Egon Plus
571 posts

Egon Plus
@egon_plus
We were born to love: God, parents, partners, children and nature. But also, being patriots to our own native lands. I'm proudly being a Tanzanian 🇹🇿
Dar es Salaam, Tanzania Katılım Nisan 2022
1.2K Takip Edilen584 Takipçiler

@Mahmoudms01 @zittokabwe 😁😁 nimeogopa kaka. Au vitabu yyake ni kama vya mzee Ngugi Wa Thiong'o au Hawa the bus driver 😁
Indonesia

@bwaya @zittokabwe Kama unapenda vitabu vya tamthilia hongera. Ila Intelligent Investor huwezi kukisoma kama tamthilia.
Indonesia

@egon_plus @zittokabwe Kama unaweza kuangalia movie 2 kwa wiki ukamaliza kwa nini ujisikie vibaya mwenzako kusoma movie hizo hizo kwa maandishi?
Filipino

Tulifurahia sana utoto wetu kwasababu ya hawa watalaamu.
The old is really gold.
@MfalmewaX1 .
Mfalme👑🇹🇿@MfalmewaX1
Enzi zetu tunakua unamuangalia Bruce Lee, Don yen, Jack chain, na Jet Lee. Unapata definition halisi ya masculinity na mtoto anavyotakiwa kuwa. Siku hizi wanaangalia hawa feminine boys na unakuta kuna wanaume wanashabikia kabisa kiasi yeye, mke wake na watoto wake wanafatilia. Movie nzima hawajaenda gym wala kufanya mazoezi ni mapenzi na watoto wa kiume kushindana uzuri na kuvaa. We have lost our way.
Indonesia










