Kufungua akaunti ni fasta tu!
Ukiwa na kitambulisho chako, tunakufungulia akaunti ya kidijitali popote ulipo ili ufanye miamala na malipo kupitia simu yako, na uanze kuteleza tu.
Ukimuona wakala wetu anza kutabasamu tu kwani ni wakati wako kuishi kidijitali!
#TelezaKidijitali
One of my dream was to someday present a technological innovation to The President of Tanzania. Grateful to have done it sooner than I ever anticipated. And it was infront of all the Tanzanian leadership.
Tafadhali pokeeni shukrani zetu za dhati na muendelee kuiombea roho ya Hayati Dkt. Magufuli ipumzike kwa amani na Mungu aendelee kuifariji familia yake.
Viongozi wenzangu pamoja na Viongozi Wastaafu, Viongozi wa Nchi na Mashirika Mbalimbali ya Kimataifa, Viongozi wa Dini, Viongozi wa Kisiasa, Jumuiya ya Kidiplomasia, Vyombo vya Habari, wasanii na kila aliyekuwa nasi bega kwa bega wakati huu mgumu kwa Taifa letu.
Leo tunapompumzisha mpendwa wetu Hayati Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kwenye nyumba yake ya milele, kwa yangu niaba yangu binafsi na niaba ya Watu na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, napenda kuwashukuru Watanzania wenzangu,
Your worth and quality does not depend on how people see you and speak about you. It depends on how you feel about yourself, and the effort you put forth.