behind the scenes

1K posts

behind the scenes banner
behind the scenes

behind the scenes

@damajack1

Katılım Eylül 2022
264 Takip Edilen233 Takipçiler
Faraja | Mkulima
Faraja | Mkulima@faraja_zungu·
Kuna namna unapata furaha ukiwa na mifugo yako.
Faraja | Mkulima tweet mediaFaraja | Mkulima tweet media
Burundi 🇧🇮 Filipino
4
6
24
544
behind the scenes
behind the scenes@damajack1·
@IAmHaule Sijawahi kuona ajali ya uzembe ikisababishw na dereva 45+ au umri wowote dereva wa kike
Indonesia
1
1
1
100
IAmHaule
IAmHaule@IAmHaule·
Kwanini kusiwepo na Limit ya umri wa mwisho kuingia barabarani , tuseme mwisho wa kutumia chombo cha moto na kuingia nacho barabarani ni maika 45 tu . Umri unavyo sogea naona Kama umakini unapungua . Katika umri huo wengi wanakuwa na pressure na Depression .
Indonesia
21
13
85
3.9K
behind the scenes
behind the scenes@damajack1·
@IAmHaule Hujui t hao vijana wa Tamisemi wanavyorogwa huko.kijijin,usifikili wao ni wajinga asilimia 90 wanaomba uhamisho
Indonesia
3
0
24
2.2K
IAmHaule
IAmHaule@IAmHaule·
Kijana alipata Ajira miezi kadhaa huko kijijini , alivyofika huko kaanza kulima na kufuga . Wananchi baada ya kuona hivyo wakamsaport kwa vitu vingi bure kabisa . Kijana anasema Mshahara wake hatumii ila wananchi wanamaliza Kila kitu . Kwenye kilimo anakusanya ziadi ya 90M
Indonesia
43
38
558
22.2K
masterMind
masterMind@Samwegole·
@Balyx_ Mimi nilishawahi kukutana nacho, Am serious about this, Kindege cha duara kidogo lakini kama size IST mbili hivi au tatu, rangi Yake ni kama Silver hv, klkuwa kinang'aa Sana, yaani kama vle kioo kkpigwa na jua, kidude klkuwa kama kimenata angani, mara vuup kikapote in second.
Filipino
2
0
1
386
Balyx
Balyx@Balyx_·
Kwo Aliens 👽 waliona sehemu sahihi ya kutua ni USA pekee? Hawajawahi kukanyaga hata Afrika? Au wanahofia wataliwa?😂
Indonesia
33
10
330
19.7K
behind the scenes
behind the scenes@damajack1·
@maila_kasorii Kama hujajipanga na huna chale mbili tatu kam za Lubasha matakoni,utakua unanunua jiwe lingaa kbs mali unaiyona ila ukisaga unapat g2
Indonesia
1
1
6
938
maila
maila@maila_kasorii·
Moja ya biasharu ngumu na yenye hasara kubwa Tanzania ni ya kununua mawe.🙌💔😭
Indonesia
16
22
151
8.6K
behind the scenes
behind the scenes@damajack1·
@Tweener003 Kama hujaandika tarehe anakuandikia na ukiona umeandikiwa mfate mwenyew ofsin kbl hajakufata Nimemkumbk mwl wang Mageka kila siku asbh utakuta maswal 5 y hesabu sjui alikuwa anaandka saa ngp
Indonesia
0
0
0
41
PàChâ#1738 💫
PàChâ#1738 💫@Tweener003·
Sema Ualimu ni kazi ngumu aisee ,hapa anasaisha, anakagua mwandiko,anakagua ambao wameangaliziana, anakagua watu ambao hawajakusanya daftari bado anakagua wenye daftari zimechanika ,hivi mshahara wa mwalimu wa shule na msingi ni shingapi vile ?
PàChâ#1738 💫 tweet media
Indonesia
22
22
74
3.1K
#MTB🌍, MD
#MTB🌍, MD@Iam_Malunguja·
Au Mama majamaa huwa yanamwambia kila kitu kipo sawa😂
Filipino
4
1
9
2.7K
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Mtoto huyu wa kiboko alikutwa ziwani huko Kenya pembeni ya mwili wa mama yake aliyekufa. Akachukuliwa na mamlaka ya wanyama pori akapelekwa kituo cha Sheldrick kinacholea wanyama yatima huko Kenya. Akapewa jina la “Bumpy” na sasa analelewa vizuri tena akikua atarudishwa porini.
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
16
28
865
37.6K
behind the scenes
behind the scenes@damajack1·
@MrCEO001 Uiache Rindi, Mtwara, Tabora Uiweke Mara mkoa ambao walima mara 2 kwa mwaka,mkoa ambao una madini,
Filipino
0
0
0
15
Mr. CEO 💰
Mr. CEO 💰@MrCEO001·
Mikoa ambayo ina masikini wengi zaidi nchini Tanzania 90% ya watu wake ni masikini 1. Singida 2. Kigoma 3. Geita 4. Katavi 5. Dodoma 6. Shinyanga 7. Simiyu 8. Mara Kwa kifupi huko kuna watu hawana hata shilingi mia mbovu 🙂🙌 Source: Tanzania National Bureau of Statistics
Indonesia
56
34
153
11.1K
behind the scenes
behind the scenes@damajack1·
@MkulimaKante Hayo ni matokeo ya sangara na santo sio senene, Tembelea ukerewe na Musoma Nb Tatizo mchuzi huo huja na nyege ndo maana hata ukimwi ulianzia huko
Indonesia
1
0
2
56
Kante
Kante@MkulimaKante·
Kuna uhusiano gani wa kula senene na kuwa na akili. Maana akili za wahaya sio za kawaida kwa kweli. Wale jamaa ni bright vibaya mno nina wasiwasi ni jamii ya kutokea Israeli huko🙌
Filipino
6
9
47
2K
behind the scenes
behind the scenes@damajack1·
@Iam_Malunguja Niliend zahanat kupima sikuridhik n majib ikabid niende hosp kubw,baad y vpimo, Dawa nambiwa Bima yang itumia daw hizo dani y siku1 ilypta hivyo niztumie nispo pona nirud kubadlishiw daw Ikabd ninunue daw kw Cash kish nkard ku deal na doct uzr skumharibia kaz ila hatonisagau
Filipino
1
0
3
426
#MTB🌍, MD
#MTB🌍, MD@Iam_Malunguja·
Kuna mtindo mkishakuwa na BIMA mtu anakuja anaelezea hiki alafu muda wa kuandika dawa unaongezea dawa zako ili ukampe jirani, hii huwa haitakiwi najua hampendi ukweli.
Indonesia
9
8
80
5.8K
Mponda
Mponda@MpondaSabinus·
Ukiondoa kilimo Cha Mahindi kilimo gani kingine ngumu sana kumtoa kijana anaejitafuta kwenye umaskini.
Mponda tweet media
Indonesia
16
8
105
4.3K
DevotaTweve
DevotaTweve@TweveDevota·
Ehee Mungu ukatili huu hadi lini? 😭😭
DevotaTweve tweet media
Indonesia
9
11
77
5.8K
Headboy wa mtaa
Headboy wa mtaa@Sirajitz1·
Hivi Channel kama 1. Clouds TV 2. ITV 3. EATV 4. Channel 10 Zinaoneshwa bure kwenye visimbuzi. Wao wanapata faida wapi inayopelekea kuendesha hizo media na kulipa wafanya kazi wao?
HT
41
33
449
45.1K
Tinah Mamantilie~mantilie wa X🥰
Ukitaka soup ya kuku nipigie nipe oder yako mapema 📍Sgr Station Dodoma 📞0687747579 normal call & WhatsApp Tinamantilie🫰
Tinah Mamantilie~mantilie wa X🥰 tweet media
Indonesia
17
55
171
6.7K
behind the scenes
behind the scenes@damajack1·
@MarekaMalili Kuna hii kauli ya" kula sio kujaza tumbo chagua unachokula kula" Wengi hawajui thamani ya mchuzi wa Sato kama unaweza kusimama badala ya maziwa ya kopo tunayowanywesha watot wetu
Indonesia
0
1
1
157
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Katika kusaidia nchi kupambana na Ujinga, mimi nimechagua segment ya kuuza samaki 😆 Lishe ni mzizi.
Indonesia
16
37
352
6.6K
Dr Kyoma
Dr Kyoma@Sammakuku·
@EsirEid Binafsi niliachaga na wanaharakati tangu nilipogundua kuwa @fatma_karume hakuwa mzalendo bali mbaguzi wa uzanzibari, ujinsia na udini. Kifupi hawa wapo kwa interest zao
Indonesia
3
3
32
4K
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya WANAHARAKATI UCHWARA…. Walituaminisha kwamba Tuachane na Wana CCM na Products zao… Hadi kutulazimisha Tuwa BLOCK Wana ccm mtandaoni… kuachana na Ushabiki wa mpira wa SIMBA/YANGA…. Ila Kuanzia leo kuendelea hao hao ndio Watakuwa wanaPromote VUNJABEI BETTING! Ikumbukwe VunjaBei ni CCM lia lia… amechanga hela kibao tu kwenye kampeni na hata juzi tu alikua anawania UBUNGE kabla ya kukatwa 😅 NJAA na MSIMAMO havikai meza moja 😂🙌🏽
Indonesia
155
122
918
85.3K