Hartz MD

22.7K posts

Hartz MD

Hartz MD

@Pollo_Dr

third

Tanzania Katılım Kasım 2011
1.3K Takip Edilen413 Takipçiler
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
"Nimepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa za kifo cha ndugu Seleman Bungara (maarufu kwa jina la Bwege) aliyekuwa mwanachama wetu wa ACT Wazalendo kabla ya hivi karibuni kutangaza kuhama chama, taarifa zinasema ndugu Bungara amefariki ghafla mapema leo wakati akiwa Hospitali alipokwenda kwa ajili ya kupata huduma yake ya kawaida ya kusafisha figo (dialysis), kwa niaba ya Chama, natoa pole za dhati kwa mke wa marehemu Bi. Mwanawetu Said Zarafi ambaye ni Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Chama chetu, kwa msiba huu mzito wa kuondokewa na mmewe" -Semu "Aidha, Chama kinatoa pole kwa familia, wanachama wa ACT Wazalendo, ndugu, jamaa na marafiki wote walioguswa na msiba huu kwa namna moja au nyingine, ndugu Bungara atakumbukwa kama mmoja wa wanasiasa wa upinzani waliojitolea na kusimama imara katika kupigania na kutetea haki na mfumo wa demokrasia ya vyama vingi katika nchi yetu wakati wote wa uhai wake, ACT Wazalendo itashiriki kwa hali na mali katika msiba huu ikiwemo kubeba gharama za mazishi ya ndugu Bungara, vilevile tunatoa wito kwa wanachama wote wa ACT Wazalendo jimbo la Kilwa Kusini na popote nchini kuungana na familia ya marehemu kuwafariji katika kipindi hiki kigumu, msiba wa ndugu Bungara ni msiba wa ACT Wazalendo, Mungu aipokee roho ya marehemu na kuilaza mahali pema peponi, Amina" -Semu Ni sehemu ya kile kilichoelezwa kwenye taarifa ya Chama cha ACT Wazalendo iliyotolewa kwa umma kupitia Kiongozi wa Chama hicho Dorothy Semu kufuatia kifo cha Mbunge wa zamani wa Kilwa Kusini Seleman Bungara (Bwege) kilichotokea mchana wa leo, Jumatatu Machi 30.2026.
Jambo TV tweet media
Indonesia
9
8
147
8.9K
Hartz MD
Hartz MD@Pollo_Dr·
@zoetjesheeftX Mwanaume ana vichwa vingi dogo ukiona mademu ndio wanamuita ivyo wanajua wenyewe hilo BICHWA lipo wapi
Indonesia
0
0
7
2.4K
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️
Wasanii wengi wa kike hili ndo jina wanalo penda Kumwita Alikiba akiwemo pia Wema, ila huwezi kukuta mwanaume kamwita hilo jina la Bichwa. Sasa huyu Kiba mbona hana kichwa kikubwa kihivyo? 🗣️Mdau Ni Mdau anauliza tu
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️ tweet media
Filipino
17
2
136
22.9K
MeaMswahili
MeaMswahili@meamswahili·
🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄 Mshambuliaji wa zamani wa Manchester United Wayne Rooney aliulizwa kama anamuona Nahodha wa Sasa Bruno Fernandes akiingia kwenye Kikosi Bora Cha muda wote Cha Manchester United. Majibu Yake Hayaaa..!! ✍️👇 “Bruno ameisaidia sana Manchester United Kwenye Nyakati Ngumu ana namba nzuri ana wakati mzuri lakini Bado sioni kama anatosha kuingia kwenye Kikosi Bora Cha Muda wote Cha Manchester United Bado hajafika hapo.” Unakubaliana Nae Kwamba Kiwango Cha Bruno Badooo…?!🤔 #MeaMswahiliUPDATES
MeaMswahili tweet media
Indonesia
18
6
144
13.5K
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe@zittokabwe·
Inna lillah waina ilaih waina ilaih raajiun. Pole sana familia ya Mzee Suleiman Bungara Bwege kwa msiba huu mzito. Pole sana Mama Mwanawetu Zarafi, mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha ACT Wazalendo kwa kufiwa na mumeo. Pole zangu kwa wana Kilwa na Lindi kwa mtihani huu. Mola ampumzishe Mzee wetu na tuendelee kumwombea dua.
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe tweet media
Indonesia
31
37
312
15.6K
EL SUKAYO🇹🇿
EL SUKAYO🇹🇿@Elsukay0·
🇹🇿 Bongo tuna Mafuta 🇹🇿Bongo tuna Madini 🇹🇿Bongo tuna Gas 🇹🇿Bongo Vivutio vya utalii 🇹🇿Bongo tuna Bandari 🇹🇿Bongo tuna maziwa mito na bahari Kwanini sasa Taifa halipigi hatua za kimaendeleo?
Filipino
94
41
312
11.7K
Jamii Forums
Jamii Forums@JamiiForums·
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), CPA Charles E. Kichere amegusia changamoto za Mradi wa Kufua Umeme wa Bwawa la Mwalimu Nyerere na kueleza kuwa umesababisha hasara ya Tsh. Trilioni 1.48 kutokana na kushindwa katika Baraza la Usuluhishi. Ameeleza hayo katika Ripoti ya ofisi yake ya Mwaka 2024/2025, leo Machi 30, 2026, Ikulu Dar es Salaam. Zaidi jamii.app/BwawaHasaraTAN… #JamiiForums #Uwajibikaji #RipotiCAG
Indonesia
9
20
120
8.2K
Hartz MD
Hartz MD@Pollo_Dr·
@HamisKittumma @JamiiForums Bado una ufaham mdogo sana. Una amini kinachosemwa na Serikali hii?! Una amini hawa wanaweza kufanya jambo lolote kwa faida ya wananchi?! Kuna Mambo wanaharibu Maksudi kujaribu kufuta Mema ya JPM.
Indonesia
0
0
0
9
Angry Citizen
Angry Citizen@HamisKittumma·
@JamiiForums Tuliaminishwa kwamba hili Bwawa likianza uzalishaji wa nishati hio tajwa, Bei ya umeme itashuka nchini. We were such a fool kuamini mambo haya.
Indonesia
1
0
1
275
Hartz MD
Hartz MD@Pollo_Dr·
@Vanysimba @meamswahili We nae ata kusoma picha huwezi. Bruno anapambana na SCHOLES na cyo ROONEY. Bado pia Bruno hana NAFASI
Filipino
1
0
0
13
Qubvan🦁
Qubvan🦁@Vanysimba·
@meamswahili Rooney mnampika lakini that makes sense ili Bruno acheze kwenye icho kikosi lazima Rooney akae benchi kitu ambacho sidhani kama kinaweza tokea prime Rooney was better than prime Bruno huo ndo ukweli.
Filipino
1
1
1
157
Hartz MD
Hartz MD@Pollo_Dr·
@millardayo Hii Ripoti sionagi umuhimu wake. Kama Ripoti inatolewa na hakuna lolote linalofanyika sasa ina maana gani. Napendekeza hii Ripoti isiwepo
Indonesia
0
0
0
363
millardayo
millardayo@millardayo·
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Dkt. Charles Kichere, leo March 30,2026 amewasilisha Ripoti Kuu kwa mwaka wa fedha 2024/2025 kwa Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Ikulu Jijini Dar es salaam ambapo amesema deni la Serikali limeongezeka hadi kufikia Tsh. trilioni 110.05 kutoka Tsh.trilioni 97.35 ambapo deni hilo limechangiwa zaidi kwa kuongezeka kwa mikopo ya nje na kushuka kwa thamani ya shillingi dhidi ya dola za Marekani. Dkt. Kichere amesema ““Ongezeko hili limechangiwa zaidi kwa kuongezeka kwa mikopo ya nje pamoja na kushuka kwa thamani ya shilingi dhidi ya dola ya Marekani ambapo kushuka kwa thamani kumechangia ongezeko la deni la Tsh. trilioni 2” “Tathmini ya uhimilivu wa deni imebaini kuwa deni la Serikali bado lipo ndani ya viwango salama vinavyokubalika Kimataifa huku thamani ya sasa ya deni lote la umma kwa pato la Taifa ikiwa ni asilimi 40.7 chini ya ukomo wa asilimia 55 na deni la nje kwa pato la Taifa likiwa ni asilimia 24.9 chini ya ukomo wa asilimia 40” #MilardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
103
42
489
30.3K
Hartz MD
Hartz MD@Pollo_Dr·
@DanidInnoc @earadiofm Kk unaroho ya kichawi Jamaa kaelezea jinsi alivyopambana kuanza biashara baada ya kutoka chuo Jamaa anajaribu kuwaambia watu waliomaliza chuo wasisubiri kuajiriwa bali waanze Mapambano Sasa ww unakuja na Usenge wako unaanza kubeza elimu yake ya chuo Yaani kwa kifupi ww ni KUMA
Indonesia
2
0
1
19
EastAfricaRadio
EastAfricaRadio@earadiofm·
#Motisha | Masoud Mambo, Mratibu wa Ngome ya Vijana wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) na mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, anaelezea safari yake ya maisha kutoka kuwa na ndoto ya kuanzisha kampuni ya kusambaza vinywaji hadi kuanza kujitafutia kipato kwa kuuza Matunda. Cc: @kissadaniel2 #EastAfricaRadio | #SupaBreakfast | #Motisha
Indonesia
11
8
90
7.5K
Hartz MD
Hartz MD@Pollo_Dr·
@prossoff Kiburi na Elimu kwa wanawake ndio limechangia hili na ni TATIZO HASWAAAAA
Filipino
0
0
2
66
ProsperNow.
ProsperNow.@prossoff·
Ukienda bar Single moms ndio wahudumu. Dada poa wengi ni mama waliotelekezwa na mtoto. Wafanya biashara wa kike pia wengi ni single mom. Makondakta wa kike wengi ni single moms. Wanawake waajiriwa nao ni single moms. Dada wa kazi nao wengi wanawatoto makwao. Ukiangalia kwa undani hili wimbi linakua kwa kasi sana na ni tatizo, Hawa WOMAN RIGHT ACTIVIST badala ya kupambania haki sawa kwanini wasipambanie hilo la kuongezeka kwa single moms? Lakini unakuja kupata jibu pia kwamba na wanaopambania haki za wadada na wanawake nao ni single moms so hakuna msaada. Ila wimbi la single moms linaongezeka na sio swala la kukalia kimya, serikali inafaa kuliangalia hilo kwa umakini sana.
Indonesia
32
43
381
16.8K
NKENJA_7
NKENJA_7@Abraha1Brighton·
@millardayo Eti LUKUVI Alikuwa mtu mahiri na Mzalendo Uzalendo Gani alioufanya wakati kila mda alikuwa anafokea watu bila sababu mtu akitaka kujieleza ampi nafasi Semeni ukweli LUKUVI alikuwa Anapenda Ubabe japo sura yake ya Church Boy lakini ROHO yake ya Iddi Amini Dada
Indonesia
1
1
2
363
millardayo
millardayo@millardayo·
Rais Mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, amesema Taifa limepoteza Mtu muhimu, Mahiri na Mzalendo wa kweli kwa kuondokewa na Waziri wa Sera na Bunge na Mbunge wa Isimani William Lukuvi. Akizungumza wakati wa kumuaga Lukuvi Jijini Dar es salaam leo March 28,2026, Kikwete amesema “Sikujiandaa kusema lakini kwakuwa nimepewa nafasi ya kusema ngoja niseme tu, nimemfahamu marehemu kwa muda mrefu tumekuwa wote Umoja wa Vijana. Mimi nilikuwa Kijana Active sana kwenye Youth League na William tulikuwa nae baadaye tukawa Viongozi wa Umoja wa Vijana, tukakutana kwenye Bunge kisha Serikalini, katika kipindi changu amenisaidia kwenye nafasi mbalimbali” “Kwanza alikuwa Mtu muhimu, anayependa kufanya kazi ukimuagiza kitu anajisikia vizuri kwamba ameagizwa na anatoa taarifa ya kazi uliyomtuma ameifanyaje, sikushangaa Rais alipomteua kuwa Mshauri wake na Waziri, Taifa limepoteza mmoja wa Watu wake mahiri, Wazalendo wakweli waliojitolea kwa ajili ya nchi yetu na maendeleo ya Watu wake” “Kwa Familia Mama Lukuvi na Mke wangu Bi. Salma ni Marafiki wa karibu, Watoto wetu ni Marafiki wa karibu, kwangu kifamilia tumepoteza mmoja wa wenzetu lakini hakuna atakayeishi milele kila mmoja ana namna yake ya kuja na kuondoka, tumuombee Mungu amjalie pepo siku ya kiyama” #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Filipino
21
6
125
7.9K
Hartz MD
Hartz MD@Pollo_Dr·
@millardayo Kuna watu hawatakiwa kuzungumza kuhusu UZALENDO. Ni Matusi Makubwa sana kwa wananchi.
Filipino
0
0
0
31
Awojola joseph
Awojola joseph@ajosquest·
@esegbona_luis You can even be Muslim . You know weti those Arab countries do black peoples it’s worst than the white men just because them no talk about them and it’s was not wide know.
English
19
2
57
5.6K
Esegbona Luis
Esegbona Luis@esegbona_luis·
"You can't be blaçk and still be a Christian unless you stupîd. Western religion is just a tool of c0ntrol." TI "Black people hãte everything about slãvery except Christianity. How can any well educated black man who knows his history be a Christian? Slãve Masters used Christianity to prevent us from retaliatîng so we'll leave vengeance for God. Our ancestors only accepted Christianity to survive not because they believed. Those who didn't believe were beãten and even kîlled in public. If God's word in the bible was true, the whitemãn would've never let us know about God. As a black man, do you genuinely think our slãve masters wanted us to go to heaven? Christianity was just a tool and it worked." ~ TI American rapper, TI reacts about how blacks have been braînwashed so much they've forgotten their ancestors only accepted Christianity to survîve 🥶👀
Esegbona Luis tweet media
English
417
902
2.2K
107K
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amekemea wanachama walioanza harakati za kusaka urais mwaka 2030 akieleza kuwa muda wa kufanya hivyo bado haujawadia.
Indonesia
41
6
95
10.2K
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe
On the night before the motion was tabled, Lukuvi did not sleep. He walked around the Parliament grounds throughout the night trying to find out what we had prepared. He failed. The next morning, when we met, he told me: “You stubborn children—you have defeated me.” We passed the motion thecitizen.co.tz/tanzania/oped/…
English
43
16
114
27.4K
Hartz MD
Hartz MD@Pollo_Dr·
@WiliamAndason Hapo kuna vitu vingi vya kuzingatia 1. UCHAWI 2. AKILI 3. GENETICS DISEASES
Indonesia
0
0
0
12
Ig @william_andason
Ig @william_andason@WiliamAndason·
Hakuna Stage Ngumu Kwenye Maisha Kama Kutafuta Mtu sahihi Wa Kuoa. Wakuu nyie Mmewezaje..?
Indonesia
44
51
442
19.4K
kabaka
kabaka@DanidInnoc·
@Pollo_Dr @earadiofm Tuseme ukweli kk kwa experience yangu elimu ya chuo wengi tunamiliza chuo ...to complete the installation of the matrix program... Yani tunamaliza kutimiza wajibu lakini wanaomaliza chuo wakiwa na qualifications zinazokidhi mahitaji ni wachache mno.
Filipino
1
0
0
46