El Capitano

6.6K posts

El Capitano banner
El Capitano

El Capitano

@elcapitano23232

Fighting,&, art ,&, Graphics Design.

Zanzibar West, Tanzania Katılım Ekim 2022
1K Takip Edilen939 Takipçiler
KIDUKU OFSA NGIRI
KIDUKU OFSA NGIRI@Innocen89950594·
1/4 #FearWomen Sikuamini kama nitakuja kuumizwa na mapenzi hivi. Anyways mapenzi yanauma wanangu, niko dilemma sina cha kuamua nipo nipo tu kama msenge
KIDUKU OFSA NGIRI tweet mediaKIDUKU OFSA NGIRI tweet media
Eesti
36
5
127
23.3K
El Capitano retweetledi
BAD NUMBER🥷🏿
BAD NUMBER🥷🏿@ByCardoJason·
Kuna muda nakuwa na nguvu ya ziada kuzidi ile ya mwanadamu wa kawaida! Mathayo 1:8 , 1 Wakorinto 16:13✨🧘🏿‍♂️
Filipino
3
17
86
2.7K
El Capitano retweetledi
UMMA wa Tanganyika
UMMA wa Tanganyika@Mtanganyika1234·
Leo ndo MAANDAMANO yetu ya Amani yanaanza! Tunaenda kudai serekali ya mpito kwani nchi haina serekali mpaka sasa! Siku 40 nchi imekaa bila kuwa na serekali, IMETOSHA! MAANDAMANO hayana kikomo!
Filipino
19
127
498
8.6K
El Capitano retweetledi
Alinur Mohamed
Alinur Mohamed@AlinurMohamed_·
Tomorrow will be a very long day for Tanzania President Samia Suluhu. The whole world will be watching her actions when demonstrations kick off. Letu ni jicho tu
English
42
373
2.4K
61.1K
El Capitano retweetledi
Mangi wa Kichaga
Mangi wa Kichaga@MangiwaKwanza1·
FREEDOM IS COMING TOMORROW 🇹🇿
English
27
432
2.5K
57.9K
El Capitano retweetledi
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Free Fortunatus Buyobe. Free Tundu Lissu. Free Deus Soka. Free Jacob Mlay. Free Dioniz Kipanya. Free Mdude Nyagali. Free Frank Mbise. Free Amani Manengelo. Free Daniel Chonchorio. Free Shadrack Chaula. Free Humphrey Polepole. Free all political prisoners & detainees.
Eesti
24
845
2.5K
71K
Qudrah Umař
Qudrah Umař@IbnQudra98175·
@Sativa255 Acha ujinga upo zako kongowea huko eti sehem za kukutana ,,kukutana na nan kwendraaa
Filipino
1
1
16
1.6K
El Capitano
El Capitano@elcapitano23232·
@Sativa255 Utekaji ukomeshwe,, Watekaji wawajibishwe Uhuru wa maoni uwepo,ni pamoja na kuikosoa serikali ,ANDAENI MABANGO WAZEE
Indonesia
1
0
0
2.3K
Enock Kiswaga
Enock Kiswaga@TheRealEkiswaga·
There are only three choices: 1️⃣ Leave this country. 2️⃣ Stop the incitement, destruction of property, and burning of infrastructure. 3️⃣ Or be ready to face the full consequences of your actions.
English
157
16
183
44.9K
MIRIAM💜
MIRIAM💜@MiriamMkanaka·
@GeorgeJob14 @bonifacejoseph_ Muacheni kijana wa watu afanye mambo yake kwa amani sio kisa unawasiliana na mambo mengine, basi unajipa mamlaka ya kumpangia cha kuongeaaaaa hapana bhana
Indonesia
3
0
14
843
El Capitano
El Capitano@elcapitano23232·
@mangekimambi Tutoke tutoke,, tanzania ni yetu sote,, vijana tunataka Haki , -uwajibikaj -uhuru wa kutoa maoni -watu wote waliotekwa na kupotezwa warudishwe - watekaji wakamatwe wote mara moja
Indonesia
0
0
0
214
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸@mangekimambi·
Tarehe 9 December, saa 1 asubuhi, Watanzania wote tutaingia barabarani kudai haki kwa amani. Macho ya dunia yatakuwa Tanzania on Dec 9. TUTASHINDA!! God is on our side. We shall win. Hakuna kurudi nyuma…..
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸 tweet media
Indonesia
350
1.4K
9K
350.5K
El Capitano
El Capitano@elcapitano23232·
@millardayo Kwenda huko,, et polisi wanasimdikiza,, jaijawahi kutokea chadema ikatangaza maandamano ya amani wakakubaliwa na polisi,, Sasa tarh 9 tutajuwa
Filipino
0
0
0
181
millardayo
millardayo@millardayo·
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo akizungumza na Wazee wa Dar es salaam, amesema kilichotokea October 29 2025 hakikuwa maandamano bali ni vurugu zilizoandaliwa kwa madhumuni maalum hivyo nguvu iliyotumika kuyadhibiti inaendana na tukio husika. “Takwimu zinatolewa sasa hivi, kuna majengo kadhaa ya Serikali yameunguzwa, kuna miradi kadhaa iliyojengwa kwa maslahi ya Wananchi imeunguzwa, Vituo vya mafuta, biashara binafsi za Watu, magari ya Serikali, vituo vya Polisi vingi tu vimeunguzwa, sasa nataka tuwe na jina la hayo ni maandamano au vurugu? maandamano tuliyoyazoea na kuyakubali ndani ya Katiba ni yale Watu wameudhika na kitu tunaomba tuandamane tueleze tutatoka point moja hadi Mnazimmoja au popote pengine na mabango yanaeleza maudhi yetu na Polisi wanawasindikiza vizuri hadi wanapofika” “Haya ya kuunguza miradi ya Serikali, vituo vya Polisi na kwenye kituo cha Polisi unakwenda kufanya nini? ni kwenda kuvamia na wapate silaha, madhumuni ya kuwa na silaha mkononi ni nini? haya hayakuwa maandamano zilikuwa vurugu zilizoandaliwa kwa madhumuni maalum” “Serikali inawajibu tunaapa kuilinda mipaka ya Nchi hii na kulinda Raia na mali zao, katika hali hiyo nguvu inayotumika inaendana na tukio lililopo, sasa tunapoambiwa tulitumia nguvu kubwa sana kwenye tukio lile... nguvu ndogo ilikuwa ni ipi?, ilikuwa tuwangalie Waandamanaji waliojiandaa kufanya mapinduzi mpaka wafanikiwe? hapo patakuwa pana Dola kweli? Dola haipo hivyo" "Na sio Tanzania tu hata Mataifa mengine Watu wakiandamana wanaweka nguvu kubwa, sasa wanapokuja kutulamu mlitumia nguvu kubwa wao walitaka nini?, tujiulize je hawa ndio Wafadhali wa kile kilichofanyika? walitaka tuangalie ile mob hadi ifanikiwe walichowapa fedha, walichowatuma? hapana” tuliapa kulinda Nchi hii na mipaka yake , usalama wa Raia na mali zao kwahiyo kama wanavyofanya wao na sisi tutafanya vilevile kuilindi Nchi yetu" - Rais Samia akiongea leo na Wazee wa Dar es salaam. #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Filipino
160
39
569
71.8K
El Capitano retweetledi
Crafters Warrior
Crafters Warrior@tech_crafters·
𝗣𝗮𝗶𝗱 𝗖𝗼𝘂𝗿𝘀𝗲 𝗙𝗥𝗘𝗘 (PART - 1 + 2 + 3 ) 1. Artificial Intelligence + Data Analyst 2. Machine Learning + Data Science 3. Cloud Computing + Web Development 4. Ethical Hacking + Hacking 5. Data Analytics + DSA 6. AWS Certified + IBM COURSE 7. Data Science + Deep Learning 8. BIG DATA + SQL COMPLETE COURSE 9. Python + OTHERS 10 MBA + HANDWRITTEN NOTES (72 Hours only ) Cost About - $500 To get: - ✅Follow @tech_crafters ( MUST) ✅Like & retweet ✅Reply " Send "
Crafters Warrior tweet media
English
1.1K
988
3K
343.1K
El Capitano retweetledi
Dunia🌍
Dunia🌍@DuniaSlaveDunia·
Ofisi zote za CCM zilizopo Nchini tunazichoma Moto DC9
107
308
2.2K
84.1K
El Capitano retweetledi
BAMIDELE🕊
BAMIDELE🕊@thenihiin·
STOP WATCHING PORN STOP WATCHING PORN STOP WATCHING PORN STOP WATCHING PORN STOP WATCHING PORN STOP WATCHING PORN STOP WATCHING PORN STOP WATCHING PORN STOP WATCHING PORN STOP WATCHING PORN STOP WATCHING PORN STOP WATCHING PORN STOP WATCHING PORN STOP WATCHING PORN STOP!!
English
2K
1.7K
15.9K
2.1M
El Capitano
El Capitano@elcapitano23232·
@Sirjeff_D Me nikisoma hiyo ya ethical hacking mtanikoma
Filipino
0
0
1
317
SIR JEFF⚡🇹🇿
SIR JEFF⚡🇹🇿@Sirjeff_D·
Degree unazoweza kusoma YouTube for FREE na zikakukomboa for a lifetime -Artificial Intelligence & Machine Learning -Digital Marketing, UX/UI & Creative Tech -Financial Technology (FinTech) & Blockchain -Cybersecurity & Ethical Hacking -Biotechnology & Genetic Engineering
Msomi Khan@MsomiKhan18

Degree programs zilizotoa Best Students 2025 👊 1. Bachelor of Medicine (MUHAS) 2. Bachelor of Arts in Kiswahili (UDSM) 3. Bachelor of Science in Telecommunications Engineering (UDSM) 4. Bachelor of Environmental Management (Mzumbe)

English
27
131
712
70.2K