu?
Indonesia
14
1
91
43.3K
uncle_tucchi
uncle_tucchi@cletucchi_08·
@Maisha_Pro @mbamba_stephano @MpondaSabinus Sijajua exactly ila kilimanjaro waliacha muda sana siyo kwamba ni ghafla wakaamua kujikita na mahindi nk na pia ukweli kwa siku za nyuma kahawa ilkuwa hailipi kiivyo na pia collpase na vyama vya ushirika ni miongoni mwa sababu
Filipino
1
0
1
6
Mponda
Mponda@MpondaSabinus·
Bei za kahawa kwa gunia la kilo 50. 2021 gunia la kg 50 Tsh 375K 2022 gunia la kg 50 Tsh 300K 2023 Gunia Tsh 300K 2024 Gunia Tsh 450K 2025 gunia Tsh 700K Kumbuka kahawa aina ya Arabica.
Mponda tweet media
Indonesia
6
12
83
3.3K
uncle_tucchi
uncle_tucchi@cletucchi_08·
@maxannania @Obure1998 Kagera na Tarime kidogo yes ni kweli huwa wanalima tena kila msimu ila shida ya umaskini na kukosa kuhifadhi chakula unakuta wakivuna wanauza karibu chote ili wapate hela na pia baadye hichohicho walichouza wananunua kwa bei ya juu
Indonesia
0
0
1
36
Max
Max@maxannania·
@Obure1998 Kuna mikoa nadhani hata njaa huwa inaogopa kwenda. -Kagera -Iringa&Mbeya -Ruvuma. -Tarime. Powerhouse ya chakula nchi hii.
Filipino
5
0
3
866
Cinephile
Cinephile@Obure1998·
Bahati nzuri nimekaa pote, Kagera wana Parachichi nyingi sawa na ukanda wa kusini tu, ni kubwa na zinasifiwa ni tamu Mchawi usafirishaji tu, nilikuwa nanunua gunia la Parachichi Kagera kwa elfu kumi nasafirisha kwa elfu arobaini kwa afrika raha🙌🏾🙌🏾
Max@maxannania

@MarekaMalili Ukitoa wasukuma hii nchi watu wanakufa nenge, ila ukitoa Wanyaki, parachichi zitapana bei kinoma .

Filipino
2
0
7
1.6K
uncle_tucchi
uncle_tucchi@cletucchi_08·
@EsirEid Betting inatuharibu na kama gavoo wanaona wanaingiza hela sana basi waaumue mazima waruhusu na Bhangj sababu inahela ila kama wamezuia bhnagi na hii wazuie
Indonesia
1
0
4
150
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLakihaya Jana tulikua tunakumbushana tu ili tuwe Sawa! Sasa VIJANA Naomba tujadili issue kamili- najua wengi mnaogopa kujadili hii mada Kwa kuogopa matusi na hata usipate support yoyote… Ila lazima tulijadili hili Kwa maslahi mapana ya Sisi vijana na kizazi chetu cha kesho… Kuzidi kufunguliwa kwa Betting Companies kila uchao na hata hii ya juzi ilioleta kelele humu si hatua ya maendeleo, ni kengele ya hatari kwa kizazi chetu vijana. Kamari haitujengei vijana uwezo, haitupi ujuzi, wala haitengenezi thamani kwenye uchumi. Inauza ndoto ya ushindi wa haraka, lakini ukweli wake ni mzunguko wa hasara, madeni, utegemezi na kuvunjika kwa maisha. Tunaambiwa ni ‘AJIRA’, lakini ni ajira ya aina gani inayotegemea watu wengi kupoteza pesa zao ili wachache wanufaike? Huu si uchumi jumuishi,ni mfumo unaonufaisha kampuni huku ukiwaacha vijana wakizama kwenye hasara. Na ndio maana kampuni za kamari kila siku zinaongezeka lakini vijana BADO tupo kwenye umasikini ule ule Miaka nenda Miaka Rudi💔 Athari zake zipo wazi; Madeni yanayokua kimya kimya,Msongo wa mawazo na hata uraibu wa kamari, Kupotea kwa muda na nguvu ambazo zingetumika kujenga maisha,Kupungua kwa tija kwa vijana waliopaswa kuwa nguvu kazi ya taifa nk. Serikali haiwezi kusema inajali vijana huku ikiendeleza mazingira yanayowasukuma kwenye utegemezi wa BAHATI badala ya juhudi na ubunifu. Hii si sera ya maendeleo, ni kuruhusu kizazi kipotee polepole. Vijana tuamke. Hakuna ‘shortcut’ ya mafanikio kwenye kamari. Waliopo juu ni wachache wanaotumika kama matangazo,lakini maelfu wako chini wakipoteza. KAMARI sio ajira, ni mtego unaowalenga vijana moja kwa moja. Tunauziwa ndoto za ushindi wa haraka, lakini uhalisia ni madeni, utegemezi, msongo wa mawazo na kupoteza kabisa mwelekeo wa maisha. Serikali haiwezi kwa mkono mmoja kuzungumzia kuwawezesha vijana, halafu kwa mkono mwingine kufungua milango ya kamari inayowapumbaza na kuwavuta kwenye utegemezi wa bahati. Hii si sera ya maendeleo,ni kulea utegemezi. Vijana tuamke. Hakuna utajiri wa mkato kwenye kamari! waliowanufaika ni wachache sana, na wengi wanabaki na hasara, maumivu na muda uliopotea. Taifa haliwezi kujengwa kwa tiketi za bahati nasibu. Tunahitaji ajira halisi, elimu bora na fursa za uzalishaji,sio kamari. Tunahitaji uwekezaji kwenye elimu ya vitendo, ujasiriamali, viwanda na teknolojia,not betting. Taifa haliwezi kujengwa kwa kubeti,linajengwa kwa kuzalisha💯💯 Serikali ifikirie upya,hatuwezi kujenga taifa kwa kuwapa vijana ndoto za mkato zisizo na kesho💯💯 Serikali haipaswi kulea kizazi kwa bahati nasibu badala ya fursa halisi. Vijana tuamke,hii si njia ya mafanikio💯💯
Indonesia
297
267
752
41.6K
uncle_tucchi
uncle_tucchi@cletucchi_08·
@ItsKamala @Tanganyikan Scania hata hamna legroom hiyo kwa bongo ni Taahmed, NF na bus za higer ndo leg room uwakia nje ya hapo labde chuma iwe na siti 20 ila kama ni 45-50 legrooom uongo
Filipino
1
0
0
32
Uncle Fafi
Uncle Fafi@Tanganyikan·
Hizi bus mchina anapozitengeneza hatufikirii wenye miguu mirefu.
Română
14
0
66
6.1K