Ibrahim Waziri Kiobya

3.9K posts

Ibrahim Waziri Kiobya banner
Ibrahim Waziri Kiobya

Ibrahim Waziri Kiobya

@enigmaticDady

Optimistic/Pessimistic 🕋🕋... Entrepreneur aspiring /Accountant/ Professional Clearing and freight forwarder

Tanzania, East Africa Katılım Mart 2020
507 Takip Edilen165 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Ibrahim Waziri Kiobya
Ibrahim Waziri Kiobya@enigmaticDady·
It has been a beautiful week for us … Happy customer service week from our institution
Ibrahim Waziri Kiobya tweet mediaIbrahim Waziri Kiobya tweet mediaIbrahim Waziri Kiobya tweet mediaIbrahim Waziri Kiobya tweet media
English
0
0
2
0
Eng.Harrison HR
Eng.Harrison HR@Buberwa_·
Ukiwasikia sasa wasukuma wavyopasifia kama vile masaki 😂😂😂
Eng.Harrison HR tweet media
Indonesia
16
12
167
13.8K
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki·
Msanii fulani kaenda radio kufanya interview ya kutambulisha na kupromote wimbo wake maskini ya Mungu anajipambania. Anafika radio mtangazaji anamuuliza kati ya finale na happy ipi ngoma kali na kwanini😁😁😁 Wanabishana hiyo topic dakika 10 nzima, then anaambiwa haya cha mwisho cha kumalizia kwa fans wako muda umetutupa mkono!! Dogo anaishia kusema tu wimbo wangu unapatikana kwenye digital platform zote subscribe! Tuna industry katili sana😁
Indonesia
127
162
2.4K
127.1K
FUNDI JUMA 🇿🇦
Ukiachana na the fact that sina hela ya kwenda morogoro😂 I hate the fact that everyone has went or is planning to go
English
8
11
175
8.4K
Ibrahim Waziri Kiobya retweetledi
TEMS
TEMS@temsbaby·
Tonight!✨ @FallonTonight
TEMS tweet media
English
1.5K
5.1K
78.9K
1.2M
Cool_boy
Cool_boy@october_niga·
Sasa Rasmi nimeacha kubeti🤝 Never ever Again in my Life 🙏🏻 Inatosha sasa at least i can enjoy my Money😂😂🙌🏻
Cool_boy tweet media
English
29
0
51
6.5K
Ibrahim Waziri Kiobya retweetledi
Mudi Mabiriani in Dubai
Mudi Mabiriani in Dubai@Mudimabiriani·
Nilikuwa namiliki Brand well known "MUDI MABIRIANI" ikafikia level nauza jina langu kwa wawekezaji nna wafanyakazi zaidi ya 30 nalipa mshahara 500,000 kwa mwezi migahawa 5 Tanzania nilipitia changamoto nikafunga biashara kuna kipindi nilikosa hela ya kula lakini sikuwaza kujiua
Mwacha@Mwacha5

Hizi changamoto ninazo zipitia wakati huu nisipokaza kiume naweza kukuta nimejinyonga au nimejiua kwa njia nyingine Mungu tu anisaidie.

Indonesia
49
85
581
51.2K
Ibrahim Waziri Kiobya
Ibrahim Waziri Kiobya@enigmaticDady·
@Mwacha5 Masta usiwaze , jitahidi kukubali kuanzia ulipo mzee … Sometimes mambo yanakuwa magumu sana mwaka 2019 We had partnership na mwanangu alikuwa Beijing kila week 2 we bought space Qatar airline arround $2000.Faida FNB pale Karibu na Serena but we lost everything..Allah anajaalia
Filipino
0
0
2
57
Mwacha
Mwacha@Mwacha5·
Hizi changamoto ninazo zipitia wakati huu nisipokaza kiume naweza kukuta nimejinyonga au nimejiua kwa njia nyingine Mungu tu anisaidie.
Indonesia
80
39
209
63.1K
Thom Mnkondya
Thom Mnkondya@Thommunkondya·
Uhai wa chama upo kwenye vikao. Bahati nzuri, wapiga kura wa Tanzania walio wengi na wa uhakika hawapo humu 😁. Mtaji wetu mkuu ni wapiga kura na sisi tunawafata na kushinda nao walipo. 📍Vwawa,Songwe.
Thom Mnkondya tweet media
Filipino
34
1
20
3K
SANUKAnaCHAPO
SANUKAnaCHAPO@chapo255·
Watu wana hela kmmk!🙌 Kuisafirsha timu ya basketball🇹🇿 to 🇿🇦 Wachezaji,bechi la ufundi,chawa na wasanii plus waandishi wa habari hapo jumlisha malazi,serikali tu inakaaga chini kupitisha bajeti dokezo la mwezi😂 Ukiambiwa safririsha watu na Abood kwenda Arusha tu kamzozo😂😂
Indonesia
41
54
1.1K
69.6K
Ibrahim Waziri Kiobya
Ibrahim Waziri Kiobya@enigmaticDady·
@chapo255 Chapo alafu wale players wenyewe ukisikiliza acsent zao baadhi unagundua wengi wa mamtoni kwa trump…
Filipino
0
0
7
1.7K
Ibrahim Waziri Kiobya retweetledi
The Chanzo
The Chanzo@TheChanzo·
Hofu yatanda kwa wafanyabiashara wa Coco Beach: Wadai kupewa mwezi mmoja kuondoka kumpisha mwekezaji Wakizungumza na The Chanzo leo, wajasiriamali na wafanyabiashara wadogo kwenye fukwe za Coco wamesema baadhi ya viongozi na watendaji wa Halmashauri ya Kinondoni waliwaita na kuwapa taarifa ya kutakiwa kuondoka ndani ya siku 30 kupisha uwekezaji. Katika malalamiko ya wafanyabiashara hao, wameeleza pia kusikitishwa na kauli za watendaji hao kwa mfanyabiashara wa kike, kauli zenye viashiria ya kutaka rushwa ya ngono. Kufuatia malalamiko haya ya wafanyabiashara wadogo, The Chanzo inaendelea na jitihada za kuwapata halmashauri ya Manispaa ya kinondoni kutoa ufafanuzi juu ya madai ya wafanyabiashara hawa.
Indonesia
58
54
233
81.5K
Ibrahim Waziri Kiobya retweetledi
Godfrey Achireka Jr.
Godfrey Achireka Jr.@1TraVeLA·
Do you remember when you joined X? I do! #MyXAnniversary
Godfrey Achireka Jr. tweet media
Formigine, Emilia Romagna 🇮🇹 English
1
1
3
89
Ibrahim Waziri Kiobya retweetledi
Mudhakiru Dauda
Mudhakiru Dauda@mudhakiru_dauda·
Eid Mubarak kwenu Waja wa Allah. Twamuomba Allah atukubalie funga zetu, sadaka zetu, ibada zetu, atusamehe dhambi zetu na atujaalie kuipata RAMADHANI nyingine tukiwa na afya njema.
Mudhakiru Dauda tweet media
Indonesia
20
27
207
4.5K
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Mwezi umeonekana nchi zote jirani na duniani ila Tanzania ndo haijaonekana, ama? Sielewi! Ila nchi ina mambo ya kiwaki sana!
Filipino
98
110
1.2K
70.3K