fak18
26.6K posts

fak18
@fak18
Exodus 14:14, Recipient of HIS Favour,Blessings and Goodness!
Bagamoyo,Tanzania Katılım Nisan 2010
483 Takip Edilen1K Takipçiler

@fak18 Dada mkubwa wewe ndio Maria Magdalene wangu, nikikuona tu najua unajifuta machozi yote 🙏🏿😃
Filipino

VIDEO:
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, ametoa utetezi mkali kuhusu uhusiano wa kijeshi na kijasusi kati ya nchi yake na Marekani, akisema kuwa Rais Donald Trump anafanya maamuzi kulingana na maslahi ya taifa lake na si kwa shinikizo la nje.
Akizungumza na wanahabari leo, Machi 20, 2026, Netanyahu amepuuzia madai kuwa Israel imeivuta Marekani kwenye mgogoro huo, akisisitiza kuwa viongozi hao wawili "wanaona jambo moja" kuhusu tishio la Iran kwa ustaarabu wa Magharibi.
"Je, kuna mtu anadhani unaweza kumwambia Rais Trump nini cha kufanya? Rais Trump kila mara hufanya maamuzi kulingana na kile anachoamini ni kizuri kwa Marekani. Hatupigani vita vyetu tu; tunapigana vita vyao pia," amesema Netanyahu.
Netanyahu amesema kuwa tangu miaka 47 iliyopita, wakati wa mgogoro wa ubalozi wa Marekani mjini Tehran, Donald Trump alishatambua hatari ya utawala wa Iran. Amekumbusha kuwa Trump ndiye aliyefuta mkataba wa nyuklia wa Iran (JCPOA) akauita "mkataba mbaya zaidi kuwahi kuuona."
Netanyahu amefichua kuwa kabla ya Trump kuchaguliwa tena, walikutana Mar-a-Lago ambapo Trump mwenyewe alimwambia, "Bibi, lazima tuhakikishe Iran haipati silaha za nyuklia”, na kwamba hiyo inaonesha kuwa Trump ana dhamira yake binafsi kuhusu usalama wa dunia.
Netanyahu pia amekumbusha kuwa Iran inaiita Marekani "Shetani Mkubwa" (The Great Satan) na imekuwa ikihusika na vifo vya wanajeshi wa Marekani nchini Iraq, Afghanistan, na Lebanon (Beirut).
Waziri Mkuu huyo amedai kuwa utawala wa Iran umejaribu kumuua Rais Trump mara mbili, jambo linalothibitisha kuwa Iran ni adui wa moja kwa moja wa Marekani na si wa Israel pekee.
Netanyahu ametoa wito kwa viongozi wa dunia kuwa waaminifu na kutambua kuwa mapambano ya Israel dhidi ya Iran si kwa ajili ya usalama wa Israel pekee, bali ni kwa ajili ya kuilinda dunia nzima. Amesema Iran yenye silaha za nyuklia itakuwa tishio kwa kila mji wa Marekani, Ulaya, na maeneo mengine duniani.
Indonesia
fak18 retweetledi

This one is a football accounting gem. I promise you will love it.
In January 2023, Chelsea signed Mykhailo Mudryk from Shakhtar Donetsk for £88.5 million. The deal was jaw dropping on its own. But what really made the football world stop and stare was not the fee. It was the contract length. Eight and a half years. The longest contract in Premier League history at the time.
Journalists questioned it. Rival clubs complained about it. And most fans had absolutely no idea what Chelsea were actually doing.
But let me tell you. They were not being reckless. They were doing math. Very clever, very deliberate, very legal math. And the tool they were using is called amortisation.
This is part of what football insiders consider during transfers.
Are you with me? Good.
Here is the simplest way to understand amortization. When a club signs a player, they spread the accounting of the cost of the transfer fee over the period of the contract signed by the player.
So for example, when Harry Maguire signed for Manchester United in 2019 for £80 million on a six year deal, that did not show up as an £80 million expense in year one. It worked out as an annual amortisation cost of £13.3 million per year.
That is the entire concept.
Think of it the same way you think of a mortgage. You do not pay the full value of a house on the day you move in. You spread it. Football clubs do the exact same thing with players, and it is not a trick or a cheat. It is standard accounting practice used across every industry in the world. Check it. It's International Standard 38- used for accounting for intangible assets.
The reason it matters so much in football is because of Financial Fair Play and Profitability and Sustainability Rules, which regulate how much clubs can lose in any given period.
Amortisation costs are added to the profit and loss account each year, so the lower your annual amortisation figure, the healthier your books look. And here is where contract length becomes a weapon.
Now let us do the math together.
By using amortisation to complete Mudryk's transfer, Chelsea were able to record his £80 million fee as just £9.41 million per year for UEFA's FFP calculation. Had they signed Mudryk to a four year deal instead, his fee would have been recorded as £20 million per year. Same player. Same fee.
More than double the annual accounting cost just by changing the contract length. That is the power of what Chelsea figured out. They did the same with Enzo Fernandez, signed for a then-British record of £106.8 million on an eight and a half year deal, which translated to an annual amortisation expense of approximately £13.4 million.
And Moises Caicedo for £115 million on eight and a half years. And Wesley Fofana for £70 million on seven years. Repeat this across an entire squad and a billion pounds of spending starts to look manageable on paper.
Did you get that?
Now let's look at another part of amortization- the book value piece, because this changes how you think about every transfer you have ever watched.
Book value is the difference between the transfer fee spent on a player minus what has already been amortised.
For example, after two years, a £50 million player signed on a five year deal has a book value of £30 million. Any sale above £30 million is recorded as a profit. Anything below is a loss. This is why clubs can sell a player for what looks like a loss and still report a gain in their accounts.
Take this example: a player is signed for £40 million on a five year contract. He is not a success and is sold two years later for £26 million. At the point of sale, his book value is £24 million, meaning the club actually books a £2 million profit on the deal. Fans see terrible business. The accountants see a gain. Same transaction, completely different reality.
Manchester City lived this with Robinho. He was bought for £32.5 million on a four year deal in 2008, with annual amortisation of £8.1 million. He was sold after two years, leaving a book value of £16.3 million. City sold him for £18 million and claimed a £1.7 million profit on the sale. Supporters spent years calling it a disaster. The finance department called it a profit.
There is one more trick worth knowing: contract extensions. If a player signs a new contract during their existing deal, the remaining unamortised value is spread over the length of the new contract.
So if you bought a player for £60 million on a five year deal and after two years you extend his contract by three more years, the remaining £36 million book value is now spread across five new years instead of three.
That reduces the annual amortisation cost and can reduce FFP losses by millions per year. Extending a contract is not always about keeping a player happy. Sometimes it is purely a financial decision dressed up as a vote of confidence.
Back to Chelsea. Other clubs eventually complained loudly enough that UEFA had to act. UEFA amended its Financial Sustainability Regulations in July 2023, introducing a rule that limits the amortisation of player registrations to a maximum of five years, regardless of how long the contract actually runs.
The Premier League followed in December 2023, when shareholders voted to apply the same five year maximum to all new or extended player contracts going forward. The loophole was closed. But crucially, the rule could not be applied retrospectively, meaning every player Chelsea signed on those long contracts before December 2023 continues to be amortised over the full contract length.
Chelsea were already finished with their biggest spending windows by the time the door was shut. The timing was not a coincidence.
As I conclude, always remember this- the contract is never just a contract. It is an accounting instrument. And the clubs that understand that are always three moves ahead of the ones that do not.
I hope you enjoyed this.
Tomorrow, by 7AM WAT, We get into the wage bill, and why a £50 million transfer can quietly become a £150 million commitment before you have blinked.
Thanks for reading.
My name is Ajoje. I am a FIFA Licensed Agent and International Sports Lawyer. I write on the Law and Business of Football, a lot. Repost and Follow if you want to read more posts like this.

English

Nimeuliza hili swali makusudi nione wakristo ambavyo hawajui historia bali wamekalia siasa za Duniani badala ya kusoma kwa kina na kufuatalia mambo. Herzl Theodore, na wenzake Nordou, Heckler, wolffsohn, Zangwil, Ben-Ami siyo chimbuko la Zionism. Wao wali-formalise, organize, politisize na ku-nationalize movement mwaka 1896 ila zionism imeanza kabla yao, It's an ancient Idea. Ila ulimwengu wa kiislamu walikata story ionekane ya kisiasa peke yake na Dunia ime-push hivyo, kazi ya Dunia ni kuweka kila kitu kisiasa ila ukweli ni kwamba Idea ilikuwepo tokea zamani ila mwamko wa hii Idea umekuja baada ya Russian Pogrom, 1880 iliitwa Hovevei Zion[lovers of zion] as grassroots baadae Bilu-movements, Settler farmers. Maana ya Zion ni strong-hold[of the kingdom]. Ni jina la Mlima ambao upo Magharibi ya Yerusalemu[kwa ufupi]. Ni mahali pa mji wa Daudi. Na neno Zionism limerasimishwa[was coined by mwandishi wa Kiyahudi-MuAustraia Nathani Birnnaumu kabla ya Herzl Theodore's Movement. Ukisoma historia ya Orthodox-Jews utajua hii Idea imekuwepo karne na karne baada ya kuwatanyika after Roma Empire waliwafukuza. Dunia inahakikisha kuzika historia ionekane Wayahudi hawakuwahi kuishi Palestina/Judea. Pili ni Taifa limetengenzwa na Uingereza, limekuja juzi tu. Baada ya Roman Empire kuharibu hekalu 70 AD, ndipo Wayahudi wa Utawanyiko walianza kuomba rehema kuhusu kurudi Yerusalemu na Sayuni[restoration of Jerusalem and return to Zion]. Ipo kwenye liturgy ya Torah, sala yao inafanyika mara 3 kwa siku inaitwa Amidah/Amada[it's a two millennia long standing prayer]. Kwa ufupi. Kuna utofauti kidogo wa Orthodox-Jews na Zionists Jews kama ilivyokuja kuwa labeled na Dunia. Hata wao kwa wao huwa wanagombana. Mfano, Ehud Olmert's mtifuano wa juzi na Wayahudi wa dini[orthodox] kuhusu kuchukua ardhi kwa kufuata torati au makubaliano ya siasa West-bank. Ila Zionism ni Idea ya dini ya Wayahudi kabla ya wanasiasa kulichukua na kuliweka kwenye platforms za kisasa.
Son of God@EliabuDanford
Hivi kuna tofauti ya Wayahudi na Wazayuni?? Nini maana ya neno Zayuni?? Nani mwanzilishi wa Wazayuni??
Filipino

@KephaGideon @BesteNicolas Kuna dada alipokea pensheni akajichanganya kanunua flat TV 4, madstv kama yote (premium subs) nk...baada ya wiki 2 TV zikaibiwa😭..kapata magonjwa ya ajabu, kafa
Indonesia

@BesteNicolas Biashara yoyote ile ni rahisi sana ikiwa huifanyi wewe, kaifanye sasa ujionee maajabu
Indonesia











