enlegends
11 posts

enlegends retweetledi

@NETO_TANZANIA tunatoa shukrani zetu za dhati kwa wote walioweza kushiriki katika MAOMBI ya siku tatu kama tulivyotoa tangazo, lengo ni kupata majibu mazuri kutokana na kile tulichowasilisha kwenye Ofisi ya Waziri wa Nchi Menejimenti ya Umma na Utawala Bora Mh Simbachawene

Indonesia
enlegends retweetledi

Mpaka sasa zimebaki siku Ishirini na mbili (22) kuelekea kupata majibu ya hatima yetu ya kudai ajira za walimu kulingana na hoja zilizowasilishwa na wajumbe wa @NETO_TANZANIA kupitia kikao kilichoketi mwezi machi, 2025.
Shauku yetu ni kupata majibu mazuri kutoka wizara husika📍

Indonesia
enlegends retweetledi

Kilio cha umoja wa walimu wasio na ajira Tz ni AJIRA, hitaji la walimu wasio na ajira nchini ni AJIRA, tunawasihi walimu tusio na ajira na wananchi wote pasipo kujali itikadi zetu za kisiasa, kuwa wavumilivu na kusubiri majibu kwa siku zilizopangwa
#24DAYSLEFT
#AjiraNiHakiYetu

Indonesia

@capilya1964 @MohoniaJoseph11 Huu nao ni usaili mkuu yn namba zlizofanana znafanana majibu alieandka namba tu Nila kufanya pepa kawekewa52/100 🤣🤣🤣

Indonesia

@MohoniaJoseph11 Duuuuh wanetu interview moja tu mambo kwenda kombo mshaunga hadi organization.. 😅😅
Indonesia

@Mafuvu62 @MohoniaJoseph11 Mimi ni mwalimu tunaenda kufanikisha hili kisha nakuja hapa kukutafuta😂😂😂
Indonesia

@MohoniaJoseph11 Haitafanyika tupo hapa📌
Watz tena hao walimu huwa ni njaa kali sana hawawezi kufanikisha hili
Indonesia


@MohoniaJoseph11 Mimi ni mwalimu ina maana watu wamefanana namba za usaili mpaka akili hapa huu ni uhuni tumewashtukia

Indonesia






