Sabitlenmiş Tweet
N Y O N Y O M A
12.9K posts

N Y O N Y O M A
@ednxie
Banking & Finance || computer science
Dar es Salaam, Tanzania Katılım Mart 2012
370 Takip Edilen724 Takipçiler

@MsomiKhan18 Mnagawana faida ya mkopo wako katika uzalishaji. Amana ni benki ya Sharia
Indonesia

@salim_alkhasas Mimi kitu ambacho sijawahi kuelewa kabisa ni kufanya uzinduzi kwani kuna ulazima gani kufanya uzinduzi kwani mradi hauwezi kuanza kazi bila uzinduzi
Indonesia

@Addy_Adams Unaongea kama tajiri au muwekezaji mwenyewe kwani serikali haiwezi kukifanya ambacho muwekezaji anataka akifanye? Kuna nini kwenye muwekezaji? Rushwa na ubinafsi ndo vimetawala. Serikali ifanye itafute msimamizi wa ukusanyaji wa mapato
Indonesia

@assengajrr Sasa nijibu emails za nani na kampuni wala biashara sina...
Indonesia

@ednxie @Dr_DGwajima @Fabrizi0flora Yule askari wa Zanzibar alipimwa kbsa badae Samia akaagiza aachiwe
Indonesia

Mh mama @Dr_DGwajima huyu ni mwanaume ametoa mpk namba za simu anasema wateja wake ni mawaziri n wabunge hawezi fanywa chchte.

Indonesia

@Dr_DGwajima Mama nimekuwa nikikutumia link ambazo zinaharibu maadili lakini hujawahi kuzifanyia kazi maana social handles ni zile zile na hazikemewi sijui lengo la kukaa kimya ni lipi.
@djfyvewabuza/video/7602384398373096725?_r=1&u_code=f279bldgce9m3k&preview_pb=0&sharer_language=en&_d=emmcik5g4h39ga&share_item_id=7602384398373096725&source=h5_m×tamp=1774100061&item_author_type=2&utm_source=copy&tt_from=copy&enable_checksum=1&utm_medium=ios&share_link_id=ABF8596D-8F15-4AA5-9EB8-02E0FD9B049E&user_id=7611438688739918866&sec_user_id=MS4wLjABAAAAVscO8b2jPrX6LQkOWsvS5dnkRfgsvF928o5oZ8eDH6H6nePaOPi1ADp9m30ur2rZ&social_share_type=0&ug_btm=b2001,b2001&utm_campaign=client_share&link_reflow_popup_iteration_sharer=%7B%22click_empty_to_play%22:1,%22follow_to_play_duration%22:-1,%22dynamic_cover%22:1,%22profile_clickable%22:1%7D&share_app_id=473824" target="_blank" rel="nofollow noopener">tiktok.com/@djfyvewabuza/…
Indonesia

@awamisammy Reform zikifanyika sisi tunaenda front kuhasishana kupiga kura.
Indonesia


@Dr_DGwajima @Fabrizi0flora @JoyceHuru Ni watu wangapi wamechukuliwa kama mifano kwa makosa ya ushoga ambayo yanasambaa kwa kasi, na maudhui yamekuwa wazi kuanzia kwenye mitandao ya kijamii, kwenye sehemu za starehe za usiku mfano Kitambaa cheupe ya Sinza (inaongoza kulea mashoga). Wasanii wetu pia wanaharibu maadili.
Indonesia

@Fabrizi0flora @JoyceHuru Nimejibu alichouliza kwa sura ya watoto. Kuhusu Sheria ya makosa ya ushoga tumeshajibu mara kadhaa na nikaposti huku huku mara kadhaa kuwa ipo na adhabu ipo miaka 30. Labda swali hamjasoma vema
Indonesia

@JamiiForums Siku zote Dip ni shule za msingi sasa hapa una panga kipi kipya au mlipeleka Degree kwenye shule za maingi?
Filipino

Akizungumza na Waandishi wa Habari, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Daniel Mushi amesema Serikali imeanza mpango wa kupanga upya Walimu kulingana na viwango vyao vya elimu ikiwa ni hatua inayolenga kuongeza ufanisi katika ufundishaji na ni sehemu ya maboresho ya mifumo na miundombinu ya elimu nchini.
Soma zaidi jamii.app/WalimuDiplomaM…
#JamiiForums #JFElimu
Indonesia

@SusannaN2 @SuluhuSamia Mama shikamoo, naomba umsaidie huyu mwenye shamba, hiki ni chakula cha binadamu
Indonesia

@Thommunkondya Kwahiyo kila anyetoa taarifa mbalimbali zinahusu viongozi wa serikali lazima awe kamanda? Au mpinzani yeyote ni kamanda?
Indonesia

@Realkajoyo @kapeto98 Anawezwa kulipwa endapo aliyesababisha ajali ni mtu mwenye bima kubwa ambayo ipo active.
Indonesia

DAR: Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Songoro Mnyonge aliyasema hayo Machi 2, 2025 kwenye kikao cha Baraza la Madiwani Wilaya ya Kinondoni.
Zaidi jamii.app/KodiKinondoni
#JamiiForums #Utawala #Governance
Indonesia













