Florian Mutabazi, MBA

3K posts

Florian Mutabazi, MBA banner
Florian Mutabazi, MBA

Florian Mutabazi, MBA

@florianmutabaz1

▪︎Communication Expert , Content creator, Dad & Husband

Arusha Katılım Şubat 2012
573 Takip Edilen1.7K Takipçiler
Florian Mutabazi, MBA retweetledi
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
Kufuatia uamuzi wa Kamati ya Rufaa ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) wa kuwavua Senegal ubingwa wa AFCON 2025 na kuwapa Morocco, Serikali ya Senegal imetoa wito wa kufanyika ‘uchunguzi huru wa kimataifa’ kuhusu uwezekano wa rushwa ambayo huenda imechochea uamuzi huo. Taarifa ya leo Machi 18, 2026 iliyotolewa na Msemaji wa Serikali ya Senegal, Marie Rose Khady Fatou Faye imekosoa vikali uamuzi wa kuipa Morocco ubingwa wa Afrika ikiutaja uamuzi huo kuwa ni kinyume cha sheria na si wa haki kabisa. ”Kwa kutilia shaka matokeo yaliyopatikana mwishoni mwa mechi ambayo ilichezwa kwa mujibu wa sheria na kushinda kwa haki, CAF inadhoofisha uaminifu wake,” amesema Faye katika taarifa hiyo, huku akitaka uchunguzi ufanyike ndani ya uongozi wa CAF kwa kile walichodai kuwa kuna ufisadi ndani ya uongozi huo. #KitengeSports
Maulid Kitenge tweet media
Indonesia
9
25
326
17.9K
Mike Malagies
Mike Malagies@MMalagies·
if you love God, watch this❤️
English
20K
6.5K
89.1K
351.9K
Holy Bible
Holy Bible@Holy__Bible1·
Amen
Holy Bible tweet media
English
3K
703
9.6K
169.6K
Florian Mutabazi, MBA retweetledi
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
Waokoaji wamewaongoza zaidi ya wasafiri 350 kwenye usalama baada ya Kimbunga kisichotarajiwa kuwanasa Mamia upande wa Tibet wa Mlima Everest. Mamlaka inasema takriban wengine 200 wamesalia wamekwama katika hali mbaya ya hewa huku shughuli za uokoaji zikiendelea. Ripoti zinaonyesha kwamba zaidi ya watu 500 walishikwa na mshangao wakati theluji na mvua kubwa isivyo kawaida iliponyesha eneo la Tingri la Tibet, mojawapo ya njia kuu za kupanda mlima huo mrefu zaidi duniani. Wale waliookolewa walipelekwa katika kitongoji kidogo cha Qudang, kituo muhimu cha wapanda milima kwenye njia ya Kaskazini ya Everest. Baadhi ya wasafiri 200 ambao walikuwa wamenasa hadi Jumapili walitarajiwa kuwasili Qudang kwa awamu chini ya mwongozo na usaidizi wa timu za uokoaji zilizopangwa na Serikali za mitaa. #KitengeUpdates
Maulid Kitenge tweet mediaMaulid Kitenge tweet media
Indonesia
0
3
93
11.9K
Florian Mutabazi, MBA
Florian Mutabazi, MBA@florianmutabaz1·
Sometimes I don’t understand these rules of English Premier League, very confusing.. if it was not clear & obvious error why was the VAR involved? Onside decision should been given
Florian Mutabazi, MBA tweet media
English
0
0
0
21
Florian Mutabazi, MBA retweetledi
East African Community
East African Community@jumuiya·
#EACupdates 📍The EAC Secretary General @SGnduva attended the 41st Executive Committee meeting of the Inter-University Council for East Africa @iucea_info in Kinshasa, Democratic Republic of Congo The Executive committee members engaged in thoughtful deliberations on a range of significant issues, underscoring the commitment to fostering educational collaboration in the region @EA_Bunge @EACJCourt
East African Community tweet media
English
0
8
16
1.7K
Florian Mutabazi, MBA
Florian Mutabazi, MBA@florianmutabaz1·
Enjoyment to the fullest...Lake Victoria magic in Jinja, Uganda
Florian Mutabazi, MBA tweet mediaFlorian Mutabazi, MBA tweet mediaFlorian Mutabazi, MBA tweet mediaFlorian Mutabazi, MBA tweet media
English
0
0
1
72
Abiy Ahmed Ali 🇪🇹
Abiy Ahmed Ali 🇪🇹@AbiyAhmedAli·
We made significant progress during the 2017 Ethiopian calendar year, providing a strong foundation for continued development in 2018. Accordingly, the Council of Ministers has convened to review the national development plan for 2018, including a comprehensive assessment of all sectoral plans, in preparation for implementation in the coming year. Alongside our review meeting, we have also planted #GreenLegacy seedlings.
Abiy Ahmed Ali 🇪🇹 tweet mediaAbiy Ahmed Ali 🇪🇹 tweet mediaAbiy Ahmed Ali 🇪🇹 tweet mediaAbiy Ahmed Ali 🇪🇹 tweet media
English
207
511
1.5K
68.7K
Ivan Atuyambe (AfCFTA YouthMan)
Current Global Order Shifts: Advantages, Opportunities, and Needed Shifts for African Nations Africa’s role in the shifting global order is evolving from dependency to strategic agency, driven by multipolar power dynamics and new partnerships. Here’s a concise overview: Advantages for Africa: •Africa’s vast resources, youthful population, and growing markets boost its leverage with rising global powers like China, India, and Gulf states, enabling fairer, mutually beneficial deals. •Declining Western aid accelerates Africa’s push for economic self-reliance through diversified revenue, technology, renewable energy, and local innovation. •Africa’s demographic boom, projected to be a quarter of the global population by 2050, offers a massive labor force to drive growth if matched with education and industrialization. Opportunities: •The African Continental Free Trade Area (AfCFTA) can increase intra-African trade by over 50%, expanding the economy to $29 trillion by 2050 and reducing external dependency. •Resource-for-development deals, like Mozambique’s LNG and Rwanda’s e-commerce partnerships, show how transactional cooperation can yield immediate gains aligned with national goals. •Investing in green economy and digital infrastructure can move Africa beyond raw exports to value-added industries and job creation. Needed Shifts: •Enhance strategic negotiation skills to secure transparent, accountable deals that align with long-term development. •Balance transactional deals with long-term relational partnerships for sustainable growth. •Prioritize industrialization and human capital development to harness the demographic dividend. •Strengthen continental unity and policy coordination to amplify Africa’s global influence through collective action and implementation of AfCFTA and Agenda 2063. Africa’s future depends on its ability to negotiate from strength, leverage collective assets, and build institutions for inclusive, sustainable growth. The continent is no longer a passive recipient but an active architect of its destiny in the emerging multipolar world. The time for bold leadership and unity is now.
English
1
0
1
137
Florian Mutabazi, MBA retweetledi
Arsenal
Arsenal@Arsenal·
Time to write our own history.
English
1.1K
8.2K
36.1K
8.3M
Florian Mutabazi, MBA retweetledi
Hussein M Bashe
Hussein M Bashe@HusseinBashe·
Salaam Ndugu Zangu Watanzania, Serikali imepokea taarifa rasmi kuwa Serikali ya Malawi imezuia kuingia kwa mazao ya kilimo kutoka Tanzania, yakiwemo unga, mchele, tangawizi, ndizi, na mahindi. Hatua hii imeathiri moja kwa moja shughuli za wafanyabiashara wetu wanaosafirisha bidhaa hizo kwenda Malawi. Ni vyema ifahamike kuwa kwa kipindi cha miaka mitano, Serikali ya Tanzania imekuwa ikifanya jitihada mbalimbali kufungua soko la ndizi nchini Afrika Kusini bila mafanikio. Hali hii inafanana na changamoto tulizopitia kwa zaidi ya miaka kumi katika kufungua soko la parachichi, hadi pale tulipoamua kuchukua hatua za kulinda maslahi ya nchi yetu. Kutokana na hali hii, na baada ya juhudi zote za kidiplomasia kufanyika bila mafanikio, ninapenda kuwataarifu yafuatayo: 1.Iwapo Serikali ya Malawi na Afrika Kusini hazitabadilisha msimamo wao kufikia Jumatano ijayo, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Kilimo itazuia uingizwaji wa mazao na bidhaa zote za kilimo kutoka nchi hizo mbili. 2.Mizigo ya bidhaa za kilimo kutoka Malawi na Afrika Kusini haitaruhusiwa kupita ndani ya mipaka ya Tanzania, kuelekea bandari ya Dar es Salaam au nchi nyingine yoyote, hadi zuio hilo litakapoondolewa. 3.Usafirishaji wa mbolea kwenda Malawi utasitishwa, ikiwa ni sehemu ya hatua za kulinda maslahi ya wakulima na wafanyabiashara wa Kitanzania. Wasafirishaji wote wa Kitanzania wanaosafirisha bidhaa za kilimo, ninawashauri kuacha kupakia bidhaa hizo mpaka hapo Malawi na Afrika Kusini watakapo badilisha msimamo wao. Wafanyabiashara walioweka order za apples, machungwa, na bidhaa zingine ambazo hununuliwa Afrika kusini, ninawashauri kuacha kwa sasa kwani hatutoziruhusu kuingia Tanzania mpaka hapo Afrika Kusini itakapo tufungulia soko la ndizi. Ninathibitisha kuwa kama Waziri mwenye dhamana, nimewasiliana kwa njia mbalimbali na Waziri wa Kilimo wa Malawi bila mafanikio ya kupata majibu rasmi. Hatua hizi ni za kulinda heshima ya nchi yetu, uchumi wa wakulima wetu, na usawa katika biashara za kikanda
GIF
Indonesia
348
263
923
117.7K
Paul Kagame
Paul Kagame@PaulKagame·
Here Gunners we Go. Big victory and game. Alwz had faith....Congrats. :):).
English
1.6K
4.1K
27.7K
1M
Florian Mutabazi, MBA retweetledi
Prof. Mohamed Janabi
Prof. Mohamed Janabi@ProfJanabi·
I am deeply honored to be nominated by the Government of Tanzania for the position of Regional Director @WHOAFRO. With my expertise and experience, I am committed to advancing the WHO transformation agenda and fostering a healthier future for Africa. afro.who.int/regional-direc…
English
63
291
888
39.8K