

Mmassy Jr (II)
72.3K posts

@LelloMmassy
Creative Writer | Award Winner of the Safal-Cornell Kiswahili Prize for African Literature -2019 | Logistician | Economist| #CuraPersonalis



"Mnatakaje TBC iwe huru wakati nyie wenyewe( WATANZANIA) hamko huru"?- Dr Ayoub R. Chacha, Mkurugenzi Mstaafu, TBC, leo pale UTV.



Mwanangu Magesa alikuwa na shida ya tumbo. Awali aliambiwa ana vidonda vya tumbo. Kuna nyakati tumbo likimshika alikuwa hawezi hata kutembea. Siku moja alizidiwa. Tukakimbia hosp. Niliitwa pembeni Daktari akaniuliza: "Magesa ni nani yako?" Nikamjenga! 🧵🧵




