33’ | Bravos do Maquis 1-0 Simba SC.
Jiunge na Simba Bando kwa kupiga *149*01# > 8> 1 ili upate dakika za kupiga, sms, data na taarifa za kila punde wakati wa mchezo. #TotalEnergiesCAFCC#WenyeNchi#NguvuMoja
Dili la Bernard Morrison na KenGold limejaa kimkakati. Mghana huyo amepewa mkataba wa miezi Sita huku akionywa mapema juu ya Tabia ya utakutu.
✅ Done
#CHIMBOJIPYA
Kocha wa viungo wa Klabu ya soka ya Wanawake ya JKT Queens inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania bara, Esau Sanu amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Machi 16, 2024.
@JKT_Queens#RIP
Waziri Junior tayari amefunga magoli 11 akiwa na KMC Msimu huu.
Amemfikia Aziz Ki huku akiwa anazidiwa na Feisal Salum mwenye magoli 12.
Kazi kubwa.
@tplboard@Tanfootball#Ramadan
Jafary Mwanyemba (Kushoto) na Raheem Saleh (Kulia) ni vijana kutoka Fountain Gate Sports ambao Kwa Sasa wapo nchini Mali kwenye Academy ya ABM Sports.
Hii ni hazina kubwa sana Kwa Taifa Kwa siku za usoni.
@Tanfootball
Niyonkuru Samantha na Suzan Adam wote wanakipiga katika Klabu ya TUT ya nchini Misri (zamani @FGatePrincess katika ligi Kuu ya Wanawake nchini Humo. TUT Ndani msimu huu imecheza Michezo 15, kushinda 14, sare 1, Clean sheet 13 huku wakifunga magoli 99. What a record!!. 🔥🔥
Meneja Mashindano TFF, Baraka Kizuguto ameteuliwa na CAF kuwa Mratibu (General Coordinator) wa mchezo wa hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) Jwaneng Galaxy (Botswana) vs Wydad AC (Morocco) utakaochezwa Februari 24, 2024
@tplboard@cafclcc@BarakaKizuguto
Ilikuwa Disemba 20, 2023 Fountain Gate Princess ilipangwa na Amani Queens katika Uwanja wa Jamhuri, Dodoma lakini haukufanyiwa. Leo Februari 12, 2024 mchezo huo utapigwa katika uwanja wa Jamhuri Dodoma Fountain Gate Princess wakiwa nyumbani.
@FGatePrincess@Tanfootball
Kwanza aandaliwe kisaikolojia na aambiwe ukweli kwamba Kuna Nyota wengi makinda walijiunga na Simba lakini wakaishia benchi na kukosa nafasi kuanza pengine hata kucheza. Wawatumie kina Jimmyson Mwanuke, Israel Mwenda, David Kameta "Duchu" kama mfano. @mtibwaofficial@Tanfootball