Emmanuel Nyembe🇹🇿

3.2K posts

Emmanuel Nyembe🇹🇿

Emmanuel Nyembe🇹🇿

@emanyembe24

UPENDO WA KWELI HUIMARISHA AMANI

Katılım Nisan 2023
52 Takip Edilen58 Takipçiler
Emmanuel Nyembe🇹🇿 retweetledi
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Kuna hawa WASENGE 13 hawa ni kama wanasubiri KUFA tuu. Na hawa WASENGE 13 ndio chanzo kikuu cha MAUWAJI ya MO 29. Ndiomaana hawataki uchunguzi huru kutoka NJE. Hawa WASENGE 13 ni suala la MUDA TUU watalipa yote.
SIR TIVA tweet media
Indonesia
3
40
203
5.2K
Emmanuel Nyembe🇹🇿 retweetledi
The Chanzo
The Chanzo@TheChanzo·
Shivji: Serikali inapokosa uhalali kwa watu wake, hutumia mabavu
4
230
587
15.1K
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
Mheshimiwa MWIGULU NCHEMBA ni MWANAHARAKATI na MPIGANIA HAKI ZA WATU ambaye HACHOKI kuwa MZALENDO kwa KUVAA BENDERA YA TAIFA muda wote. Mawaziri wenzako wanacho kitu cha KUIGA kutoka kwako. Pokea 🌹🥀💐🌷 yako Mheshimiwa. Sasa mpambanie NINJA aachiwe HURU.
Peter Madeleka tweet media
Filipino
18
29
161
4.7K
Emmanuel Nyembe🇹🇿 retweetledi
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
😂😂😂😂👇
Peter Madeleka tweet media
QME
16
5
71
3.3K
Emmanuel Nyembe🇹🇿 retweetledi
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Wajinga walikuwa wanatupima AKILI walifikiria tutaanza JADILI kwamba NCCR ni CCM B kwa sababu ya kupewa unaibu Waziri Kwamba mjadala ungekaa kwa mpinzani kupewa cheo Hongera sana Wananchi, kwa sasa tumeshavuka kwenye haya mambo tuko mbele sana DRAMA zao zote hazifanyikazi Mambo yao tuachane nayo kama leo safi sana
Indonesia
8
32
193
10.3K
Emmanuel Nyembe🇹🇿 retweetledi
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
182+90+80+53=518😂😂 UCHAWI UPO
Polski
11
24
130
6.3K
Emmanuel Nyembe🇹🇿 retweetledi
Balyx
Balyx@Balyx_·
Makolo na Utopolo leo yatoe droo Then next games sababu yatakua yamevurugwa yote yatoe droo tena/yafungwe Yaanze kuwalaumu Mangungu na Engineer. Then boooom. Azam MABINGWA
Balyx tweet media
Filipino
18
4
87
3.9K
Emmanuel Nyembe🇹🇿 retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Hongera sana DCI Ramadhan Kingai kwa kufiwa na Mama yako Mzazi, hayo maumivu ambayo unapitia ndo familia nyingi tulipitia Oktoba 29 baada nyinyi kuuwa kwa risasi Watanganyika wenzetu zaidi ya elfu kumi. Tena wewe unaafadhali maana umeweza kumzika Mama ako kwa heshima huko Bumbuli Tanga, sasa wenzako tulizika nguo kwasababu nyinyi mliiba maelefu ya miili ya ndugu zetu, mkaenda kuzika kwenye makaburi ya Halaiki. DJ niwekee ile nyimbo ya Hakuna Mungu kama wewe Baba 😂😂😂
Hilda Newton tweet media
Indonesia
33
138
982
36.8K
Emmanuel Nyembe🇹🇿 retweetledi
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Nimefurahi kupokea Tuzo hii ya ushajaa ya Mwenyekiti wetu Tundu Lissu. Tuzo hii imetolewa na vijana wa vyuo vikuu Mkoa wa Dar es Salaam, kwa kutambua mchango wa Mwenyekiti katika kupigania, Demokrasia, haki na usawa katika Nchi yetu. Kwa niaba ya Mwenyekiti ninawashukuru sana .
John Heche tweet mediaJohn Heche tweet mediaJohn Heche tweet media
Indonesia
35
340
1.8K
17K
Emmanuel Nyembe🇹🇿 retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Katibu Mkuu wa Chama Mhe. @jjmnyika akizungumza katika kongamano la Chaso Dar es salaam leo Mei 2, 2026.
Hilda Newton tweet mediaHilda Newton tweet mediaHilda Newton tweet mediaHilda Newton tweet media
Indonesia
0
20
182
2.1K
Emmanuel Nyembe🇹🇿 retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani Mhe. @ExMayorUbungo akizungumza katika kongamano la Chaso Dar es salaam leo Mei 2, 2026.
Hilda Newton tweet mediaHilda Newton tweet mediaHilda Newton tweet mediaHilda Newton tweet media
Indonesia
4
68
472
6.6K
Emmanuel Nyembe🇹🇿 retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
#Pichani anaitwa Damuru ni mkazi wa Mburahati, ametekwa mida hii na watu wasiojulikana, watekaji walikuwa wamevaa musk nyeusi usoni. Walikuwa na gari ambalo mbele lilikuwa na plate number 125 DFPA na nyuma namba 28957
Hilda Newton tweet media
Indonesia
17
311
1K
25.7K
Emmanuel Nyembe🇹🇿
Emmanuel Nyembe🇹🇿@emanyembe24·
@zoetjesheeftX Huyu mama katika ukuaji wake alifundishwa namna ya kuchukia madeni makubwa yasiyo na tija ,,,,hatimaye kamaliza deni la taifa .
Indonesia
0
0
0
233
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️
Rais wa Namibia mwanamama Netumbo Nandi-Ndaitwah ameiongoza nchi hiyo kufikia hatua muhimu ya kiuchumi kwa kukamilisha malipo ya deni la Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF). Namibia imelipa jumla ya dola za Kimarekani milioni 23.9, hatua inayolenga kupunguza mzigo wa madeni ya nje na kuimarisha uchumi wa taifa hilo. ​Kukamilika kwa deni hili kunatajwa kuongeza uhuru wa kifedha wa Namibia, na kuipa serikali nafasi pana zaidi ya kuelekeza rasilimali zake katika miradi ya maendeleo ya ndani. Hatua hii imepokelewa kama ushindi mkubwa katika usimamizi wa fedha za umma chini ya uongozi uliopo, ikionyesha uthabiti wa kiuchumi wa nchi hiyo katika ukanda wa Kusini mwa Afrika. Ukisikia nani kama mama ndo huyu sio alieua
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️ tweet media
Indonesia
23
12
145
12.6K
Emmanuel Nyembe🇹🇿 retweetledi
Twaha Mwaipaya
Twaha Mwaipaya@Twaha_Mwaipaya·
Polepole bado yupo mikononi mwa watekaji, wao ndio wanaamua nani aishi, Nani afe, Nani awe uraiani Nani awe Gerezani, ujinga huu hatuwezi kukubali uendelee. Bonyeza #Repost tupate repost 500.
Twaha Mwaipaya tweet media
Indonesia
13
223
517
4.3K
Emmanuel Nyembe🇹🇿 retweetledi
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Watumishi wa umama Tanganyika wamepigwa na kitu kizito na maCCM Na vile hakuna bunge akili itawakaa sawa tu
Think Different tweet mediaThink Different tweet media
Filipino
9
30
183
7.6K
Emmanuel Nyembe🇹🇿
Emmanuel Nyembe🇹🇿@emanyembe24·
@mwenyenchii Watu wanatoa report ya uongo kulinda maslai Yao ,wanashindwa kusimama kwenye haki wanaendeleza kuongeza maumivu wa wahanga waliopatwa na matatizo .Mungu atajibu maombi Yao🙏🙏
Indonesia
0
0
3
208
MWENYENCHI 🇹🇿
MWENYENCHI 🇹🇿@mwenyenchii·
Chande hakutoa huu ushahidi, na kadri mambo yalivyokuwa yakivurugika kwa mashahidi wa tukio kusema ukweli, maelekezo yakatolewa kwambamba wasitishe kuhoji watu, ili ajenda za kulipwa na picha za gaza zipate mashiko kwa mashahidi wa kificho.
Indonesia
28
125
439
21K
Emmanuel Nyembe🇹🇿 retweetledi
Mbunge Wa Taifa
Mbunge Wa Taifa@taifa_mbunge·
FREE TUNDU LISSU. Kwa kutuliza Taifa 🇹🇿
Indonesia
12
111
515
9.3K
Emmanuel Nyembe🇹🇿 retweetledi
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Tupate REPOST 200. Kesho CHAMA CHETU WANANCHI KINAONGEA.
SIR TIVA tweet media
Indonesia
22
354
1.1K
8.7K
MeaMswahili
MeaMswahili@meamswahili·
🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄 Ndoto zangu kubwa ni mbili duniani, ya kwanza nifanye muziki mkubwa nije kuwa Boss ambaye naweza kuona vijana wengi wanaajiriwa kupitia mimi. Ndoto yangu ya pili, nilishaga muomba sana Mungu sipendi kuishi umri mrefu hapa Duniani. Mungu anijalie nisiishi umri mrefu sana, nisizidi hata 35 au 40. Yaani sipendi tu kuishi umri mrefu ni miongoni mwa ndoto zangu na katika sala zangu.” -Amesema Msanii D-voice katika mahojiano yake WasafiFM #MeaMswahiliUPDATES
MeaMswahili tweet media
Indonesia
9
0
93
9.1K