MTOTO FUGU

1.6K posts

MTOTO FUGU

MTOTO FUGU

@emma_msama

game changer💫💫

Katılım Nisan 2023
1.9K Takip Edilen1.9K Takipçiler
✨𝟚 𝟘 𝟚 𝟞✨
Ukilala na demu bila kinga kesho yake unaanza ona plate numbers ya gari T 123 HIV 🤣
Indonesia
7
6
99
4.9K
mTusi original 👦
mTusi original 👦@mTusiOriginal·
Mtu anipe jibu Na hawa wanadada hupachikwa mimba na kina nani? Mbona tu mtoto wa kike alaumiwe pekee? Mimi majibu ninayo wewe sasa naomba jibu ?😂
Indonesia
2
4
14
235
It's Hunaiya 💋❤️
It's Hunaiya 💋❤️@Hunaiya153989·
Eti alikua ananinunulia sana vitu na kunitumia ela mara anipigie simu nilikua sijui kama ananitaka una miaka 32 na una tatoo mwili mzima unasema ulikua hujui NB ya sugu kweli wewee😂🚮
Tanzania 🇹🇿 Indonesia
9
19
69
5.1K
mTusi original 👦
mTusi original 👦@mTusiOriginal·
Kama mtu ni mzazi mwenzako, hamna namna inabidi tu mpatane na mmalize chuki zenu hata mkishindwa kwenye ujana basi uko uzeeni. Yaani kwaajili ya mtoto wako tengeneza sehemu ya amani kati ya wewe na huyo mzazi mwenza unae mchukia.
Indonesia
4
13
61
1.1K
MTOTO FUGU
MTOTO FUGU@emma_msama·
@Fefe_doll huyo alosema anajifunza kwa madenge msimpe tena mic
Indonesia
0
0
2
106
MTOTO FUGU retweetledi
Fabrizio Romano
Fabrizio Romano@FabrizioRomano·
🚨🔴🔵 Vincenzo Italiano leaves Bologna head coach job with immediate effect. 👋🏼
Fabrizio Romano tweet media
English
746
1.2K
27.9K
1.6M
TheBoss.💰
TheBoss.💰@BOSSferdd·
Ukweli ni kwamba siwezi kubali marafiki zangu wa school wanione tawakwepa tu aijalishi Niko vizuri ama nimechakaa.
Polski
8
18
43
438
MTOTO FUGU
MTOTO FUGU@emma_msama·
@BlessdGrooveKid inategemea na hardware kama ni za mjini mara nyingi ni 25K pamoja na derivery
Eesti
1
0
0
50
Djkid_b_____
Djkid_b_____@BlessdGrooveKid·
Hivi Bati Jeupe Kama La Kwenye Ile Nyumba ambayo Haijapigwa Lipu Linaweza kuwa Bei gani Wakali🤔
Djkid_b_____ tweet media
Filipino
21
20
80
2.8K
MTOTO FUGU
MTOTO FUGU@emma_msama·
Kwa upande wangu Joseph Mbilinyi au Sugu au Mr 2 (deiwaka) ndie msanii aliyefanya jamii iamini hip hop sio uhuni wala kutumia madawa ya kulevya bali hip hop ni ukombozi pengine bila sugu kusingekuwepo na akina pro jay, nikki wa pili na wengine
Indonesia
0
0
1
118
Fadhili Kangusi
Fadhili Kangusi@fadhilikangusi·
Homeboy Peter Msigwa anakaangwa kinoma! 😂
Filipino
1
0
9
186
MTOTO FUGU
MTOTO FUGU@emma_msama·
@msritha_ kwahiyo pesa hauna au hazitoshi?😄
हिन्दी
1
0
0
26
Pearlr_
Pearlr_@msritha_·
Hv ni mimi tu ndo sina hela au na nyie...🥴😂
Indonesia
11
7
37
907
Polycarp The Bibliophile
Polycarp The Bibliophile@PolycarpMDM·
Kwahiyo, Mna uhakika MSIGWA angeshinda Uchaguzi katika Jimbo la Iringa mjini, Angejivua Ubunge, Alafu arudi CHADEMA? Kwa akili zetu tunaona hilo linawezekana?
Indonesia
49
34
340
11.7K
ochola..🦅⚠️
ochola..🦅⚠️@therealrigoh·
Alafu chura mbona ni mkubwa tuu , kwani zile chuki dhidi ya Neypaul kazitoa wapii? Au ndio ile wanawake hawapendani 🤔😁
Tanzania 🇹🇿 Filipino
3
9
46
1.2K
Veer20
Veer20@Captain_Veer20·
Kumbe Leo Birthday Yangu Kmmke 🎂🎂🎂
Veer20 tweet media
Filipino
48
53
130
4.5K
Jino Ukucha
Jino Ukucha@JinoUkucha·
Hivi ni sahihi kupika ubwabwa msibani?
Jino Ukucha tweet media
Filipino
23
25
57
1.2K
MR255🎧
MR255🎧@mreno255·
Serikali ifanye lipi kutokomeza tatizo la ajira kwa vijana nchini?
HT
18
29
62
2.2K
MTOTO FUGU
MTOTO FUGU@emma_msama·
@mreno255 wauze baadhi ya mikoa mfano KAGERA hela itayopatikana watupe vijana tutafute odds mbili
3
0
1
94
MTOTO FUGU
MTOTO FUGU@emma_msama·
@Celsius015 kwa bongo akitoka mwizi nadhani anayepokea kipigo kikubwa nadhani ni mtu anayefumaniwa hususani sisi wanaume ndio wahanga
Filipino
1
0
6
1.7K
Celsius Ulanda
Celsius Ulanda@Celsius015·
Naskia kna video jamaa anapakuliwa kisa mke wa mtu kwanza kuiangalia hiyo video that's gay thing siwez kuangalia Alaf mnaogongewa mnapowadhuru machizi hua najiuliza huyo mke unabaki nae au nae unampa adhabu kali zaidi maana hakubakwa huyo alikuabl mwenyew.
Indonesia
23
24
157
20K