flower manase

158 posts

flower manase

flower manase

@flowermanase

Historian,Researcher and Curator

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Kasım 2011
292 Takip Edilen303 Takipçiler
flower manase retweetledi
flower manase retweetledi
millardayo
millardayo@millardayo·
Rais wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ameshiriki Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa katika Uwanja wa Mashujaa Jijini Dodoma leo July 25,2023 ambapo amesema mnara utakaojengwa katika uwanja huo wa Mashujaa utakuwa ni mnara mrefu zaidi Afrika. “Siku ya leo ni siku ya tafakuri, sala na dua zaidi na sio siku ya kutoa hotuba, nitumie fursa hii kuiponngeza Ofisi ya Waziri Mkuu, Ofisi ya RC Dodoma na Majeshi yetu kwa maandalizi mazuri, nimefurahi kwa mara ya kwanza maadhimisho yanafanyika katika uwanja mpya wa Mashujaa hapa Mji wa Serikali Mtumba ambapo hivi punde nimeuwekea jiwe la msingi” “Kukamilika kwa uwanja huu wa Mashujaa kutaendelea kuongeza heshima na hadhi kwa Makao Makuu ya Nchi, nimeambiwa mnara uliopo ni wa mwaka huu, pengine mwakani tutakuja mwenye mnara wa kudumu ambao ujenzi wake unaendelea” “Nilipofika nilioneshwa ramani uwanja utakavyokuwa nimevutiwa sana na ramani ya uwanja wa Mashujaa, uwanja huu utakuwa na migahawa ya Kimataifa, kumbi za mikutano na vivutio vingine vya Watu kupumzika na kupata burudani kubwa zaidi utakuwa na mnara mrefu kabisa ndani ya Afrika yetu labda ujengwe mwingine kabla wetu haujakamilika lakini ukianza kukamilika utakuwa mnara mrefu zaidi ndani ya Afrika” “Naielekeza Ofisi ya Waziri Mkuu na Wahusika wengine kusimamia ujenzi wa mnara na uwanja wa Mashujaa na miundombinu yote ikamilike kwa wakati na kwa viwango vilivyokusudiwa, Wizara ya Fedha itoe fedha kwa kuzingatia mpango kazi wa ujenzi huu na kusiwe na ucheleweshaji” #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
187
66
2.3K
147.8K
flower manase
flower manase@flowermanase·
Tanzania and liberation of south Africa countries #legacy
English
0
2
3
619
flower manase retweetledi
Jamii Forums
Jamii Forums@JamiiForums·
KENYA: RUTO ATOA WITO AFRIKA KUTOTUMIA DOLA KATIKA MIKATABA YA KIBIASHARA Rais wa #Kenya, #WilliamRuto ametoa ushauri huo kwa viongozi wa Afrika akisema ni muda wa kuanza kuchukua hatua ya kuachana na malipo ya fedha kwa kutumia Dola ya Marekani badala yake kuwepo na mfumo wa malipo wa Pan-African Payments System (PAPSS) Amesema mfumo wa #PAPSS uruhusu kufanyika malipo kwenda nje kwa kutumia fedha za ndani ya Nchi lakini thamani ya kile kinacholipiwa kinabadilika kulingana na thamani ya fedha ya sehemu husika badala ya wote kulazimika kutumia Dola Soma jamii.app/RutoWito #Governance
Jamii Forums tweet media
Indonesia
174
124
2K
176.2K
flower manase retweetledi
Imani Nsamila
Imani Nsamila@nsamila·
Last week, in #Berlin, Petersallee (named after Carl Peters) was symbolically renamed Maji-Maji-Allee in honour of the victims of Germany's colonial rule. The official renaming is scheduled to take place soon. 🇹🇿🇩🇪 #PichazaNsamila #BerlinStreetRenaming
Imani Nsamila tweet mediaImani Nsamila tweet mediaImani Nsamila tweet mediaImani Nsamila tweet media
Berlin, Germany 🇩🇪 English
4
45
103
12.6K
flower manase retweetledi
Ida Hadjivayanis
Ida Hadjivayanis@IdaHadjivayanis·
University of Dar es Salaam Is Stuck- As (it) invests in modern buildings and facilities, the same should be made in revamping its passion for knowledge. (It) should allow its talent to thrive, encourage research & dialogue, tolerate dissent. thechanzo.com/2023/04/24/uni…
English
1
11
58
3.4K
Elon Musk
Elon Musk@elonmusk·
the bird is freed
English
122.7K
298.3K
2.2M
0
flower manase retweetledi
Koloniales Erbe
Koloniales Erbe@coloniallegacy·
We are very much looking forward to our Conference on "The Benin Bronzes: Globalising the Colonial Looting of Art" starting tomorrow!
Koloniales Erbe tweet media
English
1
6
33
0
flower manase retweetledi
National Museum of Tanzania
National Museum of Tanzania@MuseumTanzania·
Fika kwenye maonyesho ya Kimataifa ya Utalii yanayoendelea Mlimani City, Dar es Salaam ujionee hatua zinazoendelea kupigwa na Makumbusho ya Taifa la Tanzania ya kuipeleka Makumbusho kidijitali.
National Museum of Tanzania tweet mediaNational Museum of Tanzania tweet media
Indonesia
0
2
13
0