
demere kitunga
859 posts

demere kitunga
@demeredye
CEO @SomaMkahawani, Co-host @VavagaaSoma, #KestoriaKavazi Co-creator,Feminist Storyteller, Mentor, and Book Publisher 📖







this very irresponsible and outrageously ignorant ‘lawmaker’ doesn’t know that this encouragement and normalization of violence will comeback to disproportionately affect her own gender and children. it’s literally a boomerang, but she won’t know:








@MariaSTsehai maria waambie viongozi wa chadema watumie kauli hii ili watu waimalike zaidi yaani kiongozi mfn Lissu or heche anaanza kwa kusema hivi:-HAKUNA KWENDA KU..................wanaishia hivi alafu wananchi wanajibu ILI IWEJE na wana malizia NO reform No election.itakuwa imeisha iyooo



Mwaka 1995, Mkutano wa 4 wa Kimataifa wa Wanawake huko Beijing, uliazimia kufikia usawa wa kijinsia na dunia ikajizatiti kutekeleza azimio hilo. Miaka 30 baadae bado hali ya kundi kubwa la wanawake imedorora. Katika kuadhimisha siku ya wanawake duniani 2025, UWAWAMA inawaalika tutafakari kwa pamoja miaka 30 ya utekelezaji wa Azimio la Beijing na hali halısı ya wanawake wanyonge.







MERRY CHRISTMAS!

















